Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayo free will ya kutenda mema pia kwahiyo uchaguzi ni wako, Mungu angekuwa na makosa kama angekupa uwezo wa kutenda mabaya tu alafu aseme ukitennda mabaya na kuingiza motoni hapo ata mimi ningemkataa huyo Mungu lakini Mungu kakupa na uwezo wa kutenda mema alafu kakupa na akili ya kupambanua mamboApo Sasa ni kama kututegeshea Sasa maana kumbuka mungu anajua kila kitu Kwa hiyo anajua mwisho wa wanadamu wote kuna haja gani ya kutuumba bila kuwa wakamilifu Ili tuje tutende dhambi ambazo tayari anajua tutatenda halafu tumuombe msamaha
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Namna ya kuujua uongo kwanza lazima ujue kile kinachosemwa ni uongo ni nini.Kwani kuujua uongo ni mpaka ujue jibu?
Unaweza kuujua uongo wa kitu kwa kuangalia tu contradiction ya hoja.
Labda kuweka sawa hoja yangu dini ninayoizungumzia mimi ni uislamu ambayo ndio dini ya kweli sasa unapouliza kuwa kama dini zinasema kweli kwanini zinapingana mimi nitakavyokujibu nikuwa dini inayosema kweli ni uislamu hivyo basi dini nyingine tofayna uislamu hazisemi kweli ndio maana zinapingana.
Kama hoja yako ni kuwa kwa sababu dini zinapingana basi hakuna Mungu wewe utakuwa una makosa kwa sababu wewe huamini katika dini hivyo hoja za dini kutofautiana waachie wenye dini zao hilo wewe halikuhusu kwa sababu hizo dini zinatofautiana kwenye mambo mengine lakinisio kuwa zinakataza juu ya uwepo wa Mungu lakini wewe shida yako ni juu ya uwepo wa Mungu hivyo wewe utabishana na muislamu, mkristo na myahudi lakini swala la myahudi , mkristo na muislamu kutofautiana wewe hali kuhusu.
wewe umeuliza na kufanya utafiti kwa wachungaji wangapi??majibu waliyokupa ni yepi??unaweza kuweka hapa majibu ya kila mchungaji.[emoji23] Vigezo ambavyo kila mchungaji ana vya kwake si ndio?.
halafu ukagundua bible pekee ndio historia yenye uongo ndani yake.Nimekuja nimesoma vitabu mbalimbali vya history na science,
article ambazo kazi yake ni kusema bible ni uongo😅😅.nimeandika na ku publish article kwenye sociology of religion,
umejuaje???we umekuja umesoma kitabu kimoja tu ndio chanzo chako cha taarifa.
kwahiyo yalikusanywa yakiwa yapo tayari si ndio!!!au yalitungwa baada ya amri hiyo??Kwa taarifa yako mfalme Constantine ndio alitoa order Kwa Eusebius of Caesarea akusanye maandiko ya hadithi tofauti watengeneze kitabu chenye taratibu za kuongoza watu kiimani na hayo maandiko yasipingwe.
kwahiyo uhakika wa haya madai kuhusu mfalme constantine umeyabeba vyema kabisa kama ukweli.na wala huna chembe ya shaka juu yake!!!Hayo maandiko hata majina yalikuwa hayana walibandika tu. Na huu ndo Mwanzo wa biblia
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
[emoji625][emoji625]Mimi binafsi nilikuwa naamini mungu yupo ila nikaja kugundua ni hadithi tu za alinacha za kutunga zisizo na ukweli wowote.
Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu. Quran kama inavyoeleza yenyewe iliandikwa na watu ambao hawakufika hata darasa la pili, thinking yao ni kama ya watoto wa chekechea.
Mungu hayupo, ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu.
Hebu nieleze hayo mema na mabaya tunayajuaje? Kwa utashi wetu wenyewe tuliopewa (free will) au mungu ndio anaamua sisi tunafata tu? (kumbuka hakosei na hapingwi). Na huyo mungu mtoa maelezo ni mmoja Kwa dini zote? maana kuna baadhi ya dini zinasema kitu fulani sio chema zingine zinasema ni chemaUnayo free will ya kutenda mema pia kwahiyo uchaguzi ni wako, Mungu angekuwa na makosa kama angekupa uwezo wa kutenda mabaya tu alafu aseme ukitennda mabaya na kuingiza motoni hapo ata mimi ningemkataa huyo Mungu lakini Mungu kakupa na uwezo wa kutenda mema alafu kakupa na akili ya kupambanua mambo
ni mekwambia toka mwanzo,ni jambo jepesi sana kumwelimisha mjinga lakini ni jambo gumu jirani na kutowezekana kumwelimisha mpumbavu.Majibu yako hayafunui bali ni jaribio la kufunika makosa Kwa kuleta tafsiri ambazo hajielezwa kwenye biblia yenyewe ambayo ndio chanzo chako cha taarifa.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Chukua mfano umeona kitu kipya ambacho hujawahi kukiona kabla unaweza kujua hicho ni kitu gani kwa utashi wako au kwa maelezo kutoka kwa aliyekiunda hicho kitu?.Hebu nieleze hayo mema na mabaya tunayajuaje? Kwa utashi wetu wenyewe tuliopewa (free will) au mungu ndio anaamua sisi tunafata tu? (kumbuka hakosei na hapingwi). Na huyo mungu mtoa maelezo ni mmoja Kwa dini zote? maana kuna baadhi ya dini zinasema kitu fulani sio chema zingine zinasema ni chema
Kuna sect za hinduism zinasema kula nyama ya n'gombe ni dhambi. Kwa utashi wetu kama wanadamu kula n'gombe sio tatizo ila kama watu wa hinduism wako sahihi mungu wao ni wa kweli wote tunaokula tunaenda motoni. Sasa hata nikiwa na free will ya kuchagua niajuaje taratibu sahihi anazozitaka huyo mungu kama kuna maelfu ya dini yana tueleza tofauti kipi kizuri na kipi ni dhambi?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Kila dini ina namna yake ilivyoamua kumtafsiri Mungu.Namna ya kuujua uongo kwanza lazima ujue kile kinachosemwa ni uongo ni nini.
