Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Najaribu ku imagine nashindwa..
Ina?
hapana hauwezi kumkumbuka....ilikuwaga ni 2017..ghafla akatoweka ..sijui hata alielekea wapi yule mtu...maana alikuwaga ni mshikaji wangu kinyama...
 
hapana hauwezi kumkumbuka....ilikuwaga ni 2017..ghafla akatoweka ..sijui hata alielekea wapi yule mtu...maana alikuwaga ni mshikaji wangu kinyama...
Kama nimeshindwa kutambua if yake mm basi
 
Wow you guys mmenifurahisha mlivyoquote some verses za kwenye moana,, hamjui tu ni jinsi gani nampenda moana and I see her in me character-wise..

I'm an ocean-lover,, na hadi wazazi wangu wameshaongea na wameshanikataza sana (kama wazazi wa moana) kuhusu suala la kupenda bahari kupita kiasi..

"I wish,, I could be the perfect daughter.. but I come back to the water,, no matter how hard I try.."

Yaani mimi ni introvert mmoja ninayejikubali mno,, napenda sana kuwa peke yangu na napenda sana adventures..
Peoples you love will change you..things you have learned will guid you.
(Mona)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno hayafanyi kazi kwa mtu anayempenda mtu kweli.
Wanasema "if you love something, fight for it".
Yaani ukae uache kupambana ukidhani kwamba atakuja mwenyewe?.
Kweli kabisa...kila mtu akisema 'aache tuu vyake vitakuja' nani atamfwata mwenzie sasa
 
mimi napenda misitu na vile iko kimyaaa
maji nayaogopa napenda kuyatazama tu.
lazima tupende adventure kwakua ndio kitu ambacho hakitakukataa.
happiness is the key of life haijalishi someone got ur back au ukianguka unajiokota mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…