Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Unaweza sema uende ukasuuze macho unajikuta umeunga kusuuza na koo ukishtuka umesuuza mpaka rungu ngoja nibaki hapahapa nje mkuu kwa usalama wa hakiba yanguInabidi utembelee maeneo ya starehee usafishe macho kidogo
ha ha ha, hiyo ndio sababu kuu ya wewe kuwepo dunianiUnaweza sema uende ukasuuze macho unajikuta umeunga kusuuza na koo ukishtuka umesuuza mpaka rungu ngoja nibaki hapahapa nje mkuu kwa usalama wa hakiba yangu
Wanakusubiri kwa hamuNgoja Niingie PM Za Warembo Wa Jf Kwanza Nikawinde.
Zipi kwa mfano😁Outing zangu utaziweza kweli? 😀 😀
Kaka mzuri mwenyewe yuko abroad.VP uko biye nikutimie tiketi uje abroad 🤓
I'm not serious.
Hahaha..Ngoja Niingie PM Za Warembo Wa Jf Kwanza Nikawinde.
Wa kwako yuko wapi?Acha nione wenye watu wao[emoji38][emoji38]
Ndio nini tena hiyo?
Wewe Antonnia kumbe una maneno mengi hivyo