princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
nilishasema maana kama kuwakeep nafikiri mm ni master najua kujipendekeza jamani lakini napigia mbuzi gitaa nikichoka nikiacha ndo basi[emoji3].. hapo ndo utajua nobody can stop loneliness destinyHahahaha wanakimbia,, mie sina tu nyota ya kuwa na marafiki maana kama ni kuwaweka huwa najitahidi sana kuwaweka ila bado wanaondoka bila sababu kuna wengine sitakagi kabisa kuwapoteza ila bila kupenda najikuta nawapoteza daah..
Anyway ni kama ulivyosema tu kuwa destiny decides who stays in our lives,, na hata Vee Money kuna interview aliwahi kusema kuna watu wanaokuwepo kwenye maisha yako kwa muda kuna wanaokuwepo kwa mafunzo na kuna wanaokuwepo for life hata awe ni ndugu yako so yule aliyepangiwa kuondoka kwenye maisha yako ataondoka tu hata ufanyeje..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app