Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Nami nimezi challenge hizo hoja zako na zimeonesha kuwa hakuna Mungu
🤣🤣 Hakuna hoja inayoonesha hakuna Mungu..
Anyway nadhani kama wewe ni intelectual kweli na ni mtu unataka kuuafuta ukweli juu ya uwepo wa Mungu ni lazima uwe na hoja zako ambazo ndio zimekupelekea kuja kwenye conclusion kuwa Mungu hayupo lakini kama hata hoja huna then you are arguing like blind.
Tokea huu mjadala umeanza mpaka sasa Hope Utakuwa umepata mwanga kuwa...All philosophical questions like who is God?, Where is God come from?, How uncreated can exist and so on yote yanayo majibu na hakuna swali ata moja litakalo pelekea mtu amini kuwa hakuna Mungu bali kupitia maswali hayo ndio yanamleta mtu katika hitimisho kuwa kweli Mungu yupo.
 
Ili kuufuta ukweli unatakiwa uangalie uthibitisho.

Kwenye dhana ya uwepo wa Mungu kuna madai hakuna uthibitisho.

Kama uthibitisho upo weka hapa tuuone
 
Ili kuufuta ukweli unatakiwa uangalie uthibitisho.

Kwenye dhana ya uwepo wa Mungu kuna madai hakuna uthibitisho.

Kama uthibitisho upo weka hapa tuuone
Why you are rotating??, Nimekupa hoja tayari sasa na wewe si utoe hoja zako kwanini unasema hakuna Mungu? Au ulilala ukaamku tu na kuanza kusema hakuna Mungu au unafuata tu mkumbo? A good researcher should have data to analyse and should be capable to figure out points to support his claim.
 
Ulitaka binadamu tuwe programmed kama robots mkuu. 😁
Mkuu, Kama Mungu hapendi mabaya ilibidi iwe hivyo.

Tuwe programmed kufanya mema tu.

Sasa inakuwaje mtu upewe uamuzi wa kufanya mema au mabaya,Halafu ukichagua mabaya una adhibiwa?

Huoni kwamba uhuru wa uchaguzi wa mtu, una ingiliwa?
 
Hoja zako ni fraud na nisha zi dispute

Kushindwa kwako kuweka uthibitisho unaweza ukakutumia kama moja ya sababu kunielewa kwanini nasema hakuna Mungu
 
Nani aliekwambia kwamba evolution ni specie fulani inabadilika kuwa specie nyingine kama vile nyani anabadilika kuwa binadamu baada ya muda?

Aliekwambia hivyo alikudanganya nakushauri uchukue vitabu vya Evolutionary biology usome mwenyewe maana nachoona hapo hata simple concept ya jinsi evolution inavyofanya kazi huifahamu unaishi Kwa misconception ambazo zimewajaa wengi kuhusu evolution.

Walimu wa history form 1 na Evolution form 4 wanatakiwa kupewa mafunzi upya ya evolution maana naona wao ndo wanajaza watu concept ambayo sio sahihi.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hoja zako ni fraud na nisha zi dispute

Kushindwa kwako kuweka uthibitisho unaweza ukakutumia kama moja ya sababu kunielewa kwanini nasema hakuna Mungu
Kushindwa kwako kutoa hoja kuwa hakuna Mungu ni ushahidi tosha kuwa Mungu yupo.
Kama unabisha toa hoja kuwa hakuna mungu., Nakusubiri ..Have anothy try.
 
Kushindwa kwako kutoa hoja kuwa hakuna Mungu ni ushahidi tosha kuwa Mungu yupo.
Kama unabisha toa hoja kuwa hakuna mungu., Nakusubiri ..Have anothy try.
Soma tena Post #387
 
Ngoja nikupe hoja za kuonesha Mungu hayupo 👇

Watoto wachanga wasio elewa chochote kile, Kuzaliwa na matatizo kama unjiti, vichwa vikubwa, uchizi na kasoro nyingine nyingi, Ni uthibitisho wa kwamba Mungu Mkamilifu mwenye kuumba binadamu wakamilifu kimwili na kiakili tangu wawapo tumboni mwa mama zao Hayupo.

Majanga ya asili kama radi, mafuriko matetemeko ya ardhi na vimbunga yanayo Ua watu wasio na hatia mpaka watoto wachanga wasio na ufahamu wowote ule, Ni uthibitisho wa kwamba Mungu mwenye huruma na upendo Hayupo. Mfano tetemeko la Syria na Uturuki lililo ua maelfu ya watu na watoto.

