Mimi udhaifu wangu ni samahani, hata unikosee nini ukisema hivo. Nafuta kila kitu coz you feel guilty for what you did to me. Shida ni pale Ke asipojishushame napenda kuonywa lkn s mbele za watu, endapo nitakuwa nmekosa. Kuna wengne hawakuony wala kukupiga wananuna. 🤣🤣🤣🤣 kweli dunia ina mengi, yaan mwanaume ananuna hakuongeleshi🤣🤣🤣 asa me nitaota kuwa nmekukwaza.
Wala sio kwamba mnalazimisha kuhusiana it's just We get what we don't deserve. Mwisho mnabaki mwapendana ili liende (life) tu
muda mwngne naona mahusiano yana wenyewe, yaan kuna watu maalumu wamepangiwa kuhusiana. Wengne tunajilazmisha
Mimi udhaifu wangu ni samahani, hata unikosee nini ukisema hivo. Nafuta kila kitu coz you feel guilty for what you did to me.
😪 inaskitisha sana, looh! N her kusubirWala sio kwamba mnalazimisha kuhusiana it's just We get what we don't deserve. Mwisho mnabaki mwapendana ili liende (life) tu
Yeap sometime inabidi sasa umsome mtu tabia, kuna watu wengine hua napenda kuwaita Transistor. They Transist every bit of Volts to be Electric. Yaani wao kitu kidogo wanakuza na kuwa tatizo hasa hata ukiomba msamaha hawajali.kuna wanaume hawaoni thamani ya neno "samahani" n wachache sana wanaotambua uthamani na kulipa thamani, wengi huchukulia kawaida tu.
me nmewaachia mahusiano weny moyo wa chuma, akii me spend kuelelezwa jaman khaaa!Yeap sometime inabidi sasa umsome mtu tabia, kuna watu wengine hua napenda kuwaita Transistor. They Transist every bit of Volts to be Electric. Yaani wao kitu kidogo wanakuza na kuwa tatizo hasa hata ukiomba msamaha hawajali.
Lakini nyie wanawake si mnajisifu kua mnataka badboys wenyekuwadunda dunda.
nmeona swez kubembeleza na kuomba msamaha kwa kosa s langu, akii nmechoka ......wacha nisonge mbele kama injili.You have to keep ya head up mate, Life is typical sucking unachotaka hupati unachopata hutaki
me nmewaachia mahusiano weny moyo wa chuma, akii me spend kuelelezwa jaman khaaa!
na kosa kubwa me huwa naogopa kuumiza wengne ndyo kinachoniponza, najali muda na hisia 😭😭😭😭vmeniponza
Mkuu something is burning in you and the house is on fire n' you're just pretending like everything is damn fine.nmeona swez kubembeleza na kuomba msamaha kwa kosa s langu, akii nmechoka ......wacha nisonge mbele kama injili.
sjawa na vsa n kisa kimoja lkn naona kama vsa 3000, ingawa sjajua nmekosea wap
Vp hii "fight for what you love"Stop texting first.. to see how many people care for you
nashukuru mpendwaMkuu something is burning in you and the house is on fire n' you're just pretending like everything is damn fine.
You will explodeeee...shauri yako.
If you want to cry just cry out don't block the rage in you!
Sorry for Scratching your inside
........u hali gani Da'Vinci , nashukuru nazd kuwa sawa kila leo. Najua nitakaa sawa na kuwa kama hapo awali, wanasema kuteleza s kuanguka. Nliteleza nashukuru skuanguka 😊The world throw us a born that'll never end up in ou mouths, so just Define yourself by what you have, value the differences, make no apologies for what you lack
ahsantee......All iz well Michie.
Pole sana, wapi uliteleza??