Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaa ujikute tuKumbe ndio wewe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa ujikute tuKumbe ndio wewe mkuu
Wewe labda mgeni humuKati ya thread zooote nilizowahi kusoma hapa jamii forums, this is the best!!! [emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kwa mleta uzi!!
Ulkua na matatzo binafs ww sasaDu mie mpaka nafanya kazi zaidi ya miaka 10 ndio nikatry tena baada ya kuona dharau zinazidi.
[emoji1] [emoji1] mtakuja kujikuta mnafungua milango ya emergency door sikunyingineAnother day, ilikuwa siku ya kwanza kukwea pipa from Dsm to Doha-Qatar na Qatar Airways... Nimekaa zangu mda nikabanwa na haja (big call) nikafikiria nimuite mhudumu anioneshe toilet zilipo?? nikaona utakuwa ushamba wa kiwango cha lami... nikainuka huyo to the cockpit... nikakuta kimlango kiko labeled 'occupied' nikageuka nyuma nikakuta 'unocupied' mzee nikazama. Sababu nilikuwa nimebanwa mda mrefu fasta nika unload mzigo.. kimbembe sasa [emoji23][emoji23] kucheki sioni sehem ya kuflahia, no kikamba cha kuvuta no button bas mzee nikabaki nimeduwaa tuu.. kuchek pembeni kunasehem imewekwa kilabel cha duara ile kugusa tuu kitu hicho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikavuta pumzi (kumbe mi mjanja)... Sasa imebaki kazi moja 'kujiswafi' na nikicheki hamna 'horse' ya maji ya kutawadhia [emoji33][emoji33] asee nilifungua kale kamlango nikabaki namwangalia tuu yule hostess sielewi nianzie wapi.. nikajifungia nikaloesha tissue paper nikamaliza kazi ile natoka yule mdada anacheka tuu kwakweli kile kinjia kuja kuikuta seat niliona kama kilometa hivi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah ah ah ah jmn nimevuta picha nikapasuka kucheka pole aiseeNakumbuka iyo siku nimetoka kukoga na futa geto limeisha ikabidi nivae suruali fasta nifate mafuta duka lilipo jirani na nipoishi,nikavaa na kuchomoka haraka nilipofika dukan nikakosa mafuta niliyokuwa nahitaj nikazingunga kama maduka3 hivi yalipo mbali kidg nikapata duka moja wapo sasa ile narud tu home ile nataka fungua kifungo cha suruali kujicheki maeneo ya zipu kupo wazi na jimuwa linaonekana kabisa live bila chenga,nikakumbuka kuna baadhi ya maduka niliyopita kuna kinadada walikuwa wakiangua vicheko pacpo mimi kujua nn kiliwafurasha.....OGOPA SANA KUSAHAU KUFUNGA KUFULI.
Khaa, jamani,mweee ah ah ah pole dearest na ww min ulikuwa unapenda za kuchanua.Haha ikabidi tu utoe hela mwee. Umenikumbusha story ya kimini
Kuna siku nilikuwa darasa la 5 au 6 hivi, nikawa napita mitaa ya sokoni. Nimevaa kakimini kangu ka kuchanua, najishaua tu. Basi bana kuna kichaa fulani hivi, akaninyatia kwa nyuma huyoo akanifunua mwaaaaaa, jamani nashukuru nilivaa teitei. Miguu ilistuck jamani, I felt so embarrassed khaa
Khaa, jamani,mweee ah ah ah pole dearest na ww min ulikuwa unapenda za kuchanua.
Aah kwan mwanaisha alikuwa na tabia ya kufukuza watu?Hahahah na tuskirt twangu twa kuzungusha, sijui nilikuwa naficha wembamba. Alikuwa yule kichaa Mwanaisha, niliaibika khaa
Sijasikia hata kama yupo au laah. Huu Uzi ni utacheka hadi basi, ukimaliza huu nishtue nikupe link nyingine uchekeeeeeAah kwan mwanaisha alikuwa na tabia ya kufukuza watu?
Na sijui kafa cz sijamsikia au kwavile hatupo huko ndio maana.
Pole mwaego. Nipo nasoma comment za watu nacheka uhiii watu ns vimbwenga vyao
Sawa love. Nipo nacheka hapa nikimaliza nitakuambia thnxSijasikia hata kama yupo au laah. Huu Uzi ni utacheka hadi basi, ukimaliza huu nishtue nikupe link nyingine uchekeeeee
Hii usiombe, pindi nipo darasa la kwanza, half time tumepewa uji na mwalimu, tukaugonga darasa zima, mimi ukanikata tumbo kweli, ila baada ya kumaliza mwalimu akatupa ruhusa ya kwenda kujisaidia kama kawaida yake, kufika chooni watoto wamejaa kila kona, mi tumbo lika beep ya kwanza, nikipiga jicho bado kuna nyomi halafu hawaondoki, wala hawapungui, lika beep mara ya pili, jasho likaanza kunishuka huku machozi yakinilengaHahahaa , afadhari wewe Mimi nilishawahi kujinyea darasan halafu nilikua nakaa bench moja na mtoto wa kike, nakumbuka ilikua ni standard 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha....Mimi nakumbuka nipo chuo Iringa wakati wa group presentations si unajua tena ushapiga jumba lako jeusi ili uongezee marks walau, sasa shughul ikawa tunataka kupanda group zima stejini lecturer akasema no need apande tuu mmoja...straight akanipoint mimi na hata kazi nlikua siijui inafananaje 🙂
Macho yalinitoka na lisuti lako kijasho kwa mbali..basi ile hofu kupanda stejin nikaikosa ngazi nlibiringita hadi chiniiii..kuficha aibu wallah sikuinuka nkajifanya kuzimia!!!
...that was my embarrassing moment ever
Une gwa mmakandana bhakamu!Chobha ole gwa kokaja>?
One Gwa Ndamba ko Mwaja
Ah ah ah ah ah pole aiseeHii usiombe, pindi nipo darasa la kwanza, half time tumepewa uji na mwalimu, tukaugonga darasa zima, mimi ukanikata tumbo kweli, ila baada ya kumaliza mwalimu akatupa ruhusa ya kwenda kujisaidia kama kawaida yake, kufika chooni watoto wamejaa kila kona, mi tumbo lika beep ya kwanza, nikipiga jicho bado kuna nyomi halafu hawaondoki, wala hawapungui, lika beep mara ya pili, jasho likaanza kunishuka huku machozi yakinilenga
Miscall ya tatu sikuisikia, nakuja kutahayari nimesha chafua miguu yote mpaka kwenye viatu
Mwalimu ikabidi aniogeshe, nguo na viatu havifai, ikabidi anivalishe kanga lubega (kama shuka za kimasai wanavofunga) peku peku mpaka home, mdogo mdogo huku wanafunzi wakiniimbia "kajinyea eh eh kajinyea eh eh kajinyea".... Nililia kilio sio cha nchi hii, hatari[emoji31]
Tayari love, nipeleke huko kwingine nikapasuke mbavu baadaye nisomeSijasikia hata kama yupo au laah. Huu Uzi ni utacheka hadi basi, ukimaliza huu nishtue nikupe link nyingine uchekeeeee
Kwa waliokojoa kitandani tu!! - JamiiForumsTayari love, nipeleke huko kwingine nikapasuke mbavu baadaye nisome
Kipindi hicho nlikua mlizi kweli kweli, nikianza kulia sinyamazi, nlikua na uwezo wa kulia kwa niaba ya africa nzima #asante mkuu [emoji122] [emoji31] [emoji31]Ah ah ah ah ah pole aisee