Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Olevel nlikuwa mkali wa kiswahili na english kuchambua zile novel na riwaya balaa yan alf nlkuwa mrembo haswa wanafunzi wnaniogpa walimu wa fild full kujigonga alf nlikuwa sipendi ujinga kitabu na mimi tu nikajiandalia na comb kbs ya adv ila nilichokuja kupata matokea ya form4 sili yang😀😀 kweli maisha hayana formula
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mimi primary nilikuwa mkali wa English, halafu lilikuwa somo linalowatoa jasho wengi si unajua shule za vijijini, basi nikawa star mpaka shule za jirani wananijua
 
shikamoo baba

Marhaba, ingawa nilikuwa bado dogo, sema mdingi alikuwa anatukomalia kusikiliza taarifa hizo ili ikitokea akamiss taarifa hasa ya saa 12 jioni akirudi anatukalisha tumweleze nini tumesikia. Hapo unaelezea mbele ya familia nzima.

Kwa hiyo hata ukienda shule unawasimulia watu kuhusu maendeleo ya vita. Nakumbuka nilikuwa std 2, ila muda wa stori mpaka std 5 nabishana nao kwa sababu nakuwa nimesikiliza details zote.
 
Duuh pole aiseeh, hiv huwa inakuwaje hiyo. Yaani mtu kitu ulikuwa unakiweza mwisho wa siku unaangukia pua.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Abarikiwe baba yetu Kuna faida kubwa hapo amekufundisha
 
Mpira ulinipa umaarufu Sana...
Hadi Leo naitwa Dinho.

Sema mademu sikua na time nao nilikua nawakataa, walikua wanajitongozesha mi nikawa nawachomolea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UBISHI.

Mpaka sasa nina umaarufu sababu ya ubishi, halafu sio ubishi wa kijinga ni ule uloenda shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ule wa yai na kuku nani wa kwanza?
 
kuna wakati choo kilijaa pale shule, wanafunzi walizamika kujisadia wajuapo
kama kawaida watu wakufurahisha makundi, kuna siku nilipoona walimu wanaenda porini nikaropoka wanaenda kujisaidia... kilichonipata kilinipa umaarufu sana...
Hahahahaha nambie adhabu gani hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abarikiwe baba yetu Kuna faida kubwa hapo amekufundisha

Sana aisee, alikuwa anapenda hata akija na gazeti anajifanya hajalisoma kwa hiyo tusome mimi na mdogo wangu halafu tuwaelezee yeye na mama nini tumesoma humo.

Kwa hiyo hata shule issue za kupewa kusoma au kuelezea mbele ya darasa ilikuwa easy.

Muda wa story nilikuwa nawakusanya watu hasa, ikawa eti watu wanabishana then nakuja kuulizwa nitoe jibu. Aisee.
 
Hao humu hawapo wako Facebook mkuu and that is the meaning of great thinker .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza mwaka gani?
 
Umedanganya hapa, 1992 hakukuwa na BBC SWAHILI,DW wala SAUTI YA AMERIKA.
hiyo ni baada ya primary bwana ona nimeweka kituo kwamba kwenye viatu ni miaka ya 1992 huko nilienda shule nikiwa na viatu mwenyewe, alafu BBC SWAHILI IPO KITAMBO NA HIZO SAUT YA AMERIKA DUH HIVI WE NI WAWAPI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…