Uwepo wa uovu, mabaya, maasi na dhambi Ni uthibitisho wa kwamba Mungu muweza wa yote na mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele Hayupo. Angekuwepo ange dhibiti maovu haya tangu mwanzoni.

Watu kufariki kwenye Ajali mbalimbali licha ya kumwomba Mungu awalinde wawapo safarini na hata kabla ya ajali yenyewe kutokea wengine hulia na kumwomba Mungu sana azuie ajali hiyo lakini hakuna kinachotokea, Mfano kuzama kwa meli, kuanguka kwa ndege, Ajali za mabasi, na vyombo vingine vya moto. Ni uthibitisho wa kwamba Mungu huyo anaye ombwa Hayupo.

Walemavu na wagonjwa mbalimbali wenye magonjwa yasiyo tibika kuendelea kuteseka na magonjwa yao, Licha ya kusali kila mara na kuomba Mungu wapone, Ni uthibitisho wa kwamba Mungu hayupo.
 
Soma tena Post #387
Hiyo post haitoi hoja kuwa hakuna Mungu bali umetaka uthibitishiwe kama kuna uumbwaji yaani umetoka kwenye swali la je kuna Mungu na sasa upo kwenye swali la je tumeumbwa?
Sasa mimi nataka hoja za kwanini wewe useme hakuna Mungu? Swali bado lipo palepale.have onether try
Onyesha wapi Mungu kasema Kaumba watu wakamilifu?
Mwenyezi Mungu katuumba tukiwa na mapungufu mkamilifu ni yeye tu. Kwahiyo hiyo point yako mbona ndio inathibitisha uwepo wa Mungu maana Mungu kasema yeye ndiye mkamilifu na kweli ukiangalia sisi tuna mapungufu kama ulivyosema hivyo Mungu kasema kweli.

Umetoa mifano ya watoto kufa, meli kuzama n.k wewe nani alikuambia kuwa watoto wadogo kufa , meli kuzama, mafuriko kuua watu kuwa ni mambo mabaya? Unaweza kuthibitisha kuwa mtoto mdogo kufa ni jambo baya??
 
Inaonekana hata evolution yenyewe huijui
Anyway unajua maana ya species??
navofahamu mimi species is group of living organism who can interbreed.
Haya niambie nyani na binadamu wanaweza ku interbreed na kupata offspring.? Ili tuwaweke species moja.
Swali nje ya mada kidogo una uelewa na taxonomy??

Tufanye evolution sio kutoka species moja kwenda nyingine swali langu mbona hawakubadilika nyani wote?? Na mbona hawaendelei kubadilika??
 
Kama Mungu alituumba tukiwa na mapungufu basi kazi yake yeye Mungu ya "Uumbaji" ina mapungufu na Haina ukamilifu.

Maana yeye si ndio muumbaji?

Kwamba, Mungu muumbaji Mkamilifu ali amua kuumba binadamu wenye mapungufu?

Yani ni sawa na mtu kujitekenya na kujicheka mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1]

Ni Mungu gani huyo Mkamilifu aliye umba binadamu wenye mapungufu?
 
Hakuna nyani aliebadilIka kuwa binadamu. Nyani na binadamu ni species ambazo zina share common ancestor lakini due to genetic variability na environmental adaptation ancestor wao alisababisha branching of the phylogenetic tree kuleta binadamu na nyani. Ndo maana Kuna uwiano (compatibility) ya DNA Kwa asilimia 80% kati ya nyani na binadamu. Unafikiri Huwa tunajuaje Hawa ni ndugu kupitia DNA?

[emoji23] Alafu eti unauliza taxonomy nini halafu nikisha define taxonomy so what?



Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Unataka nianze kukuelezea hapa genetics, darwinian evolution, Biogeography hio kazi ngumu sana ndugu hebu kasome acha mbwembwe na vi definition vya kukariri

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Na hapa mbona ulipiga kimya mkuu? Sijasahau ujue [emoji23]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Na hii ndio misconception yako unahisi evolution ni species mbili zina interbreed halafu offspring anatoka wa tofauti na wazazi hapo umepata specie mpya Kwa hiyo evolution tayari...

