Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

nilishasema maana kama kuwakeep nafikiri mm ni master najua kujipendekeza jamani lakini napigia mbuzi gitaa nikichoka nikiacha ndo basi[emoji3].. hapo ndo utajua nobody can stop loneliness destiny

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣
 
Da vinci let me write this based on my perception! Kuna kitu inaitwa self respect sivyo? Okay, based on relationship lets say, Nakupenda Yes, but ikiwa hujali sidhani kama ni busara to fight for it! We sometimes need to give each others space ili mtu ajue umuhimu wako! Seriously kuna namna unaweza kuganda ku prove kitu na then ukadharaulika mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana ni mpanikiji haraka sana maisha hasa katika suala la mapenzi hayaendi ivo, kwa hiyo ayo yoote ni rahisi sana kuyahandle
Ushauri wako mkuu ni ni kifanyike?
 
Yeah huwa najitahidi sana kuwa a perfect daughter lakini kwenye hayo maswala tu ndiyo huwa najikuta naharibu daah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwee nimesema nimedownload nyimbo kumi tu na hizo nilizozidownload ndizo nilizozikariri na kumbuka moana ina nyimbo zaidi ya kumi

Hata hivyo kati ya hizo nyimbo kumi nilizokariri zipo kama nne hivi ambazo zina kilugha na nimezikariri hivyo hivyo maneno kama ninavyoyasikia
Hongeraa kama umekariri hadi nyimbo za Olivia Foa'i
Te vaka
Opetaia Foa'i nk..
Maana kugha yao ile mmhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa mama mie ni introvert ila kama ni kujipendekeza kwa watu basi mie ni bingwa lakini ndiyo huwa naambulia patupu
nilishasema maana kama kuwakeep nafikiri mm ni master najua kujipendekeza jamani lakini napigia mbuzi gitaa nikichoka nikiacha ndo basi[emoji3].. hapo ndo utajua nobody can stop loneliness destiny

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilidhani pekeyangu. kama haipo haipo tu[emoji23]
bro wangu mimi anavyojiskia lakini ni mtu wa watu mno , hatumii nguvu kabisa watu wanamfata wenyewe.Sijuu ndio tatizo nyota[emoji23]
Kweli kabisa mama mie ni introvert ila kama ni kujipendekeza kwa watu basi mie ni bingwa lakini ndiyo huwa naambulia patupu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…