vance12
Member
- Mar 8, 2023
- 13
- 36
Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu mwanaume au mwanamke achoke na kuomba breakup.
Kawaida kwa mtu unaempenda huwa ni ngumu sana kumuacha aende kwani unahisi anapoenda kuna vitu mwenzako atavipata kama kwako au zaidi. Naomba tubadilishane mawazo kidogo.
Je, ulishawahi kuachana na mtu umpendae. Je, ilikuwaje?