[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , mbavu zanguu, naimagine hyo sauti ya kijambo ulivoiandika hapoo , mdhamini uliweka dau kubwa kwenye hilo pambano nini,maana si Kwa kujilazimisha huko hao wapambanajii mpk kupuu[emoji3] [emoji3]
Duuh, kweli utoto raha, dau ice cream tu mtu unapambana unatoa kijambo mpk unaachia kubwa[emoji3] [emoji3]zamani kombe ashikrimu tu au bagia zengu amaizing then pambano linafanyika,
nilikuwa naitwa Don King
Duuh, kweli utoto raha, dau ice cream tu mtu unapambana unatoa kijambo mpk unaachia kubwa[emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] ,kabisa yani, kujilazimisha hivo mmhAngekuja kunya mtu utumbo.
Wewe hukufanya hivyo?? Na ulivyo mwembamba si utajamba kongosho.[emoji3] [emoji3] ,kabisa yani, kujilazimisha hivo mmh
[emoji3] [emoji3] kongoshoo, aisee ila mi si mwembambaaWewe hukufanya hivyo?? Na ulivyo mwembamba si utajamba kongosho.
[emoji3] [emoji3] kongoshoo, aisee ila mi si mwembambaa
Hahaaa ,umetishaa, ntakua sijilazimishi kijambo basi nisije kuutoa moyo[emoji3] [emoji3]Bonge? Ukijamba na ubonge wako si utajamba moyo.
Hahaaa ,umetishaa, ntakua sijilazimishi kijambo basi nisije kuutoa moyo[emoji3] [emoji3]
Mzoga wa ???, sijawahi sikia hyo harufu ya mjusi,hivo no comment hapoHalafu ushuzi wa kike unanuka kama mzoga wa mjusi.
Jaribu kuutafuta.Mzoga wa ???, sijawahi sikia hyo harufu ya mjusi,hivo no comment hapo
Siku ukimpata nambie nije kuifahamu harufu yake,huku kidogo mijusi ni adimu[emoji3] [emoji3]Jaribu kuutafuta.
Siku ukimpata nambie nije kuifahamu harufu yake,huku kidogo mijusi ni adimu[emoji3] [emoji3]
Kwani jf ni ya watu wa Dar pekee, wee mabuti ya samaki vipi[emoji3] [emoji3] ,nipo Njombee, ila niko tayari kukufata popote ili niwafahamu hao mijusiiUko Dar ya wapi?
Kwani jf ni ya watu wa Dar pekee, wee mabuti ya samaki vipi[emoji3] [emoji3] ,nipo Njombee, ila niko tayari kukufata popote ili niwafahamu hao mijusii
[emoji3] [emoji3] mambo ya new ID hayo ID ina siku 1 aisee ebu nidokeze I'd yako ya zamani basiiHahahhaha halafu ujue wewe ni rafiki yangu sana hujui tu, haya mabuti yameondoa urafiki wetu wa karibu.
[emoji3] [emoji3] mambo ya new ID hayo ID ina siku 1 aisee ebu nidokeze I'd yako ya zamani basii
Nilikua home sas sikuona kama mzazi yupo maana nikiwekaga mpira huwa wanaondoka nikaachia mzigo wa sauti, nikasikia mtu anaguna huku anasema jehova jehova! naona mtu anashusha miwani yake kidogo akaniambia kwa raha zako baba eeh
be loved mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alikuwa mama au baba huyo.