Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Kiumbe binadamu sio cha kukiamini kabisaa πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Unajuaje Uislamu ni dini ya kweli na zingine za uongo?
Kwasababu ndio dini inayoendana na logic na ndio dini ambayo 80% ya mambo ambayo imeyaeleza tayari yashakuwa proved na science kuwa ni kweli.
 
Unayo free will ya kutenda mema pia kwahiyo uchaguzi ni wako, Mungu angekuwa na makosa kama angekupa uwezo wa kutenda mabaya tu alafu aseme ukitennda mabaya na kuingiza motoni hapo ata mimi ningemkataa huyo Mungu lakini Mungu kakupa na uwezo wa kutenda mema alafu kakupa na akili ya kupambanua mambo
 
Kwani kuujua uongo ni mpaka ujue jibu?

Unaweza kuujua uongo wa kitu kwa kuangalia tu contradiction ya hoja.
Namna ya kuujua uongo kwanza lazima ujue kile kinachosemwa ni uongo ni nini.
Mfano mtu anapinga hakuna Mungu ili mtu huyu awe na uhalali wa kupinga Mungu hakuna ni lazima ajue maana ya Mungu, Utakuwa mtu wa ajabu sana kupinga Mungu hamna kama hata maana ya Mungu huijui, Sasa basi kwa mantiki hiyo Wewe unapinga hakuna Mungu embu tueleze Maana ya Mungu.
 
[emoji23] Vigezo ambavyo kila mchungaji ana vya kwake si ndio?.
wewe umeuliza na kufanya utafiti kwa wachungaji wangapi??majibu waliyokupa ni yepi??unaweza kuweka hapa majibu ya kila mchungaji.
Nimekuja nimesoma vitabu mbalimbali vya history na science,
halafu ukagundua bible pekee ndio historia yenye uongo ndani yake.
nimeandika na ku publish article kwenye sociology of religion,
article ambazo kazi yake ni kusema bible ni uongoπŸ˜…πŸ˜….
we umekuja umesoma kitabu kimoja tu ndio chanzo chako cha taarifa.
umejuaje???
Kwa taarifa yako mfalme Constantine ndio alitoa order Kwa Eusebius of Caesarea akusanye maandiko ya hadithi tofauti watengeneze kitabu chenye taratibu za kuongoza watu kiimani na hayo maandiko yasipingwe.
kwahiyo yalikusanywa yakiwa yapo tayari si ndio!!!au yalitungwa baada ya amri hiyo??
waliopinga walikutwa na jambo gani?vipi kwa sasa amri gani inayosimamia watu wasipinge??

Hayo maandiko hata majina yalikuwa hayana walibandika tu. Na huu ndo Mwanzo wa biblia
kwahiyo uhakika wa haya madai kuhusu mfalme constantine umeyabeba vyema kabisa kama ukweli.na wala huna chembe ya shaka juu yake!!!
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
[emoji625][emoji625]
 
Hebu nieleze hayo mema na mabaya tunayajuaje? Kwa utashi wetu wenyewe tuliopewa (free will) au mungu ndio anaamua sisi tunafata tu? (kumbuka hakosei na hapingwi). Na huyo mungu mtoa maelezo ni mmoja Kwa dini zote? maana kuna baadhi ya dini zinasema kitu fulani sio chema zingine zinasema ni chema

Kuna sect za hinduism zinasema kula nyama ya n'gombe ni dhambi. Kwa utashi wetu kama wanadamu kula n'gombe sio tatizo ila kama watu wa hinduism wako sahihi mungu wao ni wa kweli wote tunaokula tunaenda motoni. Sasa hata nikiwa na free will ya kuchagua niajuaje taratibu sahihi anazozitaka huyo mungu kama kuna maelfu ya dini yana tueleza tofauti kipi kizuri na kipi ni dhambi?


Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Majibu yako hayafunui bali ni jaribio la kufunika makosa Kwa kuleta tafsiri ambazo hajielezwa kwenye biblia yenyewe ambayo ndio chanzo chako cha taarifa.
ni mekwambia toka mwanzo,ni jambo jepesi sana kumwelimisha mjinga lakini ni jambo gumu jirani na kutowezekana kumwelimisha mpumbavu.

hatua ya kwanza utadai bible na maandiko yake ni uongo,utaulizwa kwanini??

hatua ya pili utaelta vielelezo vyako vya kuokoteza,utajibiwa na kueleweshwa,lakini utakataa

hatua ya tatu utaleta maandiko unayoamini yana mkanganyiko,nayo utapewa ufafanuzi lakini utagoma kwamba huo ufafanuzi sio wa kweli,sababu u a ufafanuzi wako kwenye wallet.

hili no tatizo kubwa uko nalo.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Chukua mfano umeona kitu kipya ambacho hujawahi kukiona kabla unaweza kujua hicho ni kitu gani kwa utashi wako au kwa maelezo kutoka kwa aliyekiunda hicho kitu?.
Logically lazima aliekiunda akupe maelezo juu ya kile alichokiunda na ndio maana ukienda kununua dawa utakuta karatasi ya maelezo na utayafuata huwezi sema mimi nakunywa tu kwa utashi wangu, Vivyo hivoo Mungu ndie aliyeumba dunia na maelezo ya jinsi ya kuishi duniani yeye ndie anayetoa, kwa maana hiyoo ata kujua mema na mabaya ni Mungu ndio anatuambia sio utashi wako. Hapo nimekujibu swali lako la kwanza.
Nije kwenye swali lako la pili, Kuhusu Mbona sasa dini zinatofautiana, Kwanza unatakiwa uelewe dini kutofautiana sio sababu ya Mungu kutokuwepo chukua mfano pia hapa ... Akija mtu akakwambia kuwa unga wa mahindi ni dawa ya malari, mwingine akasema malafin ni dawa ya malaria, Kwa kuwa hawa watu wametofautiana juu ya dawa ya malaria hatuwezi kusema malaria haipo bali ni jukumu letu kutafuta ni ipi ndio dawa ya malaria The same kwenye dini ni jukumu letu kutafuta ni ipi dini ya kweli na haki mbele za Mungu na kwakukusaidia dini hiyo ni uislamu. Hivyo yale yote ambayo uislamu umekataza itakuwa ni mabaya and vice versa.
 
Kila dini ina namna yake ilivyoamua kumtafsiri Mungu.

Tafsiri ya Mungu haipo universal kwamba inatumika hivyo kwa kila dini.

Wakristo wanaamini Mungu katika utatu. Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho.

Hayo maelezo kwako yanatosha kukufanya ukubali tafsiri ya Mungu?
 
Mfano tu mchungaji wa mwisho kuongea nae kuhusu hayo maandiko alinoambia vitu tofauti mfano kwenye swala la goliati hakusema goliati tofauti alisema ni kosa la kibinadamu la uchapishaji [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuhusu vitabu vingine kuwa na uongo nimekutana navyo vingi ila waandishi wake hawajawahi kusema vina ukweli wote ila nyie wachungaji mnasema biblia Ina ukweli wote halafu tukisoma tunakuta uongo eti nyoka na punda anaongea [emoji1787]kweli mtu mzima unasema hizi hadithi za kitoto ni ukweli usiopingika

Maandiko yalikuwa tayari yameandikwa na waandishi mbalimbali mfano hadithi ya nuhu ilitolewa kwenye hadithi za epic of Gilgamesh ikabadilishwa majina halafu wakasema ilitokea kweli huku sehemu original walioitoa ilikuwa wazi ni hadithi

Barua ambayo mfalme Constantine alimuandikia Eusebius of Caesarea imehafidhiwa museum na maneno yapo yako wazi, nionyeshe historia yoyote iliohifadhiwa inayoonyesha yesu alikuwepo tofauti na hadithi za biblia

