Afu kweli bhana,twende kwenye michai Mufindi π
Atakuja akujibu mwenyewe π πAkishafika utamuuliza yeye kuhusu bajeti
Ata huko wapo, we wataje tuTatizo niko abroad
Don't be deceived by their avatar. They're hippopotamus in reality
Weee sema kweli πππ€¨
Ongea tu mkuu matajiri wote wako humu kuwezeshwa ni chap na walivyo hawana hiyana wankupa na wakutoka nae kabisatarehe 14 ni jumatano ya majivu,hiyo valentine day ni ya wapagani
Kwa siku husika ukiingia maeneo ya starehee, huwezi amini watu wanavyotumiavalentine's day is overated and overhyped...
Utatoka na nani?πππ
Inabidi utembelee maeneo ya starehee usafishe macho kidogoBinafsi sababu nashinda sana ndani 14 ntatoka angalau nje nionyeshe upendo kwa wapita njia ni salam mixer tabasamu mwanzo mwisho
Nitatoka na weweπUtatoka na nani?