hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
😃😃acha ufisi ... wewe ni senior member humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃acha ufisi ... wewe ni senior member humu
Kaka hebu nielewe basi[emoji23][emoji23] Sisi wageni inabidi tutambuane na nyie wenyeji muwe wakarimu kwetu..[emoji2][emoji2]acha ufisi ... wewe ni senior member humu
😃😃😃😃...Aisee... wewe tangu JF inaanza upo humu...una ugeni gani wewe ?..Kaka hebu nielewe basi[emoji23][emoji23] Sisi wageni inabidi tutambuane na nyie wenyeji muwe wakarimu kwetu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha[emoji2][emoji2]mgeni sana bwana... anyway karibu mnooo... Bila shaka tutapata mengi ya kujifunza,toka kwako
Wewe sio mgeni ndio ila ni kama mimi tu[emoji848]Ahahaha mie sio mgeni ss
Kama una sifa za moana ww sio introvert...Wow you guys mmenifurahisha mlivyoquote some verses za kwenye moana,, hamjui tu ni jinsi gani nampenda moana and I see her in me character-wise..
I'm an ocean-lover,, na hadi wazazi wangu wameshaongea na wameshanikataza sana (kama wazazi wa moana) kuhusu suala la kupenda bahari kupita kiasi..
"I wish,, I could be the perfect daughter.. but I come back to the water,, no matter how hard I try.."
Yaani mimi ni introvert mmoja ninayejikubali mno,, napenda sana kuwa peke yangu na napenda sana adventures..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu..Ila mbona sijaliona kosa langu!?Mkuu shemejio huyo
Ase wanaopenda sana nd huwa wanaumia sanaHabari wakuu.
Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae sana san. Yaani unakuta una mpenzi roho yako imetokea kumpenda sana husikii wala huoni juu yake, kila muda unatamani uwe nae karibu au kuwasiliana na nae..Au kama ni rafiki yako wa kiume unakua kila ukitaka kufanya kitu Fulani unamstua mshikaji wako, yaani kama kuna ishu unatka kufanya mshikaji wako bila kuwepo unaona unaifanya kimagumashi. Kiuhalisia unakua upo mentally attached to that person, unakua umempa nafasi kubwa sana mpenzi wako au mtu huyo kwenye akili yako na maisha yako kwa ujumla.
Je huo upendo na nafasi kubwa uliyompatia kwenye maisha yako ushachunguza kama naye anakupatia nafasi hiyo? Jibu ni No! na kama ni Yes basi nafasi hiyo amekupa kwa muda, kuna muda utamtext atakujibu kwa wakati wake, utatamani kuongea nae ila yeye ataona unaboa tu, utataka uonane nae yeye atakuona msumbufu.
Ikifika hatua unaona mtu yupo online unamtext pm ana like tu, unamtext wasap ana soma then anakaa kimya sana au unamtext kwa sms halafu yeye kaka kimya wakati unajua hiyo sio kawaida yake jua kwamba huna chako hapo, utakua unalazimisha mawasiliana,mapenzi au urafiki ambao mwenzako hautaki tena.
Kwanini ulazimishe mawasiliano au mapenzi ? Kila kitu chatokea kwa sababu. Unajua unapompenda na kumjali mtu sana kiasi asicho stahili utaishia kupata maumivu usiyo stahili..
Subconscious mind hutenda kazi ikishirikiana sambamba na Nature, kuna hali Fulani unawez kua nayo katika maisha labda ni upweke,huzuni,kukosa faraja kiufupi unakua huna furaha au amani ya maisha. So kinachotokea ni kwamba
Subconcious mind inawasiliana na Nature kua mwanadamu huyu (yaani wewe) una matatizo Fulani maishani inaiamuru nature kutafuta mtu wa kuja maishani mwako ambae ataendana na hali ile uliyonayo.
Baada ya muda mfupi utajikuta umepata rafiki ukawa nae anakuliwaza kweli hadi ile hali ikawa imeisha..Mind ikishaona mentally ya huyu mtu iko stable inamuamuru nature kuruhusu yule mtu kuondoka au akaendelea kubaki. Hapo sasa ndio utaona umepata rafiki labda ni mwanamke au mwanaume akawa anakupa company sana kwa hali uliyonayo kwa muda Fulani (hata mwaka mzima. Unajikuta umekua attached sana na mtu huyo then inafika muda bila sababu yoyote ile ya msingi unaona mawasiliano na urafiki unapungua taratibu then unaisha kabisa. Hapo nature inakua ishafanya yake..
