Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 780
- 2,269
Tutasalimiana za kingele labda ambazo hszidokezi tofauti ya kiumri kati ya msamiliwaji na msalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutasalimiana za kingele labda ambazo hszidokezi tofauti ya kiumri kati ya msamiliwaji na msalimu
ndio maana jf ina great thinkers, nenda facebook unao wataka uta wapataOverwhelming majority inadai walikua wanaonea masomo sana....
Sijui huu uongo utatufikisha wapi?
I don't get it!
ndio maana jf ina great thinkers, nenda facebook unao wataka uta wapataOverwhelming majority inadai walikua wanaonea masomo sana....
Sijui huu uongo utatufikisha wapi?
I don't get it!
ndio maana jf ina great thinkers, nenda facebook unao wataka uta wapata
aha nyingi Sana,Ongeza kidogo mkuu.
AminiaNdio.
Msuli mrefu, msuli konki, msuli sumu
Inafurahisha sana mkuu. Mimi nilikuwa na demu o level. Nyumbani kwao walikuwa wananifahamu. Mida ya jioni naenda kwaotunapiga story na wazazi wake, wanapika tunakula.l ikifika mida ya saa nne anasindikiza nyumbani. Siku ya mahafali kidato cha nne mama yake alinitafuta sana nipige naye picha. Ila naomba Mungu anisamehe kwa kilichotokea baada ya hapo.Kabisa, yaani unakuwa unaona kama dunia ni yenu tu. Halafu home kwao na kwetu tulikuwa tunajulikana, akipewa kitu anapewa na changu, mimi pia naambiwa mpelekee na fulani.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Aminia
SawaSecondary; ni vingi tu vilivyofanya nijulikane shule nzima hata shule jirani lakini kubwa ilikuwa mwandiko mzuri shule nzima....ilifikia hatua watoto wa kishua wananiletea barua za kwenda kwa maboyfriend wao niwachongee mwandiko( ila kwa sasa navyoandika bata ana nafuu)
Kingine ni muonekano ukibebwa na guu kweli, shule ilikuwa ni day ...muda wa kutoka shule baadhi ya watu waume kwa wake walikuwa wakitoka nje kuniona tu ( ule uzuri uliisha baada ya mahudhurio ya leba)
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu wangapi walikubandua
nitumie pm picha nilione wowooUrefu na akili primary lakini,,olevel nilikua niponipo tu nikakutana na majohn kisomo wakanifunika,advance wowowo,,
Jitahidi kuinenepeshaWanaume tunapitia mengi sana aiseh nashukuru Mungu sasa hivi udomo gundi umeisha bahati mbaya mazali ya kupendwa na watoto wakali siyapati tena [emoji23] sijui kwa sababu bado wallet imekonda
Sent using Jamii Forums mobile app