Je, uliwahi kukutana na changamoto gani katika kutafuta ajira

Nimecheka sana et cashier kiatu mkononi🀣
Pole mkuu ndo maisha haya
 
Cashier naye anaingia mtaani kiatu mkononi kachoka kachoka tena
 
Pole mkuu
 
Ila ulivumilia sana πŸ˜…
 
Pole mkuu kwenye utafutaji tunapitia changamoto nyingi sana..shida haina aibu, nadhani ulijifunza kitu...daa kutembea kote huko unapewa buku mbili hapo ilikuwa sababu ya kutokubaliana katika malipo hata asingekupa pesa usingemlaumu..kwahyo kabla ya kufanya kazi ya mtu,kikundi au taasisi ni vizuri kuingia makubaliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…