Unasahau effects za gene mutation (na hii inaweza kuwa natural tu gene ika undergo mutation offspring anaetokana na specie moja akawa na genetic make up tofauti na wazazi) na environmental conditions.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Na pia kama hujui Kuna cases za species tofauti ku interbreed na kupata offspring punda na farasi wanaweza kuzaa mnyana tunamuita mule ila anakuwa ni sterile hybrid huyo mule hana uwezo wa kuzalisha

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Nisome vizuri hapa

Umetoa maelezo ambayo wewe umedai ndio sababu ya kusema Mungu yupo.

Maelezo hayo uliyaelezea kwa mfano wa mtu na simu, ukisema simu imetengenezwa viwandani basi na mtu aliyetengeneza hiyo simu lazima awe ameumbwa.

Ambapo ukaenda kuhitimisha kuwa huyo mtu ameumbwa na Mungu.

Then ukaniambia nikupe sababu kwanini mimi nasema hakuna Mungu.

Majibu yangu yalikuwa ni haya.

Kwasababu neno "kutengeneza" imekuwa ni neno linalowakilisha kitendo ambacho kimekuwa kikifanyika katika shughuli zetu basi hatuwezi kuona utata wa hilo neno.

Hivyo tutaenda kwenye maswali mengine

1. Kwanini tunasema simu inatengenezwa?

2. Je simu inahitajika kutumika kama reference kuthibitisha uwepo wa mtu au mtu mwenyewe tunaweza kuthibitisha uwepo wake bila kutumia uwepo wa kitu kingine kama reference?

3. Tunaweza kuthibitisha simu imetengenezwa?

4. Je tunaweza kuthibitisha mtengenezaji wa simu yupo?

5. Je tunasema hivyo kwasababu tumeikuta tu simu hatujui imefikaje fikaje hapo ilipo?

6. Au tunasema simu imetengenezwa kwasababu tuna uthibitisho ambao upo na unaweza kuwa observed?

7. Je simu kuwa na chanzo maana yake na mtengenezaji naye lazima awe na chanzo?

8. Je kila chenye complex ni lazima kiwe na chanzo?

9. Haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo?

10. Kama inawezekana kwanini tujisumbue kutafuta vyanzo wakati tushajua kuwa chanzo sio necessary kwenye kufanya kitu kiwepo?

****************

Bila shaka tunasema simu imetengenezwa kwasababu kwanza kuna elimu juu ya utengenezaji simu, mtu yeyote anaweza kujifunza na kuna viwanda vipo vinatengeneza simu.

So mpaka hapo tushajua kuwa haiwezekani simu ikawepo tu bila kuwa na chanzo kwasababu tumejua nini kinafanyika mpaka simu inakuwepo.

∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆

Hoja kuhusu Mungu

Sasa unaposema mtu aliumbwa na Mungu unatakiwa ujiulize maswali yale yale tuliyojiuliza wakati tunatafiti kujua simu imefikaje fikaje.

1. Kuumbwa ni nini?
Kuna uthibitisho wowote uliowahi kuwa recorded kuonesha uumbaji upo?

2. Na huyo Mungu anayefanya uumbaji tunaweza kuthibitisha uwepo wake?

3. Au hatuwezi kuthibitisha uwepo wake na hivyo tupo katika hatua za kutumia uwepo wa mtu ili usimame kama uthibitisho wa kuonesha Mungu yupo?

4. Kama haiwezekani kuthibitisha Mungu yupo bila kutumia rejea ya vitu vingine ambavyo vipo na vinathibitishika, huoni hiyo itamaanisha mwanzo wa hivyo vitu ndio mwanzo wa Mungu?

5. Tukikubaliana kuwa Mungu yupo (japo bila uthibitisho) je tukitaka kujua chanzo cha huyo Mungu amewezaje kuwepo, itawezekana?

6. Kama itawezekana basi hicho chanzo chake kitajwe lakini bado unafikiria huyo Mungu atabaki kuwa Mkuu wakati yupo aliyemfanya awepo?

7. Kama haitawezekana Mungu kuwa na chanzo basi hakukuwa na sababu ya wewe kuhoji chanzo cha mtu wakati unafahamu ni rahisi kitu kuwepo bila chanzo.
 
Siku zote utofauti lazima uwepo kidogo ila mutation ikifanyika over successive generations specie mpya inaweza kutoka. Google usoma forces driving evolution

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ndio wako huko nikuongezee na mengine huko kuna mito ya asali ,maziwa kuna matunda na hali nzuri ya kufurahisha lakini kubwa zaidi huko hakuna kufa.
Haya niambie wewe ulikuwa unataka Mungu ahaidi nini baada ya wewe kufa??
Sihitaji ahadi yoyote kwa sababu najua ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…