Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

yani angejutaaaa[emoji28], angeenda na kulala kwa hicho kimalaya chake, yani hata mtoto asingemgusa angeishia kumuangalia tu dirishani.. uwiiiiii nyumba ingegeuka gaza na israel[emoji23]
Kitendo Cha kunifungia nisiingie kwangu maana yake umenipa Baraka zote nikalale Kwa mchepuko na nitaenda. Kwanza muda si nakuwa sijui kosa maana umejifungia.πŸ˜‚
 
yani angejutaaaa[emoji28], angeenda na kulala kwa hicho kimalaya chake, yani hata mtoto asingemgusa angeishia kumuangalia tu dirishani.. uwiiiiii nyumba ingegeuka gaza na israel[emoji23]
Kitendo Cha kunifungia nisiingie kwangu maana yake umenipa Baraka zote nikalale Kwa mchepuko na nitaenda. Kwanza muda si nakuwa sijui kosa maana umejifungia.πŸ˜‚
 
Wewe kama mimi🀣🀣 imenifurahisha sana sana , yaani jamaa mkuku πŸƒπŸ½β€β™‚οΈ Wote nilijua anamkimbia kumbe Anaenda kujifanya sio yeye πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Halafu hii ni really sio igizo asee jamaa kapita shwaaaaaaaha
 

Attachments

  • 20240707_155413.jpg
    57.7 KB · Views: 10
Hap
Hapa ni duniani sio mbinguni kujutia kupo palepale.
 
Alikuta pakit ya kondom zipo mbili,akaniukiza Moja umetumia na Malaya wako .nikadilika nikamwambia umejuaje zipo tatu ? Kibano kikageukia kwake ilibid awe mpole
Kuna mwingine alifumwa na kasha la sabuni Ile Eva lipo mfukoni wife akamuulize Mme wangu hizi sabuni zinakaa kwenye loudge na gest wewe umeitoa wapi na ni kasha tu?

Jamaa akauliza kwenye loudge? Umejuaje zinatumika kwenye loudge ? Weeeeh
 
michepuko wangu huwa nampanga kwamba ikitokea siku wife kamgundua ahakikishe asimjibu lolote ata iweje ndio salama ya mimi na yeye kuendelea na hayo mahusiano..mimi na mke wangu tutajua tunamalizana vipi
 
Lete kisa chako ama wewe ni aproko
Kuna watu wanakamatwa live kabisa. Kuna mkasa wa jamaa mmoja sitataja mkoa ila nilihusika sana kusuluhisha kile kisa. Jamaa kaenda club usiku kapiga pombe alafu kabeba mwanamke na kumfanya naye mapenzi kwenye gari. Kawasha gari hadi nyumbani, kaingia kalala, asubuhi anaamka choka mbya kwa pombe na lazima aende kibaruani, kama kawaida anampitisha mke wake kibaruani alafu yeye anaendelea.
Mke wa ndoa anaingia kwenye gari anakuta siti ya nyuma kuna mwanamke amelala uchi wa mnyama na michupa ya pombe kibao. Kumbe ule usiku jamaa baada ya kumgonga yule demu alimuacha kwenye gari akarudi club akaendelea kunywa, na akarudi naye nyumbani bila kukumbuka siti ya nyuma alimuacha yule mwanamke. Ilikuwa kesi kubwa sana kuwahi kukutana nayo maishani kwangu, ila yaliisha na wanaendeleza familia.
 
Mkuu Huwa tukibanwa na USHAHIDI upo unasema tu lkn si yaishe mke wangu πŸ˜‚πŸ˜‚
Sikutaka kuvutana sana Kwa jambo lipo wazi. Mtu mwenyewe ana misimamo kama Kapeace , akili nyingii, hapo ukiendelea kumletea ujinga ujinga kitu atakachokufanyia utajutia maisha Yako yote. Kwanza haongei sana Wala maneno mengi.

Hata wewe usifikirie ulishinda hiyo kesi, ulituliza vurumai tu lakini mapambano yanaendelea. Hiyo ni endless battle!
 
Sawa mwisho nitaleta feedback
 
Amekaza kuomba msamaha kwa mke kunusuru penzi la ndoa ila ameomba msamaha kwa mchepuke kuinusuru pesa ya mafao πŸ˜‚.

Kelsea njoo utoe neno.

Muhimu: Tuanche uzinzi.
Kama wewe ni mwanaume kama pisi unaikubaki unaweza kana kama una mke ama Watoto ila ukiya imega tu basii Kila Rangi ataiona. Kipindi hicho mshahara wangu ulikuwa chini yaani

Nilikuwa nawinda kibunda Cha mafao ya mzee wetu mstaafu kiliwe halafu aone mapembe yangu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…