Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Mara nyingi nakifinyia kwa ndani itaskika aruf tuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijawahi na siombia inikute,
Teacher wetu wa history O level aliacha kazi baada ya kujamba darasani mbele ya kadamnasi.....alitimua mbio sijawahi ona binadamu anakimbia kama yule.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Noma sana alafu kwa nyuma alikuwa na spika kali sana itakuwa huyo teacher
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Nilivokua O level kuna siku tunasoma Math sasa tuko back bench jamaa wakaanza kujibizana kwa kujamba kuna boya akajamba hali ikawa mbaya si tukaitwa mistari ya nyuma mitatu tukachapwa afu mbele ya demu ninayemkubali
Kesho yake niko na huyo dem akaanza kunisifia kirafiki chake kikasema "wapi huyo anajamba darasani" nilitamani nikiue
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sijawahi na siombia inikute,
Teacher wetu wa history O level aliacha kazi baada ya kujamba darasani mbele ya kadamnasi.....alitimua mbio sijawahi ona binadamu anakimbia kama yule.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu achaa uongoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…