Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Kama mimi tu, nimejipekua nikajivhunguza nimeona kabisa habari za kuoana au kuishi na Mtu mimi siwezi Kwanza
  • Sipendi kuulizwa upo wapi
  • Utarudi saa ngapi
  • Sipendi kulala na mtu mwingine kitandani
  • Napenda uhuru
  • Sipendi kufuatana fuatana hii inanifanya nisiwe hata na marafiki
  • Nawahi kuwa bored namtu mwisho naishia kufuta namba.
  • I wish I never be born
  • Nk... Siwezi yasems public

U
Daah nilijua niko peke yangu atleast nazidi gundua kuwa tupo wengi! Binafsi hata mimi nimeona maisha ya ndoa sitayaweza hivyo nimeamua sitakuja kuolewa, kuzaa, kuwa na mpenzi wala kuishi na mtu yeyote (hasa ndugu) maisha yangu yote!

Lakini tatizo ni kwamba watu kama sisi jamii haituelewi na inatubatiza majina yote mabaya! Hadi sasa sijui naanzaje kuwaambia wazazi wangu na ndugu zangu kuwa mimi sina mpango wa kuolewa wala kuzaa wataniona kichaa kabisa!
 
Haupo peke yako Mkuu there are plenty of peoples like you, you just never met them or come across to.
Mimi watoto napenda na ninatamani sana
Lakini tatizo ni kwamba watu kama sisi jamii haituelewi na inatubatiza majina yote mabaya! Hadi sasa sijui naanzaje kuwaambia wazazi wangu na ndugu zangu kuwa mimi sina mpango wa kuolewa wala kuzaa wataniona kichaa kabisa!
Shida iko hapo tu kwa huku afrika hatuna elimu ya ujinsi,tabiana personality za watoto wetu. Il
 
Kama mimi tu, nimejipekua nikajivhunguza nimeona kabisa habari za kuoana au kuishi na Mtu mimi siwezi Kwanza
  • Sipendi kuulizwa upo wapi
  • Utarudi saa ngapi
  • Sipendi kulala na mtu mwingine kitandani
  • Napenda uhuru
  • Sipendi kufuatana fuatana hii inanifanya nisiwe hata na marafiki
  • Nawahi kuwa bored namtu mwisho naishia kufuta namba.
  • I wish I never be born
  • Nk... Siwezi yasems public

U
Aaah[emoji20][emoji20] is like you are talking about me. Hii imenifanya nisiwe na diehard friends kabisa, but im happy nikiwa alone tu kwa nyumba bila any other person around me, akiweko mtu mwingine i dont feel comfortable kabisa, even on my bed i like to be alone akiweko another person i feel ni kama nimebanwa sana[emoji20] God help , nimetry kuchange but is just natural i think

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Hii mambo inatesa sana...yani limtu unalipeeenda lenyewe linakuona zuzu

Na kweli mtu unakuwa zuzu unalazimisha mtu abaki sasa apo consequences zake ni maumivu tu yani kunazuka vita moja kali sana kati ya hisia na ubongo dadadeki

Yashanikuta matukio kama mawili ya hivi kwa madem aiseeeh mbwa zile sitazisahau
 
Daah nilijua niko peke yangu atleast nazidi gundua kuwa tupo wengi! Binafsi hata mimi nimeona maisha ya ndoa sitayaweza hivyo nimeamua sitakuja kuolewa, kuzaa, kuwa na mpenzi wala kuishi na mtu yeyote (hasa ndugu) maisha yangu yote!

Lakini tatizo ni kwamba watu kama sisi jamii haituelewi na inatubatiza majina yote mabaya! Hadi sasa sijui naanzaje kuwaambia wazazi wangu na ndugu zangu kuwa mimi sina mpango wa kuolewa wala kuzaa wataniona kichaa kabisa!
Umri tu.. kuna mda utabadilika tu.. asili ya mnyama ni kukaa kwa pamoja
 
Hii mambo inatesa sana...yani limtu unalipeeenda lenyewe linakuona zuzu

Na kweli mtu unakuwa zuzu unalazimisha mtu abaki sasa apo consequences zake ni maumivu tu yani kunazuka vita moja kali sana kati ya hisia na ubongo dadadeki

Yashanikuta matukio kama mawili ya hivi kwa madem aiseeeh mbwa zile sitazisahau
Pole sana, shea nasi ilikuaje?
 
Daah nilijua niko peke yangu atleast nazidi gundua kuwa tupo wengi! Binafsi hata mimi nimeona maisha ya ndoa sitayaweza hivyo nimeamua sitakuja kuolewa, kuzaa, kuwa na mpenzi wala kuishi na mtu yeyote (hasa ndugu) maisha yangu yote!

Lakini tatizo ni kwamba watu kama sisi jamii haituelewi na inatubatiza majina yote mabaya! Hadi sasa sijui naanzaje kuwaambia wazazi wangu na ndugu zangu kuwa mimi sina mpango wa kuolewa wala kuzaa wataniona kichaa kabisa!
Kichaa kabisa wewe
 
  • Thanks
Reactions: 5ty

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ishi maisha yako dea mommah, tunaish mara 1 tyuuh.
 
😢
FB_IMG_16368260704801373.jpg
 
Yaaaah nimeshaexperience but namshukuru Mungu nimevuka salama that stage.
Kuumizwa kwangu ni kwenye first stage tu not second one.
Pole sana mkuu kwa yaliyokupata, watu hawana huruma kabisa ulivyo mpole ila bado wanakuumiza.
Inaonyesha mapenzi yanauma sana eeh, haiajawahi kunitokea wala haitakuja kutokea kwangu.
Mwezi wa 10 tu ndio niliumia sana kuna muvi ilitakiwa zitoke mwakani wakabadirsha hadi mwaka 2023 hapo tu ndio niliumia sana. Na haitatokea tena
 
Back
Top Bottom