Na ndio maana nikasema wote wabaya tunatofautiana matendoVivyo hivyo kuna watu wana kuona wewe ni mbaya kwao..That is how life is.
Wew mnyama au binadamu usiyejiamini binafc pia [emoji3]Nimeacha kumuamini Binaadam,
Zamani niliamini kuna Watu wema na wabaya ila sasa nimegundua wote wabaya tu tunatofautiana matendo.
Hiyo level uliyofikia mkuu sio poa, embu kaa chini ujitafakari ktk Hali ya umauti na uzima then urudi hpMimi binafsi nilikua naamini mungu yupo ila nikaja kugundua ni hadithi tu za alinacha za kutunga zisizo na ukweli wowote.
Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu. Quran kama inavyoeleza yenyewe iliandikwa na watu ambao hawakufika hata darasa la pili, thinking yao ni kama ya watoto wa chekechea.
Mungu hayupo, ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu.
Ulivyo mjinga zaidi yn bdo upo JF haha madamnilijua jf ni ya watu wastaarabu mpaka pale nilipojiunga mambo niliyokutana nayo nikajiona mjinga
Samia SuluhuKatika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.
Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.
Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.
Vipi wewe kwa upande wako Ulishawahi kubadili mawazo yako na kuacha kuamini kitu ambacho ulikiamini awali ? na Kwanini?
Nilikuwa naamini kwamba Wapare wanakula ugali kwa samaki wa kuchora. Yaani wao wanapika ugali tu, halafu mboga au kitoweo ni samaki waliyemchora ukutani au kwenye karatasi.Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.