Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Umetenga bajeti ya kiasi gani ili siku iwe nzuri?
Mchana tutakuwa kwenye majivu, usiku tutakuwa kwenye upendanaotarehe 14 ni jumatano ya majivu,hiyo valentine day ni ya wapagani
Umemuandalia nini?
Bajeti ya nini tena mkuu?Umetenga bajeti ya kiasi gani ili siku iwe nzuri?
Nimekwambia aje aelezee yeyeUmemuandalia nini?
Muundo wa embe kwa nje, unabashiri utamu uliopo kwa ndaniDon't be deceived by their avatar. They're hippopotamus in reality
Sasa mkuu, huko viwanja mtaenda kula maneno? 😀Bajeti ya nini tena mkuu?
Sawa tunamsubiriNimekwambia aje aelezee yeye
Kuna embe fulani nilipata shambani nje lilikua km limepigwa sana na Jua alafu lilikua limeanza kuota weusi weusi km linataka kuoza bwana weee nilipoanza kulimega lilikua tamu kishenziMuundo wa embe kwa nje, unabashiri utamu uliopo kwa ndani
Leejay49Zimebaki siku chache sana, siku ya wapendanao ifike.
Mjuavyo tena, maisha ya mwanadamu kuna wakati yanahitaji faraja, ingawa kuna changamoto nyingi huwa tunazipitia katika harakati zetu za kila siku.
Lakini ni vizuri pia kutenga muda na kufurahi pamoja, na mtu anayeweza kuteka hisia zako, na kufanya siku husika kuwa ya furaha.
Kwa upande wangu, nitatoka na binti mmoja machachari sana anayejua kukemea mapepo, angalau tukapige moja moto moja baridi mpaka pakuche.
Je, wewe utatoka na nani humu?
Akishafika utamuuliza yeye kuhusu bajetiSasa mkuu, huko viwanja mtaenda kula maneno? 😀
Tunamsubiri