Mfano mtu anapinga hakuna Mungu ili mtu huyu awe na uhalali wa kupinga Mungu hakuna ni lazima ajue maana ya Mungu, Utakuwa mtu wa ajabu sana kupinga Mungu hamna kama hata maana ya Mungu huijui, Sasa basi kwa mantiki hiyo Wewe unapinga hakuna Mungu embu tueleze Maana ya Mungu.
Mfano tu mchungaji wa mwisho kuongea nae kuhusu hayo maandiko alinoambia vitu tofauti mfano kwenye swala la goliati hakusema goliati tofauti alisema ni kosa la kibinadamu la uchapishaji [emoji23][emoji23][emoji23]wewe umeuliza na kufanya utafiti kwa wachungaji wangapi??majibu waliyokupa ni yepi??unaweza kuweka hapa majibu ya kila mchungaji.
halafu ukagundua bible pekee ndio historia yenye uongo ndani yake.
article ambazo kazi yake ni kusema bible ni uongo[emoji28][emoji28].
umejuaje???
kwahiyo yalikusanywa yakiwa yapo tayari si ndio!!!au yalitungwa baada ya amri hiyo??
waliopinga walikutwa na jambo gani?vipi kwa sasa amri gani inayosimamia watu wasipinge??
kwahiyo uhakika wa haya madai kuhusu mfalme constantine umeyabeba vyema kabisa kama ukweli.na wala huna chembe ya shaka juu yake!!!
Unaelewa kwenye hiyo 20% iliyo miss nayo inatosha kuonesha pia dini hiyo ni ya uongo na sio ya Mungu mjuzi wa yote?Kwasababu ndio dini inayoendana na logic na ndio dini ambayo 80% ya mambo ambayo imeyaeleza tayari yashakuwa proved na science kuwa ni kweli.
Tatizo hutoi facts wala hoja za msingi unatukana tu hii ni jaribio la kuonyesha mimi ni mjinga au mpumbavu kwasababu huna hoja za msingi sawa na wachungaji wengine ukimuuliza swali anasema una pepo.ni mekwambia toka mwanzo,ni jambo jepesi sana kumwelimisha mjinga lakini ni jambo gumu jirani na kutowezekana kumwelimisha mpumbavu.
hatua ya kwanza utadai bible na maandiko yake ni uongo,utaulizwa kwanini??
hatua ya pili utaelta vielelezo vyako vya kuokoteza,utajibiwa na kueleweshwa,lakini utakataa
hatua ya tatu utaleta maandiko unayoamini yana mkanganyiko,nayo utapewa ufafanuzi lakini utagoma kwamba huo ufafanuzi sio wa kweli,sababu u a ufafanuzi wako kwenye wallet.
hili no tatizo kubwa uko nalo.
Basi huenda ndio maana unapinga juu ya uwepo wa Mungu.Kila dini ina namna yake ilivyoamua kumtafsiri Mungu.
Tafsiri ya Mungu haipo universal kwamba inatumika hivyo kwa kila dini.
Wakristo wanaamini Mungu katika utatu. Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho.
Hayo maelezo kwako yanatosha kukufanya ukubali tafsiri ya Mungu?
Kwaiyo Kama sayansi Haina majibu ya Kila kitu ndio tukubali maelezo na majibu ya kipuuzi yasiyo na uhalisia?Embu wewe uliza maswali yasiyo ya kipuuzi yasiyothibitisha uwepo wa Mungu?
Note: Hilo swali mimi sikuuliza kuthibitisha uwepo wa Mungu niliuliza ili kutaka kujua kama sayansi ina majibu ya kila kitu basi sayansi itusaidie kujibu hilo swali .
Siku nyingine usijibu kama hujaelewa sawa? Itakusaidia sio hapa jamii forum tu hata huko ulipo.