Nachotaka kusema ni kwamba watu ambao mpo kwenye mahusiano jifunzeni kusoa alama za nyakati, so unaona hapa mapenzi au urafiki unaanza kuisha ila wewe ndio bado unazidi kuongeza kupiga simu na kumfuata ili aendelee kubaki…Kijana kila kitu kinakuja kwa muda na sababu Fulani, hutakiwi kutumia nguvu kubwa kumfanya mtu aendelee kubaki kwenye maisha yako. Mtu kama ni muhimu kwenye maisha yako atakuja mwenyewe na kukaa nawe daima, huna haja ya kulazimisha.
Kwanini ulazimishe mahusiano? Watu wote hawa waliojaa duniani au unadhani yeye ndio bora pekee kuliko wote, mwache aende labda alikua sio riziki ya maisha yako! Utapata mwingine. Kikubwa zaidi ambacho hutakiwi kukifanya maishani mwako ni kupuuzia ubaya wa mtu anaokufanyia kwakua unahitaji mtu huyo aendelee kubaki maishani mwako, train your mind to be stronger than your feelings.
Kingine maishani mwako usionyeshe wema au uzuri wako ili uwafanye wavutiwe nawe, waonyeshe ule upande wako ambao ni mbaya uone kama watakuvumilia au wataondoka. Wakiondoka usijali jua ni watu fake. Be real that’s beautiful enogh kijana.
Mwaka mpya,misimamo mipya..Uliumbwa mwenyewe! Huyo mpenzi au rafiki yako umpendae sana ambae unaona huwezi fanya kitu bila yeye ni wa kupita tu.
Hamishia nguvu zote kwa mama yako ndio the best one ambae hatakuja kukusaliti. Jiamini katika uwezowako, unaweza kufanya makubwa bila mpenzi wako huyo ambae unaona huwezi fanya kitu kikafanikiwa bila yeye.If you Doubt your power, you power your doubt.
Binafsi hua sijali wala kujutia chochote maishani mwangu, ukinipenda Ahsante na karibu, ukiondoka hamna shida pia.. you weren't meant to stay in my life, if you were! You will stay in my life forever
A guy has said, It’s up to you To choose me or to loose coz I’m not a second choice
With or Without you, I shine!
Vers
😃😃Bazazi hana rangi
😃😃Sawa mkuu..Ila mbona sijaliona kosa langu!?
Socialization is not a crime..
Sent using Jamii Forums mobile app
😛😛
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hahahaha wewe mbona ni kama mimi tu yaani mimi sijawahi hisi napendwa na mtu japo kuna watu baki huwa wanasema eti wananipenda ila si unajua moyo wa mtu kichaka
Hauwezi jua kama mtu kamaanisha au la hivyo hata mie mtu baki akiniambia eti ananipenda au amenimiss huwa namuitikia tu lakini moyoni nashituka na najiuliza anipende au animiss kwa kipi hasa nilichomfanyia au kwa sababu gani labda
Japo mie ninaweza nikampenda mtu from nowhere sababu ya kitu kidogo tu hata kama simjui vizuri na mimi nikimpenda mtu huwa sina tabia ya kutaka eti naye arudishe ule upendo kama nilionao mimi kwake yaani sinaga expectations hizo
Unasubiri nini kwenda JWTZ ndugu yangu mimi huko kunaniita na maisha kama hayo nahisi ndiyo maisha niliyoyachagua na ndiyo niliyopangiwa kuwa nayo hadi nakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi napenda misitu na vile iko kimyaaa
maji nayaogopa napenda kuyatazama tu.
lazima tupende adventure kwakua ndio kitu ambacho hakitakukataa.
happiness is the key of life haijalishi someone got ur back au ukianguka unajiokota mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupiga mkwara sina mpenzi humu.. jiachie uwezavyoSawa mkuu..Ila mbona sijaliona kosa langu!?
Socialization is not a crime..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una sifa za moana ww sio introvert...
I'm Lord Commander Jon Snow.
Michael Scolfied.. hawa ndio watu naofanana nao kiasi kikubwa
Safi..Ujue umenifanya now namuangalia moana hapaHahahaha siendani naye sifa zote,, ndiyo maaana nikaorodhesha hapo sifa ambazo naona kabisa kuwa mimi na yeye tunaendana..
Sent using Jamii Forums mobile app