Ilikuwa long high school alinicrush sema nilimpotezeaga πππππ ilimuuma sana maana rafiki zangu walisema kanipendea nilivyo sio π° wala nn daa udomo zege ni shida wakuuu πππ.
Poleee,ila saivi si ushakuwa mzoefu?au bado Domo zege πIlikuwa long high school alinicrush sema nilimpotezeaga πππππ ilimuuma sana maana rafiki zangu walisema kanipendea nilivyo sio π° wala nn daa udomo zege ni shida wakuuu πππ.
ππππ
Mungu anirehemu tu asee ni aibu sana.Poleee,ila saivi si ushakuwa mzoefu?au bado Domo zege π
Mhhh subil kwanza narudi.Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu mwanaume au mwanamke achoke na kuomba breakup.
Kawaida kwa mtu unaempenda huwa ni ngumu sana kumuacha aende kwani unahisi anapoenda kuna vitu mwenzako atavipata kama kwako au zaidi. Naomba tubadilishane mawazo kidogo.
View attachment 2546418
Je, ulishawahi kuachana na mtu umpendae. Je, ilikuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbaka hapa naandika Kuna mtoto was mtu nime rializi sipendwi.. lakini moyo wangu king'ang'anizi najaribu kumuacha nakaa week namrudia kwa speed saaaaana.
Huu mwaka sitoboi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alini block. Akawa akiulizwa na washkaji jamaa hajambo? anajibi "hajui na nimemblock". Na Kwa kuwa wabongo ni Wangese na ndio maana hawaendelei. Hawaulizi sababu wanakenua tu.
Huyu Dem mke wa mtu ameniblock akidhani mm nitaumia. Ilikuwa ni kuvuja kwa pakacha. Na amenisaidia maana mambo ya kupakwa mafuta ningewezea wapi.
Nimetokea kumchukia na sikutaka.kufanya hivyo..japo nilimpenda Sana na.kwa kweli kuachwa Kuna maumivu flan
Hadi wee shangaziii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuachana mnaopendana kugumu sana
Lakini kunawakat hamna namna
Ila mazoea yanatesa kuliko mapenz yenyew kuwaza mambo mazuri mlofanya kufanya pamoja
Nikusaidie kunyamaza.? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba nijinyamazie...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwa long high school alinicrush sema nilimpotezeaga [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] ilimuuma sana maana rafiki zangu walisema kanipendea nilivyo sio [emoji383] wala nn daa udomo zege ni shida wakuuu [emoji19][emoji19][emoji19].
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hiyo itakua yake, ana kijiti mkuu so zinadunda tu. Na sababu ingine kutaka kumwacha amegoma kukiondoa wakati anakaa chuo semester nzima na ikiisha ilikua tutafte mtotoAtaondoka ana mimba au sio?
Unakenua nini Sasa wewe nguruwe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Kwa hiyo huna kituπ°πΈila unaπ tu.Mungu anirehemu tu asee ni aibu sana.
Hii kitu dawa yake ni π° tu asee sina jinsi ila kumsimamisha demu mtaani siwezi asee ππ π
Sema tumetofautiana ila π° na appearence + personality zitanibeba π―π―
πππππ
ππππMkuu Kwa hiyo huna kituπ°πΈila unaπ tu.
Mimi sikuwa na π°πΈ nilikuwa na π haiba flan hivi.. Kwa Sasa imepotea... Yaani madem nawasikia tu. Nimeishia kula mabaa maid hapa nipo na cheki na Moja nikalile