Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Kama una sifa za moana ww sio introvert...
I'm Lord Commander Jon Snow.
Michael Scolfied.. hawa ndio watu naofanana nao kiasi kikubwa
 
Niliwahi.

Aliniacha bila sababu nikiwa bado ninampenda sana, sikuacha kumpigia japo mara chache baada ya miezi minne akanirudia nilijisikia vizuri na furaha ila cha ajabu simpendi sana kama zamani.

Hata naye analijuwa hili ila ndiyo alinipenda kuliko alivyowahi kunipenda.

Nakubali ni kosa kubwa sana nilifanya sababu kwasasa najikuta nikifanya mengi kumfurahisha ila mimi hata akinifanyia mazuri hayanifanyi nipate furaha.
 
Ase wanaopenda sana nd huwa wanaumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Okey.
 
Hata mie maji nayaogopa na funny thing is ni kwamba hata kuogelea sijui ila napenda tu kukaa sehemu zenye fukwe kuitazama bahari huku nikisikiliza muziki taratibu

Mie misitu siyo sana baada ya bahari kinachofuata ni milima napenda sana milima hasa ile ambayo ni evergreen na unaweza ukaifanyia hiking bila tatizo

Aise nimegundua kumbe introverts tuna many common characteristics

But at the end of the day ni kama ulivyosema happiness is the key
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…