Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

memories hazitaki-ondoka mzee, kungekua na namna ya futa partition flani kama tufanyavyo kwenye hard disk, ingekua poa sana
Kuna namna ya kuformat kila kitu. Ila ukifanya hivyo unaanza kujifunza mambo upya.
Ukifanya hivyo huenda ukaanza kuwa mpinga babycare bila kujua ndo zilikuwa akili zako😂😂
 
Alini block. Akawa akiulizwa na washkaji jamaa hajambo? anajibi "hajui na nimemblock". Na Kwa kuwa wabongo ni Wangese na ndio maana hawaendelei. Hawaulizi sababu wanakenua tu.

Huyu Dem mke wa mtu ameniblock akidhani mm nitaumia. Ilikuwa ni kuvuja kwa pakacha. Na amenisaidia maana mambo ya kupakwa mafuta ningewezea wapi.

Nimetokea kumchukia na sikutaka.kufanya hivyo..japo nilimpenda Sana na.kwa kweli kuachwa Kuna maumivu flan
 
Kwani kuachana shingapi? Kwani kuachana bei gani?

Alisikika msanii mmoja kutoka Bongo Darisalama Tz
 
Back
Top Bottom