NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Mi sana aiseh hasa nikiwa shule na chuo pale campus!
"Eti .... kwanini usinioe jamani""!!
Wengine wananitoa out za kiaina hata siwaelewi!mara Eti we handsome msafii halafu upo faculty of science Bas! wengine ma ushauri kibao Hadi usiku Sana eti discussion za reports za practicals!Bahati mbaya sikua muhuni just a focus guy one diretional!
Najuta sana Bora ningechakata tu sema niliogopa watoto wa Mama Salma wale wanaotumia vidonge vya vvu!jamaa yangu alikua Waziri wa afya aiseh chuo KILIKUA kimechafuka sana na uoga wangu nikasema nooooo!
Bado ipo hata humu jf SEMA Hadi uwe na third eye ndio utajua nani anatongoza Nani!!
Kuna baadhi ya nyuzi zinawaita watu FULANI sema tunajifanya kama hatuelewi vile halafu wahusika Wana change IDs Ili kuua soooh!
But I love them all!!