Waliokataa walibandikwa jina "heretics' na adhabu ilikuwa ni kifo. Soma historia ya dark ages uone wakristo walivyokuwa wakatili. Msome William Tyndale alichofanywa Kwa kosa la kutafsiri biblia. Mfano Galileo Galilei walomuua Kwa order ya kanisan Kwa kosa la kusema ni sayari ndio zinazunguka jua sio jua linazunguka sayari (kanisa katoliki lilikiri hili kosa na kuomba msamaha wazi, fatilia kama mimi muongo)

Kanisa la kwanza lilikuwa katoliki (Roman Catholic) makanisa mengine ya kikiristo yaliundwa na watu Kwa kupinga taratibu za kanisa katoliki mfano Martin Luther aliunda Lutheran (hapa bongo ndio KKKT), Elen G White aliunda Adventist church (Sabato) kama Sheria za mwanzoni zilizoendesha kanisa katoliki zilitoka Kwa mungu wote waliozipinga wakaanzisha dini zao tofauti wamepotea wanaenda motoni wote maana ake, sijui unanielewa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu ndio dini inayoendana na logic na ndio dini ambayo 80% ya mambo ambayo imeyaeleza tayari yashakuwa proved na science kuwa ni kweli.
Unaelewa kwenye hiyo 20% iliyo miss nayo inatosha kuonesha pia dini hiyo ni ya uongo na sio ya Mungu mjuzi wa yote?
 
Tatizo hutoi facts wala hoja za msingi unatukana tu hii ni jaribio la kuonyesha mimi ni mjinga au mpumbavu kwasababu huna hoja za msingi sawa na wachungaji wengine ukimuuliza swali anasema una pepo.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Basi huenda ndio maana unapinga juu ya uwepo wa Mungu.
Mimi kwa tafsiri yangu Mungu ninaemuamini ni ALLAH ambaye ndiye katuumba ndiye aliyeumba ulimwengu na ni mmoja, hajazaa wala hajazaliwa, hana mwanzo wala mwisho, huyu ndie Mungu ninaemkusudia sasa labda uniambie unapinga kuwa Allah hayupo au??
 
Kwaiyo Kama sayansi Haina majibu ya Kila kitu ndio tukubali maelezo na majibu ya kipuuzi yasiyo na uhalisia?
 
Lakini kuna vitu havikuja na maelekezo mungu aliumba bacteria, virus, fungus akiwa anajua ni hatari Kwa binadamu lakini hakuleta maelekezo ya kutengeneza dawa tumetumis utashi wetu.

Unaweza kunipa maelezo japo kwa ufupi kwanini dini zingine sio za kweli na haki kama uislamu?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo Kama sayansi Haina majibu ya Kila kitu ndio tukubali maelezo na majibu ya kipuuzi yasiyo na uhalisia?
Kama kweli wewe ni mtu intellectual ungetoa hoja zako kwanini dini sio uhalusia.
Note: dini ninayoizungumzia ni uislamu, Haya njoo na hoja nakusubiri
 
Naye huyo nampinga.

Una uthibitisho wa kuonesha yupo?
 
Na huko ndio Kuna wale vigori sabini na wawili mlio ahidiwa? huyo Mungu wenu ana upumbavu mwingi sana
 
Kumbe sasa ukweli haungaliwi tena kinachoangaliwa ni mtu kuchagua anataka kuamini nini si ndio?
Kwasababu Yawheh wa wakristo ana sifa hizo hizo, Brahma, Shiva na Vishnu wa wahindi wana sifa hizo hizo, Odin, Thor ambao ni Nordic Hods Wana sifa hizo hizo ila inavyoonekana umemchagua Allah kwasababu umetaka au wazazi walikupeleka au ulishawishiwa ila uhakika wa kwamba ndie mungu sahihi hauna. Kama upo tuambie ndugu

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…