Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Hahahahaprimary nilikuwa mgonga kengelee.... watu wana nionea wivu kinyama na saa yangu kaliiii... nikipita tu wanashangilia wanajua muda wa mapumziko umefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaprimary nilikuwa mgonga kengelee.... watu wana nionea wivu kinyama na saa yangu kaliiii... nikipita tu wanashangilia wanajua muda wa mapumziko umefika
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mimi primary nilikuwa mkali wa English, halafu lilikuwa somo linalowatoa jasho wengi si unajua shule za vijijini, basi nikawa star mpaka shule za jirani wananijuaNilikuwa mkali wa Kiswahili balaa, ikatokea kupendwa na walimu woteeee, kuna wengine wakawaga wananipa mitihani nasahihisha, na kingine nilikuwa kadogo kadogo halafu kazuriiiiiiii na kasafi hhahaha aiseee ukubwani taabu sana stress zimefanya kasura kangu kapotee ovyo ovyo tu mfyuuuuu
shikamoo baba
Olevel nlikuwa mkali wa kiswahili na english kuchambua zile novel na riwaya balaa yan alf nlkuwa mrembo haswa wanafunzi wnaniogpa walimu wa fild full kujigonga alf nlikuwa sipendi ujinga kitabu na mimi tu nikajiandalia na comb kbs ya adv ila nilichokuja kupata matokea ya form4 sili yang😀😀 kweli maisha hayana formula
Abarikiwe baba yetu Kuna faida kubwa hapo amekufundishaMarhaba, ingawa nilikuwa bado dogo, sema mdingi alikuwa anatukomalia kusikiliza taarifa hizo ili ikitokea akamiss taarifa hasa ya saa 12 jioni akirudi anatukalisha tumweleze nini tumesikia. Hapo unaelezea mbele ya familia nzima.
Kwa hiyo hata ukienda shule unawasimulia watu kuhusu maendeleo ya vita. Nakumbuka nilikuwa std 2, ila muda wa stori mpaka std 5 nabishana nao kwa sababu nakuwa nimesikiliza details zote.
Hapo hapo avatar
acha tu nililia nilihis dunia inaniomea😀 nahis nu kujiamini kupita kiasiDuuh pole aiseeh, hiv huwa inakuwaje hiyo. Yaani mtu kitu ulikuwa unakiweza mwisho wa siku unaangukia pua.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha nambie adhabu gani hiyokuna wakati choo kilijaa pale shule, wanafunzi walizamika kujisadia wajuapo
kama kawaida watu wakufurahisha makundi, kuna siku nilipoona walimu wanaenda porini nikaropoka wanaenda kujisaidia... kilichonipata kilinipa umaarufu sana...
Abarikiwe baba yetu Kuna faida kubwa hapo amekufundisha
Hahaha,,,this time tomorrow😂Hiyo novel unayosoma kwenye avatar inaitwaje?
Sa hivi halipo,,sijui wameniroga??? Nanenepa tumbo tuuuuuuwo wo wo
Hao humu hawapo wako Facebook mkuu and that is the meaning of great thinker .Humu kila mtu alikua namba moja (john kisomo)?
Ina mana wale tuliokuwa tunakamata mkia kama mimi humu hawamo?
Kila mtu kaenda chuo?wa la saba na form four hapa hawapo ehee??
Wale wa di nne za kuunga unga hawapo???
Wale wa ziro kama mimi hawapo???
Wale wa veta na setifiketi hawapo????
Duuuh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
alf nilikuwa headgirl balaa tupuu🙄Duuh pole aiseeh, hiv huwa inakuwaje hiyo. Yaani mtu kitu ulikuwa unakiweza mwisho wa siku unaangukia pua.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Umemaliza mwaka gani?wale wa ENABOISHU SEC sidhani kama kuna mwl. hamjui Freemason mimi,maskini ya mungu wazazi wetu walitudekeza unapewa pocket money kila wiki,Huko shule n mwendo wa Kufanya FUJO tu.
Namimi kuona naitwa FREEMASON ndio nikakoleza na kuvaa mikanda yenye bacon za mafuvu japo haikua ikiruhusiwa ila hamna mwalimu alithubutu niambia niutoe wakiamini eti kweli mimi FREEMASON.
Yule freemason saiv wakinikuta na kandambili zangu na jasho la mwendo kasi hawaelewi elewi..wengine bado wanahisi naigiza.
wakat mwingine natamanigi kurudi enzi zile...Unanunulia SODA wanafunzi DOM zima...asubuhi uji unanunulia BOYS wote half cake shenz type DON nani zaidi yangu banaaaaa.
Hilo tranka langu sasa...bwana eeeeh hatari mnoooo
alf nilikuwa headgirl balaa tupuu🙄
hiyo ni baada ya primary bwana ona nimeweka kituo kwamba kwenye viatu ni miaka ya 1992 huko nilienda shule nikiwa na viatu mwenyewe, alafu BBC SWAHILI IPO KITAMBO NA HIZO SAUT YA AMERIKA DUH HIVI WE NI WAWAPIUmedanganya hapa, 1992 hakukuwa na BBC SWAHILI,DW wala SAUTI YA AMERIKA.