Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Mkuu umenichekesha noma
 
Haaaaaaaaah hii nmecheka haaaaaah
 
miaka ya 2000s kuna binti nilikuwa nasomanaye alikuwa ana mdogo wake mzuri kichizi nikawa nampiga mistari uyo dogo kumbe kaenda kuwaambia dada zake na mimi kwao nilikuwa naenda kama home wamenizoea wote sikuiyo nakuja najipigisha story wananitizama tu nyumba nzima kumbe wanajua , yule binti rafiko yangu kanitoa pembeni kaniambia mdogo wake kasema umemtongoza kawaambia dada wote na kaka zangu hao mbele hapo, issue ilikuwa kutoka nilipo lazima nipite pale walipo nilitamani kwa mara ya kwanza ardhi ipasuke nizame aiseee
 
Rai don't you believe kuna hotel za bei hiyo bongo??
Oasis ya morogoro navyoongea now kahawa 1 cup ni 4500. Na ni hotel ya kawaida saana kwa wanaoifahamu...
Oasis pa kawaida sana mbona kumbe pana Bei hivo
 
Likizo ya mwezi wa sita form three mzee alinipa kazi ya kulipia mambo yake TRA, kama mnavyokumbuka mwanzoni mwa 2000's kulipia TRA ilikuwa na milolongo mingi sana mtu ukiwa bize unaweza ukazira. Kwa hiyo mzee alinipa ya usumbufu pamoja na rushwa.
Basi nilipomaliza kila kitu nikawa nimebaki na chenji ya kutosha kabisa. Siku hiyo nimetoka TRA narudi hom, njiani nimekutana na classmate nammezeaga mate sana nikasema leo nina nyenzo nang'oa huyu mtoto.
Tukasalimiana nikamkaribisha kwenye hoteli jirani hapo tule lunch wala hakuvunga. Msosi ukaletwa chips kuku nusu mara mbili bonge la advataizi, niksona hapa ndo wakati wa kuchomekea kama JPM. Ile sijamaliza hata mistari yangu mtoto akasimama kwa hasira akaanza kunifokea kwa sauti kali sana. Hapo meza zote zimejaa wafanyakazi wamekuja lunch wote wamegeuka wanashangaa hawa watoto vipi! Mimi hata cha kujibu sina mate yamekauka. Nakumbuka maneno machache tu "yani vichipsi vyako ndo unitongoze?" mengine sikusikia kwa kweli. Akaondoka zake mimi sielewi cha kufanya, akaja dada mmoja mhudumu na mfuko akaniambia lipia mdogo wangu tukufungie.
Sikutongoza tena hadi form five na huyo huyo akawa girlfriend wangu wa kwanza.
 
Mi sasa mara ya kwanza sinikajua kitovuni ndo penyewe!

Baadae nikastuka, nikaweka penyewe, shughuli ikawa shimo liko wp?

Hahaha..kila me kwenye hili lazima awe kakosea for the first time.
 
umenichekesha sana! ulikuja kumtongoza vipi tena?
 
Mimi ninayokumbuka ni hii moja!
Kipindi hicho nasoma o'level nikateuliwa niwe kiongozi wa chakula wa muda......
sasa ile sysytem ya kupanga mistari chakula cha jioni nikakuta wapo wamerundikana tu wasichana wengi......nikatoka na masifa yangu huko nikarusha teke ili watawanyike!

Sasa nilikua nimevaa jeans sijui nini kilitokea wakati nanyanyua mguu nikakosa balance, nikabamiza kidevu chini.....lol
kidogo nishindwe kuinuka pale chini

niliumia kweli mpaka leo nina alama ila niliaibika kweli!
utoto shida sana
 
Bora wewe hivyo, mwalimu wetu alikuwa anatuonyesha namna ya kuchuchumaa ili tuumie zaidi suruali yake ikachanika vibaya sana hadi boxer inaonekana
 
Bora wewe hivyo, mwalimu wetu alikuwa anatuonyesha namna ya kuchuchumaa ili tuumie zaidi suruali yake ikachanika vibaya sana hadi boxer inaonekana. Halafu ni mwalimu mnoko pata picha tulivyoshangilia
 
umenikumbusha niliingia kwenye nyumba mona hiv kwa rafik yangu sa tumemaliza kula nikaoshe mikon hand wash naiona ila kila nikiangalia pa kuminya sion ile nachezesha mikon na kusogeza si ikamwagika chin kiasi kumbe ile ina sense dahh niliona soo ila ndo nikajua kumbe naweka mkon kwa chin kiti kinatoka chenyew
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…