Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Daah nilijua niko peke yangu atleast nazidi gundua kuwa tupo wengi! Binafsi hata mimi nimeona maisha ya ndoa sitayaweza hivyo nimeamua sitakuja kuolewa, kuzaa, kuwa na mpenzi wala kuishi na mtu yeyote (hasa ndugu) maisha yangu yote!Kama mimi tu, nimejipekua nikajivhunguza nimeona kabisa habari za kuoana au kuishi na Mtu mimi siwezi Kwanza
- Sipendi kuulizwa upo wapi
- Utarudi saa ngapi
- Sipendi kulala na mtu mwingine kitandani
- Napenda uhuru
- Sipendi kufuatana fuatana hii inanifanya nisiwe hata na marafiki
- Nawahi kuwa bored namtu mwisho naishia kufuta namba.
- I wish I never be born
- Nk... Siwezi yasems public
U
Lakini tatizo ni kwamba watu kama sisi jamii haituelewi na inatubatiza majina yote mabaya! Hadi sasa sijui naanzaje kuwaambia wazazi wangu na ndugu zangu kuwa mimi sina mpango wa kuolewa wala kuzaa wataniona kichaa kabisa!