Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Dah!!! Umenikumbusha mbali sana Da'Vinci...ila ulichoongea ni ukweli mtupu. Na siku zote huwa anayethaminiwa hawezi kuona thamani ya mtu anayemthamini ata kdg bali yeye atathamini sehemu ambayo hathaminiwi kabisa. Huwa nina msemo kuwa ukitaka kupendwa ujipende ww kwanza ndy Utapendwa.

Maisha yako yasitegemee uwepo wa mtu fulani , wala furaha yako isitegemee uwepo wa mtu fulani. Ukijipenda mwnyw kwanza ndipo na mtu mwingine atakupenda pia. Inaumiza pale unapomthamini mtu alafu yeye hakuthamini na wala haoni ule mchango wako. Inauma sana.
 
Ni kweli kabisa unachosema, ata mimi huwa napenda sn maneno haya ili upendwe kwanza Jipende ww mwnyw lkn ukimtanguliza kumpenda mwenzio kwanza ww mwnyw hujijali aisee utateseka sana.
 
Ni kweli kabisa unachokiongea. Jipende mwnyw kwanza.
 
Daah umeandika point moja kubwa mno hadi nimejikuta nimetafakari kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi mpenda mtu akanitema asubuh kiukweli Maumivu nilipata nilisema Asnte Yesu. Leo ananishangaa na atazidi nishangaa alifikiri nitapotea bila ya yeye. Ila kumbe yupo Mungu wa miujiza bila kukanyaga mafuta wala maji ya upako.
 
Daah umeandika point moja kubwa mno hadi nimejikuta nimetafakari kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Inagarimu muda mrefu sana kufahamu hilo.
Pale siku umekaa chini unajiuliza kwanini vitu/watu fulani navipenda vina disappear hata nikijaribu kuving'ang'ania napoteza vitu vingi kila wakati naanza moja pale pale kwenye upweke,ndio unagundua kuwa ;
no matter how hard i try, Every turn I take, every trail I track,Every path I make, every road leads back
To the place I know, where I can not go, where I long to be ( by moana)

utagundua wewe ni mtu mpweke usipoyakubali maisha yako furaha yako ikajitengeneza ndani yako, ukaishi kwa kujitegemea. utaishi maisha mapweke mara100 zaidi ya upweke ulionao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peoples you love will change you..things you have learned will guid you.
(Mona)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…