Haaaa haaaaa Joseph [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa jioni ukiwa umeshiba nini [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ilibidi paroko atoke kidogo kwenye kale kajumba ka maungamo asubiri hali ya hewa ibadilike . Sio kosa langu kwani nilikumbuka moto wa milele kwa wenye dhambi ndio kishindo kikaingia
Kwa hiyo mkuu hujawahi kujambaBinafsi sijawahi ila nimesingiziwa mara kibao, yaan unakuta umecheal zako mahali kidume uko peke yako umezungukwa na kina dada nini gafla kijambo kinaibuka from no where watu wote macho kwako daaaaaah [emoji27][emoji27][emoji27] inauma kinoma yaani asikwambie mtu,[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni afadhali hujambe wewe lawana zije kihalali kuliko hajambe mwingine usingiziwe ni wewe.
uso unabaki hucheki hulii,,,unakua hapo katikati
Siyo wewe mkuu uliyekuwa unatishia kujamba wakati unaharishaWakati tupo msingi kuna majamaa walikuwa wanashindana kutoa mashuzi huku sisi wapambe tukishangilia,
punde si punde jemba moja wapo likaachia shuzi lile la Prapatatataaah!
Mchizi pale pale akawa keshajinyea tepe tepe....Nilikula stick plus kumuita mzazi juu (mimi kama mdhamini wa pambano).
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] . dah mzuka wote unapotea !Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
Ulizoa au?Wakati tupo msingi kuna majamaa walikuwa wanashindana kutoa mashuzi huku sisi wapambe tukishangilia,
punde si punde jemba moja wapo likaachia shuzi lile la Prapatatataaah!
Mchizi pale pale akawa keshajinyea tepe tepe....Nilikula stick plus kumuita mzazi juu (mimi kama mdhamini wa pambano).
Kujamba kawaida ila si mbele za watu.ikitokea hivyo basi nanyanyuka zangu kimya kimya najisogeza pembeni namaliza mchezo maisha yanasonga.Kwa hiyo mkuu hujawahi kujamba
Jamaa nae alichezea stick then akapelekwa chooni na vilanja ajisafisheUlizoa au?
Jamaa nae alichezea stick then akapelekwa chooni na vilanja ajisafishe
Siyo wewe mkuu uliyekuwa unatishia kujamba wakati unaharisha
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahah huyo teacher kibokoHahaha mimi nilikuwa na tabia ya kukaa nyuma (back bench) siku hiyo alikuwepo Mwl wa Hisabati anakokotoa hesabu ubaoni mara darasa likasikia piyuuuuuuuu!
Mwl akasema Jambeni tu maana hii topic bila kujamba hamtaelewa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]michezo ya kibabeHapana....mkuu kipindi ya miaka ya 90 tulikuwa na michezo ya hovyo sana mashuleni.
Tulikuwa hadi tunashindanisha madushe ukubwa,upana,urefu,power ya kusimama n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naombaga tu isije nitokea icho kwangu ni kama kiama aisee.Unajikuta upo sehemu mathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
Sana aseei[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]michezo ya kibabe
Kuna jamaa yangu tulikuwa na tabia hiyo chuoni walitafuta wenye madushe ikabidi tuitwe P Square.Hapana....mkuu kipindi ya miaka ya 90 tulikuwa na michezo ya hovyo sana mashuleni.
Tulikuwa hadi tunashindanisha madushe ukubwa,upana,urefu,power ya kusimama n.k
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]teacher alikuwa ni noma ilikua logarithm nini mkuu?Hahaha mimi nilikuwa na tabia ya kukaa nyuma (back bench) siku hiyo alikuwepo Mwl wa Hisabati anakokotoa hesabu ubaoni mara darasa likasikia piyuuuuuuuu!
Mwl akasema Jambeni tu maana hii topic bila kujamba hamtaelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naombaga tu isije nitokea icho kwangu ni kama kiama aisee.