Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #981
Mimi udhaifu wangu ni samahani, hata unikosee nini ukisema hivo. Nafuta kila kitu coz you feel guilty for what you did to me. Shida ni pale Ke asipojishushame napenda kuonywa lkn s mbele za watu, endapo nitakuwa nmekosa. Kuna wengne hawakuony wala kukupiga wananuna. 🤣🤣🤣🤣 kweli dunia ina mengi, yaan mwanaume ananuna hakuongeleshi🤣🤣🤣 asa me nitaota kuwa nmekukwaza.
Wala sio kwamba mnalazimisha kuhusiana it's just We get what we don't deserve. Mwisho mnabaki mwapendana ili liende (life) tu
muda mwngne naona mahusiano yana wenyewe, yaan kuna watu maalumu wamepangiwa kuhusiana. Wengne tunajilazmisha