Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Form five umeshaanza makitu?
 
Kufuta aibu ungejifanya unaenda uani pia...
 
Hahahaaa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Mi sasa mara ya kwanza sinikajua kitovuni ndo penyewe!

Baadae nikastuka, nikaweka penyewe, shughuli ikawa shimo liko wp?
Hahaha mkuu umenikumbusha mbali sana kipindi namaliza darasa LA saba nilikuwa decent sana nilikuwa sijui chochote kuhusu mwanamke

Siku moja marafiki zangu wakanitongozea msichana alafu wakampanga kila kitu bila hiyana Dada wa watu akakubali sasa kwa kipindi icho tulikuwa tunacheza karibu na shule kulikuwa na msingi wa maji ila ulikuwa umekauka,hiyo siku tulicheza pale ilipofika usiku nikaenda msingini na yule msichana [emoji23] [emoji23] [emoji23] masikini sijui chochote Dada wa watu kavua nguo mi nikaanza bana kumbe naf**k mchanga nimekazana mwenyewe wenzangu wananisubiri nikatoka pale nimewakuta najisifia Leo nimeweza ila sasa nikawauliza hivi kwani kule ndani kuna mchanga mbona dudu yangu imetoka na mchanga [emoji1] [emoji1] nilipata aibu ya karne jamaa walinicheka hatari sijuagi kale kasichana kalinifikiriaje tangu siku hiyo sikuthubutu mpaka nilipomaliza form six mana nilikuwa nikikumbuka ile aibu naishiwa nguvu kabisa
 
Me kuna siku alikuja mgeni home so nikaambiwa nikale na mgeni ilikuwa ni kitu adimu sana l considered myself kama luckiest person in the house, wakati tunakula nikawa namshangaa mgeni mpk nikatosa tonge la ugali kwenye bakuli la maji ya kunawa kiruuu... Mgeni akatabasamu akanipa pole na kunisogezea bakuli la mboga karibu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwaka wakwanza chuoni kwenye Presentation.
Nikajitia kuwa muongoza Presentation, sijui hata kihere here kilitoka wapi.

Basi mwanaume Nikasimama mbele. Nikasalimia, nikaanza kuflow umombo. Sikumaliza dakika 3 chali, kila nilipojaribu kuload vocabulary ndivyo nilivyokuwa nazidi kusahau hata ile msamiati ya kawaida. Hakika Kama ni bundle lilikata.

Basi nilibaki kusema; the....the......aaaa....!!
Mara oeky.......

Masikini watu walishagundua nimechemka, walibaki kuniangalia tuu.

Kwa bahati mbaya kulikuwa na demu Jana ambaye nilimtokea siku moja kabla. Yaani hiyo aibu iliyonipata sikuwahi kudhani.

Kwa bahati nikagongana macho na yule Manzi, Al-manusura nianguke kwa shinikizo.

Sitaisahau aibu ile ya Karne
 
Umenifanya nionekane chizi mbele ya watu kwa kicheko
 
mwanzo kabisa wa uhusiano bana.......nilienda kwao na manzi yangu,nafikiri alijua wazazi hawatakuwepo but wakaahirisha safari.
sasa ile ki bachela asubuhi nikatandika kiporo changu nikafunga safari wilaya nyingine,kufika wakwe hawa hapa tena veery friendly nikakirimiwa...sasa tumbo likaanza kunionyesha sifa zake!!?na nyumba haikua kubwa wala nini,hamna choo cha nje...nadhan baada ya miungurumo bi mkubwa wake akaniambia 'i think you should use a restroom'....sijawahi teseka kama siku ile!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…