Lakini kuna vitu havikuja na maelekezo mungu aliumba bacteria, virus, fungus akiwa anajua ni hatari Kwa binadamu lakini hakuleta maelekezo ya kutengeneza dawa tumetumis utashi wetu.Chukua mfano umeona kitu kipya ambacho hujawahi kukiona kabla unaweza kujua hicho ni kitu gani kwa utashi wako au kwa maelezo kutoka kwa aliyekiunda hicho kitu?.
Logically lazima aliekiunda akupe maelezo juu ya kile alichokiunda na ndio maana ukienda kununua dawa utakuta karatasi ya maelezo na utayafuata huwezi sema mimi nakunywa tu kwa utashi wangu, Vivyo hivoo Mungu ndie aliyeumba dunia na maelezo ya jinsi ya kuishi duniani yeye ndie anayetoa, kwa maana hiyoo ata kujua mema na mabaya ni Mungu ndio anatuambia sio utashi wako. Hapo nimekujibu swali lako la kwanza.
Nije kwenye swali lako la pili, Kuhusu Mbona sasa dini zinatofautiana, Kwanza unatakiwa uelewe dini kutofautiana sio sababu ya Mungu kutokuwepo chukua mfano pia hapa ... Akija mtu akakwambia kuwa unga wa mahindi ni dawa ya malari, mwingine akasema malafin ni dawa ya malaria, Kwa kuwa hawa watu wametofautiana juu ya dawa ya malaria hatuwezi kusema malaria haipo bali ni jukumu letu kutafuta ni ipi ndio dawa ya malaria The same kwenye dini ni jukumu letu kutafuta ni ipi dini ya kweli na haki mbele za Mungu na kwakukusaidia dini hiyo ni uislamu. Hivyo yale yote ambayo uislamu umekataza itakuwa ni mabaya and vice versa.
Kama kweli wewe ni mtu intellectual ungetoa hoja zako kwanini dini sio uhalusia.Kwaiyo Kama sayansi Haina majibu ya Kila kitu ndio tukubali maelezo na majibu ya kipuuzi yasiyo na uhalisia?
Naye huyo nampinga.Basi huenda ndio maana unapinga juu ya uwepo wa Mungu.
Mimi kwa tafsiri yangu Mungu ninaemuamini ni ALLAH ambaye ndiye katuumba ndiye aliyeumba ulimwengu na ni mmoja, hajazaa wala hajazaliwa, hana mwanzo wala mwisho, huyu ndie Mungu ninaemkusudia sasa labda uniambie unapinga kuwa Allah hayupo au??
Na huko ndio Kuna wale vigori sabini na wawili mlio ahidiwa? huyo Mungu wenu ana upumbavu mwingi sanaThe same hoja yako pia haionyeshi Mungu hayupo kwani ili Mungu awepo ni lazima atoe mali kwa watu wote?
Haya chukulia ndio katoa kwakuwa umeamua kupinga uwepo wake bado ungesema hizo mali watu wote wametafuta kwa juhudi zao.
Hapa ni vizuri kuelewa kuwa jitihada hazizidi kudra, Mungu ndio mmiliki wa hali zote, zote kwa maana ya zote na yeye ndio aliyesema tokeni mkatafute riziki hapa ndio watu huchanganya mambo wengi hudhani kuwa rizki ni mali tu, Kumbe rizki ni mjumuisho wa mambo mengi kama elimu,Afya,mali, n.k
Ndio maana utakuta mtu ana elimu lakini hana mali mungine ana mali lakini hana afya, Sasa usichukulie Mungu anagawa mali tu uka hitimisha kwa kuwa watu wengine hawana mali basi hayupo my friend logic ya wapi hiyo ? Mungu kuwa muweza wa yote na mwenye upendo wote sio sasa ndio watu wasife, ndio watu wawe na mali wote n.k, Yeye anabaki kuwa muweza wa yote tu hata kama wewe hauna mali, hata kama mtoto wako kafa kwenye ajali n.k
Alafu maswali yote hayo Mungu mwenyewe kashayajibu kwenye vitabu vya dini kuwa Yeye ndie Mola wa ulimwengu, Ametuumba wanadamu ili tuishi katika hii dunia na akatupa akili ili tuitumie kudhibiti matamanio yetu hivyo tumuamini yeye na kumuabudu, baada ya hayo ndio kuna maisha ya umilele na furaha kwa waliotumia akili zao vyema kumuabudu Mungu na hapo ndio hayo maswali yako yanapojibika kwa urahisi kuwa.. Baada ya kukuumba na kukuweka duniani kisha ukafa sasa unaenda kuishi tena katika umilele huko hakuna hizo ajali unazolalamikia huku duniani, Huko kuna mali unazoziangaikia huku duniani.
Kumbe sasa ukweli haungaliwi tena kinachoangaliwa ni mtu kuchagua anataka kuamini nini si ndio?Basi huenda ndio maana unapinga juu ya uwepo wa Mungu.
Mimi kwa tafsiri yangu Mungu ninaemuamini ni ALLAH ambaye ndiye katuumba ndiye aliyeumba ulimwengu na ni mmoja, hajazaa wala hajazaliwa, hana mwanzo wala mwisho, huyu ndie Mungu ninaemkusudia sasa labda uniambie unapinga kuwa Allah hayupo au??