Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

My dear mtoa post
Huyo alisema kuhusu subconscious mind amenigusa ku moyo mpk chozi limetoka Mana Niko katika Hali ya kutafuta furaha na Aman moyon.


Tatizo langu ni kua nilipo Anza kutafuta rafiki wa kweli ktka uanafunzi huu nilionao sasa nikapata nikaweka Iman kua atakua na me Kila mda ni mwana wangu Sana tunashare vingi ,tunasoma wote ,tunasema Iman kua tutafanya wote kazi moja na vengine vingi Kama marafiki

Nalimtafuta yye Mana nallikua na msongo wa mawazo kukataliwa kimahusiano na Mikasa mingi ya maisha .

Ila sasa yanayo nikuta ni makubwa Mana najikuta me ndyo naweka huo uwepo sasa wa urafiki sio Kama zaman kisa jamaa kapata demu ambaye anampenda Sana.


Mara nyingi najikuta mpweke Sina wa kusema nae niliyo nayo basi nabaki naongea mwenyew tu Sina Hata demu Kama rafiki yangu kusema atanipa furaha

Humu mko mnaojua namna nitapona na hili tatizo [emoji24][emoji24] [emoji24] Mana napenda marafiki Ila marafiki ni wakunipa furah mwanzon tu

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Ngoja kwanza nilie mimi [emoji24][emoji24][emoji24] Mana mtoa mada kanigusa kwenye huzun.

Naombeni ushauri wenu wakuu[emoji17][emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ndugu yangu
 
Mimi marafiki ninao lakini natengeneza mazingira ya rafiki yeye anipende mimi sana kuliko mimi navyompenda yeye uwaga inatokea tu wananipenda sana wao wanahesabiaga mimi ni rafiki yao lakini mimi nawachukulia kawaida sana. Niko sehemu napata marafiki wengi wa kike hii hali yakuwa na marafiki wa kike siipendi sana nmeanza wote kuwakwepa wananitafuta sana mimi sitaki urafiki na mademu sjui nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee nilijuaga niko peke yangu mwenye mawazo kama haya,, at times I feel useless may be because of the kind of life I'm living..
Mimi sijui ila Nadhani maybe sijapenda au nimeukomaza moyo wangu kwa mitazamo ya kua mpweke pweke.
Mfano..
Hua najisemea I'm useless one, nobody needs me! So kwa mentally hii hata mpenzi akiniacha najua tu I'm no tdestined to he loved.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee nilijuaga niko peke yangu mwenye mawazo kama haya,, at times I feel useless may be because of the kind of life I'm living..

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mdada. Tuko pamoja..
Watu hushangaa hio signature yangu. Hiyo ndio falsafa yangu maishani, I'm useless so if you like me like me..if you hate me..hate as you can coz I'm not worthy in this world.

Maneno haya yananisaidia nisitegenee cha mtu
 
Yup sometimes yanasaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Safi sana ujumbe mzuri
 
Yeah mie hata mtu baki akinipenda huwa najiuliza kanipendea nini maana ninaboa

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa si bora wewe unapendwa na hao watu baki.
mimi sijawahi kuhisi napendwa hata mtu akinitumia [emoji173] nashtuka ..
nmesahau last time nmependwa lini[emoji22].. nashangaa kwanini mzee hataki kunipeleka Jwtz nikaishi maisha yasiyo na upendo wala urafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…