Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Bibi yangu aliachia kitu mbara tata tata tata tata tumekaa kwenye kikao cha familia kila mtu alicheka aisee kuanzia yeye mwenyewe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] bibi yako alikuwa ni nomaaa
 
Hamna sahizi yeye hajawasha laptop sio yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katulia tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] long live JF is where we dare to talk openly mkuu usikute ni mzee wako yule?
 
Hamna sahizi yeye hajawasha laptop sio yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katulia tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hii imenikumbusha tulikuw tunaogelea dogo mmoja kaamua kushusha mzigo/kunya kwenye maji sasa mzigo ukitoka unapanda mgongoni kwake ye hajui tulimpa kipigo kitakatifu
 
Hii imenikumbusha tulikuw tunaogelea dogo mmoja kaamua kushusha mzigo/kunya kwenye maji sasa mzigo ukitoka unapanda mgongoni kwake ye hajui tulimpa kipigo kitakatifu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mtoni hiyo nafikiri ilikuwa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , mbavu zanguu, naimagine hyo sauti ya kijambo ulivoiandika hapoo , mdhamini uliweka dau kubwa kwenye hilo pambano nini,maana si Kwa kujilazimisha huko hao wapambanajii mpk kupuu[emoji3] [emoji3]
 
Aisee ni balaa Jeshini ilikuwa MTU akisinziaa anaachia ushuzii balaaa...si mdadaa si mkaka
Mzee umenikumbusha jeshini. Kuna manzi wakati wa doso badala asimike akategesha bunango juu, akakaa kama doggystyle flani akidhani anaibia, nikamwambia utatuharibia hewa sasa hv akatemana na mm, hazijapita dk2 akashusha mzigo wa haja kila mtu akasikia.
 
We acha tu nilikuwa naungama kwa paroko , aliponipa sala ya toba niliachia kishindo cha ajabu chenye harufu ya yai lililooza , akaniambia nenda kwa amani !
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe jamaa kiboko duu sasa aliyefuata si alikuwa na wasiwasi na aliyemkuta hapo
We acha tu nilikuwa naungama kwa paroko , aliponipa sala ya toba niliachia kishindo cha ajabu chenye harufu ya yai lililooza , akaniambia nenda kwa amani !
Joseph umetia fora.
 
Wakati tuko Secondary kuna dogo mmoja class alibinua kiti ile staili ya kubinua miguu ya mbele ya kiti huku magoti yake yapo yamegusana na meza sasa kijambo kilivyokuja anaangaika kushusha miguu chini kitu kikajipa puuuuuhhh !! Ile anatua miguu chini kikajipa tena puuuuuhh !!! Watu wote class vicheko
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] noma sana
 
Kujamba ni afya. Kuna mzee mmoja alikuwa hapumui(hajambi)ikamletea matatizo. Tumbo likawa linamuuma na kama limejaa hewa, kwa sababu kitaalam kula na kunywa chochote gives us gas. Alienda India akachomwa tu sindano akawa anapumua(anajamba) tu mpaka tumbo likarudi katika hali yake ya kawaida na akapona.

Wahindi kuna majani Fulani hivi wanayaweka katika chai yanasaidia kukata harufu kama ukipumua(ukijamba). Licha ya hivyo wahindi wanajiachia sana aisee! Kuna mzee mmoja wa kihindi alikuwa anajiachia haoni haya, kama vitu vinapiga makofi. Ukimwambia utasikia mbona mimi mtoto, kuna binamu yangu inanizidi mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…