Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Inamaana ulihis earphone umechomeka kunduni badala ya sikioni au[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kunduni alikuwa anasikia vibration tu bila sauti kwa sababu ya phone basi mwenyewe alikuwa anajiona mjanja kama vile ujambaji ndio umeupdetiwa kwake kwamba unaweza kuchagua kujamba vibration au sauti?

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hahhaha wadada wembamba wakijamba bora unywe air fresh maana kijambo chao kikiingia tumboni ndiyo unasikia baada ya miaka miwili una vidonda vya tumbo, mara saratani ya shingo ya kizazi, mara apendex.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ilibidi paroko atoke kidogo kwenye kale kajumba ka maungamo asubiri hali ya hewa ibadilike . Sio kosa langu kwani nilikumbuka moto wa milele kwa wenye dhambi ndio kishindo kikaingia
Mkuu mkuu nipo kwenye sherehe ya watu ya ndoa lakini unanichekesha kinyama

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nimewahi kwenye interview kitu written nimekaa na watoto wazuri kitu kikabana nikataka nikiachie taratibu wee kikatoa sauti bana dah nilisikia aibu sana, wakaniangalia nikajifanya bize naandaa peni. Uzuri hakikutoa harufu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] noma sana
 
Nina story mob za majamaa waliowahi kujamba na kuzua kizaazaa,
Sijui nianze na ipi?
.
.
Ila kuna rafiki anasema:kijambo ni kipande(sehemu) ya mavi.
 
Nina story mob za majamaa waliowahi kujamba na kuzua kizaazaa,
Sijui nianze na ipi?
.
.
Ila kuna rafiki anasema:kijambo ni kipande(sehemu) ya mavi.
Kweli mkuu
 
Aiii wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhaha wadada wembamba wakijamba bora unywe air fresh maana kijambo chao kikiingia tumboni ndiyo unasikia baada ya miaka miwili una vidonda vya tumbo, mara saratani ya shingo ya kizazi, mara apendex.
 
Nimewahi kwenye interview kitu written nimekaa na watoto wazuri kitu kikabana nikataka nikiachie taratibu wee kikatoa sauti bana dah nilisikia aibu sana, wakaniangalia nikajifanya bize naandaa peni. Uzuri hakikutoa harufu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko pembeni watakuwa walicheka balaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikalale mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…