Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sn dada, maana nmejikuta nnacheka mwenyeweMe niliwah kugombania daladala yan ule mbanano na mvutano wa mlangoni mpaka nafika kwenye siti vifungo vya blauzi vyote vimetatuka brazia hii hapa
asavalinitaisema mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]siku moja nikiwa china tumeenda shopping nikawakimbia masela , nikaingia kwenye mall moja kubwa sana nikapanda lift huyo hadi maduka ya ghorofani... nimemaliza shopping nikapotea na nisijue pa kutokea na huku nje jamaa wananitafuta kuona hawanipati wakatoa taarifa polisi then wale polisi wakawataarifu wenzao waliomo ndani ya ile mall kuwa wakiona black man wam'escort to the exit. Kimbembe kimekuja hapa sasa, askari alivoniona akawa anakuja na mm nikaanza kumkimbia aisee tulitimuana mle ndani sitakaa nisahau. Mpaka nimechoka jamaa akanipeleka kwa masela huku nimepata aibu ya karne
hahahhhasiku moja nikiwa china tumeenda shopping nikawakimbia masela , nikaingia kwenye mall moja kubwa sana nikapanda lift huyo hadi maduka ya ghorofani... nimemaliza shopping nikapotea na nisijue pa kutokea na huku nje jamaa wananitafuta kuona hawanipati wakatoa taarifa polisi then wale polisi wakawataarifu wenzao waliomo ndani ya ile mall kuwa wakiona black man wam'escort to the exit. Kimbembe kimekuja hapa sasa, askari alivoniona akawa anakuja na mm nikaanza kumkimbia aisee tulitimuana mle ndani sitakaa nisahau. Mpaka nimechoka jamaa akanipeleka kwa masela huku nimepata aibu ya karne
hahahhh et uchekee pmNow itabidi nichekee pm maana...sio kwa ugumu huo kuwanyima wanajukwaa kucheka.
Planett kanichekesha saana kufukuzana na polisi wa kichina. Walivyo vijeba naamini hakukatiza hata corido 2
ahaa una bahat sana mie nmekula ban ya pm so ujanja hapa hapaHaaaaa...hadi wewe kakufungia! !mbona mimi nimetoka huko sasa hivi na sijaona kufuli! !
Daby usinigombanishe na Bonny pm yangu sijaifungua mmHaaaaa...hadi wewe kakufungia! !mbona mimi nimetoka huko sasa hivi na sijaona kufuli! !
usimsikilizeahaa una bahat sana mie nmekula ban ya pm so ujanja hapa hapa
Dah,,, kama ulijuaUkubwani mnakuwaga viwembe....
unaeza kua umefunga kwa wachache kama sieDaby usinigombanishe na Bonny pm yangu sijaifungua mm