Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Dahh ww bado kijana mdogo aise. Hivi kumbe nimekula chumvi ee mwaka 2011 nimeshamaliza chuo.
Mweee!Lili disappear😅
mimi nilisoma shule ya kata o level enzi za 2008 hadi 11 , halafu nilikuwa na english moja deep sana kwa watoto toka primary government halafu olevel shule ya kata, matokeo yake nikawa debate za shule, morning speech na mambo ya kuonekana yenye kuhusisha lugha ya shule nikawa sikoseoani, walimu wa kiingereza walihakikisha nakuwemo, hivyo nikawa na jina la kihivyoEndapo ndiyo. Ni kitu gani kilikupa umaarufu?
Umenena. Ila sijawa kikongwe ndo nazidi kuchanuaMkuu darasa sio kipimo sahihi cha umri kuna wengine wanachelewa kuanza shule kwa sababu kadhaa kuna wengine pia wanawahi kuanza,, ila kama 2011 ulikua umemaliza chuo unaweza ukawa kikongwe sasa hivi [emoji23] ingawa kuwahi kumaliza hai guarantee kua umri wako ni mkubwa kuliko waliopo masomoni bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena. Ila sijawa kikongwe ndo nazidi kuchanua
Ya form ngapi hayo matokeo ya 2002?, kumbe mi mtoto kabisaActually siwezi sema maarufu sana ili nisipokuwepo watu wanajua sipo.Primary nilikua very smart na naongoza lakwanza hadi la tano.Kuendelea hapo mambo yakawa meng mda mchache.Pili nilikua naletwa na gari na kuja kuchukuliwa kila siku enzi hizo mzee anamiliki pijoti na suzuki.Nilikua ka handsome flani hivi videm vinanikubali laana.kuna mtoto mkali sana enzi hizo wa kikenya ananizimia balaa na yeye kwao wako vizuri sana kifedha.Cha kushangaza sijui kutongoza na nawaogopa wanawake vibaya mno.Nikawa maarufu zaidi kwa skendo ya udomo zege.
Olevel hapo ndio nilivurugika zaid.mzee kafilisika na nimeshazoea pesa.Hapo ndio nilikua maarufu sana sana kwa uvaaji wangu na manukato.Pili kipanga wa madem balaa.Kwa utoro ndo usiseme kwa week naingia darasani mara 2 ama 3 na sikai mpaka mwisho wa vipindi.Pia nilikua mchezaj mzuri wa mpira wa kikapu.Pia nilikua mchezaji mzuri wa muziki staili ya kuvunjikavunjika.Namiliki simu utaniambia nini.
Mwandaaji wà safari za pikiniki.wacheza kareti ndio sisi,ugomvi ndio sisi,bangi na mimi.Enzi hizo tuna rap rap yaani ni balaa tu la ujana.
Ulizia sasa matokeo yangu.....
Edmund rice 2002++++ watakua wananikumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah unajua mtu akipitia nyuzi zako anajua kwamba jamaa alikuwa maarufu
Hahahaha bahati haiji mara mbili,hali kama hiyo inatokea nakumbuka nilipo kuwa Seco Kuna jamaa alikuwa mashaalah wanafunzi wa kike kila mmoja anatamani awe nae karibu jamaa alikuwa ananiimbisha wala simuelewi, akaniandikia barua nikaipeleka Ofisini alichezea stiki.Mkuu mi mwenyewe nikikumbuka hua najicheka mpaka basi yani akili nilizokua nazo sasa yule mtoto kwa uzuri aliokua nao aiseh nahisi ningemtegua kiuno [emoji23][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjukuu wanguNlikua na mwili mdogo nikawa naitwa kadogoo ka darasa... ila nlikuwa na demu mkubwa vibaya mno...wakanipachika jina Mr Impossible Form 3 2011
Sent using Jamii Forums mobile app
John imetajwa sana,hawa kina john ndo wana akili?Unaishia kutaja ukipanga wa primary tu maana yake secondary ulikuwa unapumlia mashine. Ukakutana na majoni kisomo
Primary - Nilikuwa sifuti fimbo, shule nzima walikuwa wananijua na nikitumwa na mwalimu kutafuta fimbo darasa linaanza kulia kabla sijarudi nitakuja na vitu si mchezo.
Olevel - Kama kawaida sifuti fimbo na kupiga makonda wa Tegeta-Kariakoo
Advance - Sikua maarufu kabisa, nilikua doja sana.
Chuo - Machimbo ya chapati na maharage.
HahaMjukuu wangu
Hekima ni uhuruSijawahi fell kiakademiki.Sina akili nyingi ila ngazi zote nilivuka mpaka University.Naamini malengo ya elimu si kua na akili nyingi Bali ni kupiga msuli hatari na wamalengo na kuheat targeted areas.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza kidogo mkuu.Mimi rekodi yangu hadi leo c Shule TU nadhani hata Tz na dunia kwa ujumla haijavunjwa
kwanza KABISA
plak yangu ya kwanza kufanya ilikuwa siku ya mtihan wa taifa
Hapo ndo nikajua
ma tritation,ma qualitative,ma elastic,ma equilibrium ma fudi test etc
hata Sijui nilifanyaje fanyaje matokeo yakaja nikiwa na A flat PCB
ilikuwa kumaliza mwaka MZIMA bila kwenda Shule ilikuwa c ajabu.yaani mpaka wanafunzi wakawa wanadhani me mgeni kila nikienda
Uhuni na Utukutu,Hapo sisemi nisije onekana najipaisha
UONGO hahahahhah hiyo Hadi leo hii HAKUNA aliyevunjaga
Usalama wa Taifa fake
hahaha hapo nilikuwa naendaga Hadi ofisini kwa Mwl mkuu napiga chai fulesh bila shida
Niliwahi hitishaga maandamano hiyo primary
uli kiki Sana Hadi vyombo vya nje viliuripoti
O Level niliwekaga mgomo
Hahahahah Afisa elimu aliomba poo
Ni mengi
Chuo Nikisema watanijua humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnasalimia humuNlikua na mwili mdogo nikawa naitwa kadogoo ka darasa... ila nlikuwa na demu mkubwa vibaya mno...wakanipachika jina Mr Impossible Form 3 2011
Sent using Jamii Forums mobile app