Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #101
Kitendo Cha kunifungia nisiingie kwangu maana yake umenipa Baraka zote nikalale Kwa mchepuko na nitaenda. Kwanza muda si nakuwa sijui kosa maana umejifungia.😂yani angejutaaaa[emoji28], angeenda na kulala kwa hicho kimalaya chake, yani hata mtoto asingemgusa angeishia kumuangalia tu dirishani.. uwiiiiii nyumba ingegeuka gaza na israel[emoji23]