Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

hahahaha kudadeki
mwambie dokta, coochie ziwe bure, mwambie dokta coochie ziwe free from Warts na Herpes
hapo mimi nitaacha Nyenga
Me Huwa Unacheka sana nikiskilizaga kile kipindi.... Kina Chai kama kinarekodiwa Mufindi.
 
sema nini, unafaidi sana yule prom queen wa chuga yule
alaf wote mpo chuga eeh
Hapana chief hata simfahamu.
We ni wasaba kuniuliza Hv.
Kuna watu sita wamekua inbox wanalia kweli kweli niwape namba... Kiukweli simfahamu
 
nakuchana sasa, unafaidi sana mzee, nishawahi date chuga girl, wako sleazy sana
 
Wiki hii ijumaa hadi jumapili ndo maamuzi magumu ninayoenda kuchukua. Nina mschana nampenda kuliko hata ninavyojipenda mimi. Nimechoshwa na tabia zake za umalaya hivo nataka nijiondoe mazima. Anakuja kwangu kesho, nitakaa naye wiki nzima
 
Ataondoka ana mimba au sio?
 
Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu mwanaume au mwanamke achoke na kuomba breakup.

Kawaida kwa mtu unaempenda huwa ni ngumu sana kumuacha aende kwani unahisi anapoenda kuna vitu mwenzako atavipata kama kwako au zaidi. Naomba tubadilishane mawazo kidogo.

View attachment 2546418
Je, ulishawahi kuachana na mtu umpendae. Je, ilikuwaje?
ishu ilitokea baada ya mwanamke huyokuwa ananinyima papuchi mwisho was siku nikaona hmna maana yakuwa naye nahalafu akawa anataka matumizi ya just na popote ninapomuita anakubali kumshishika anakubali linapokuja swala la mzigo tu noma Tena nilimpiga sana
 
Mbaka hapa naandika Kuna mtoto was mtu nime rializi sipendwi.. lakini moyo wangu king'ang'anizi najaribu kumuacha nakaa week namrudia kwa speed saaaaana.

Huu mwaka sitoboi[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo kama mimi na nimesikia anachumbiwa kabisa
 
Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu mwanaume au mwanamke achoke na kuomba breakup.

Kawaida kwa mtu unaempenda huwa ni ngumu sana kumuacha aende kwani unahisi anapoenda kuna vitu mwenzako atavipata kama kwako au zaidi. Naomba tubadilishane mawazo kidogo.

View attachment 2546418
Je, ulishawahi kuachana na mtu umpendae. Je, ilikuwaje?
oshey mr money
 
Back
Top Bottom