hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
😃😃 ....Nikumbushe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃 ....Nikumbushe..
hapana hauwezi kumkumbuka....ilikuwaga ni 2017..ghafla akatoweka ..sijui hata alielekea wapi yule mtu...maana alikuwaga ni mshikaji wangu kinyama...Najaribu ku imagine nashindwa..
Ina?
Kama nimeshindwa kutambua if yake mm basi
i hope so..... sijui alipatwa na nini...!90% nilikua namuwaza huyo.. ila uliposema kapotea 2017 ndio ukanipoteza.. maana kapotea kama July au june 2018.
nani huyo mkuunime kufananisha na mtu fulani hivi...alikuwa anapenda kutumia avatar kama yako
Jolie Jolienani huyo mkuu
Inagarimu muda mrefu sana kufahamu hilo.
Pale siku umekaa chini unajiuliza kwanini vitu/watu fulani navipenda vina disappear hata nikijaribu kuving'ang'ania napoteza vitu vingi kila wakati naanza moja pale pale kwenye upweke,ndio unagundua kuwa ;
no matter how hard i try, Every turn I take, every trail I track,Every path I make, every road leads back
To the place I know, where I can not go, where I long to be ( by moana)
utagundua wewe ni mtu mpweke usipoyakubali maisha yako furaha yako ikajitengeneza ndani yako, ukaishi kwa kujitegemea. utaishi maisha mapweke mara100 zaidi ya upweke ulionao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Peoples you love will change you..things you have learned will guid you.
(Mona)
Si yupo umu au?
hayupo active..all most mwaka 1 na zaidi nowSi yupo umu au?
wewe kuku mgeni humu😃😃😃Simjui looh
aahh
wewe kuku mgeni humu[emoji2][emoji2][emoji2]
aahh
wewe kuku mgeni humu[emoji2][emoji2][emoji2]
😃😃mgeni sana bwana... anyway karibu mnooo... Bila shaka tutapata mengi ya kujifunza,toka kwakoAhahaha mgeni kidogooo
oohhh.... hapo sawaNilikuwa jf tangu 2015 sema sikuwaga na account. Nimekuja kuwa nayo 2019
Mgeni mwenzangu huyu.....aahh
wewe kuku mgeni humu[emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli kabisa...kila mtu akisema 'aache tuu vyake vitakuja' nani atamfwata mwenzie sasaHaya maneno hayafanyi kazi kwa mtu anayempenda mtu kweli.
Wanasema "if you love something, fight for it".
Yaani ukae uache kupambana ukidhani kwamba atakuja mwenyewe?.
mimi napenda misitu na vile iko kimyaaaWow you guys mmenifurahisha mlivyoquote some verses za kwenye moana,, hamjui tu ni jinsi gani nampenda moana and I see her in me character-wise..
I'm an ocean-lover,, na hadi wazazi wangu wameshaongea na wameshanikataza sana (kama wazazi wa moana) kuhusu suala la kupenda bahari kupita kiasi..
"I wish,, I could be the perfect daughter.. but I come back to the water,, no matter how hard I try.."
Yaani mimi ni introvert mmoja ninayejikubali mno,, napenda sana kuwa peke yangu na napenda sana adventures..
Sent using Jamii Forums mobile app