Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

blue bora angeimba pekeyake tu,
 
Nimependa kipande cha JayMelody na Blue tu.

Namkubali sana Diamond ila naona vionjo vyake havibadiliki

Hata Jay Melody vionjo vyake havibadiliki but kwa wimbo huu kampoteza Diamond.
 
Nyimbo mbaya mkuu kuliko Ukubwa wao beat melody mbaaayaa

Siku hizi uzuri/ukubwa wa nyimbo unapimwa kwa jinsi utakavyo trend na namba zake kwenye platforms za music online

Kibaya zaidi sikuhizi tunatoa maoni yetu kulingana na utimu
Yaani there’s no way team Kiba au Chinga akasema wimbo Mondi ni mzuri au kinyume chake
 
Mimi sina Timu hawa wadogo zetu kina Diamond,Mr blue na Hata alikiba Wote wanaimba vizuri kama uliona nilichoandika kwenye Post ya Nyuma kabisa nimesema Kuwa uwezo wa Kuimba wa Wasanii hao umekuwa mkubwa kuliko Melody na beat waliochagua Kuliimbia..

Kwenye nyimbo zangu au playlist yangu Huwezi kukosa nyimbo tano au sita za Mond na hata Nyimbo za ally na nyimbo za Harmo pia..

So me napenda mziki mzuri sana Hata kama Miso misondo akiimba vizuri nitapenda tu na akiimba vibaya nitasema tu na hiyo ndiyo njia nzuri za kuwarekebisha wadogo zetu waendeleze Hili game vizuri
 
Kabisa mkuu ngoma inazidi kimbizq

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…