Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

Kila ndani ya siku 365 na robo napata hizo kesi mara 2 au3.
 
Huo ndo uanaume Sasa sio kirahisi tu ushaomba msamaha
 
Nyota kunivua sio rahisi hapo nilkuwa nawinda Hela mkuu kama nilivosema mzee wake alikuwa mstaafu ningekulaje hizo Hela Sasa bila kujifanya bwege Kwa Wakati huo maana mavuno yalikuwa hakika
 
Hii imekaa kama fix vile maana mmmh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hawa jamaa na jinsi ulivyoandika hii habari sio kweli broo vinginevyo mke wako ni zaidi ya malaika na cha kushangaza bado yupo 😳😳
Jamaa wanatofautiana.
Kuna mshikaji alifumaniwa na mke wa mshikaji akapigwa kweli kweli na akatolewa mkumku. Wife wake akasikia Kila kitu alipo muhoji akakataa huku ana ngeo akamwambia siyo kweli sema wamepigana Kwa sababu alikuwa anadaiwa na jamaa akamjibu vibaya huku na huku jamaa kameza wembe hakukubali
 
Ilinitokea na nikakataa sio sms zangu
 
Huyu Sasa hata Mimi nikasome asee nimecheka kidogo ninyee
Wewe kama mimi🀣🀣 imenifurahisha sana sana , yaani jamaa mkuku πŸƒπŸ½β€β™‚οΈ Wote nilijua anamkimbia kumbe Anaenda kujifanya sio yeye πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Unarudi kazini unakuta nimesoma msg zako halafu sinuni wala nini, na sikuulizi chohote. Utaanza kujiuliza mwenyewe...ina maana hajanuna?....au naye anafanya zinaa so anaona kawaida?....au ananidharau?....au atanitilia sumu...au hajali....au.....au....au. Ila ujue sehemu kubwa ya upendo imekwenda na maji. Iko siku utajutia juto kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…