namimi nakushauri kitu kama hujui usiseme hakuna kwenye debate yoyote utaharibu kinoma ,NAKUSHAHURI😂Jamani hii argument ya god of the gaps ni mbaya sana ..usije ukaitumia popote coz utaharibu kinoma...kwenye debate yoyote usije ukasema hivi nakushauri
Ndo wako hivyo hoja ikiwa konki wanakimbia , wanaanza matusi, wanakwambia humpendi mungu au unataka tu kutenda dhambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja wa sexual discharge kanikimbia
Mjinga wewe! Bado upo ktk Karne ya giza. Mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu?? Hujiulizi ukiwa UMELALA!! Viungo vyote havifanyi kazi ispokua moyo! Je unajua SIRI YA TUKIO HILO?
Lofaa sana
Pole kwakwer ukapigwa kitu cha ubongonilijua jf ni ya watu wastaarabu mpaka pale nilipojiunga mambo niliyokutana nayo nikajiona mjinga
"It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded courseduuh! itakua huijui Qur an my friend anyway.. Qur an imeeleza origin of solar system kuwa ni ALLAH ndie kaumba ushahidi huu hapa...
Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit "It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course" (qur an 21:33)
Bado swali lipo palepale haya niambie wewe origin of solar system??.
Mkuu muda wote ulikuwa unabishana Mungu hayupo alafu hata hujui maana ya Mungu..Then how you criticize the existance of something you don't know even its defination ??Sawa define huyo mungu hasa tuelewe ni nini maana hata ambao hatujui na tunapendelea science tunatamani kujua.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hii mada ya Ubishi muaachie kigoma nyinyi mwajifunza tu apa😂😂Mkuu muda wote ulikuwa unabishana Mungu hayupo alafu hata hujui maana ya Mungu..Then how you criticize the existance of something you don't know even its defination ??
Anyway, Mimi ni muislamu kwahiyo ninamini katika ALLAH kwahiyo ninaposema Mungu namaanisha Allah.
Mungu ni mmoja, ambaye ndie muweza wa mambo yote muumba wa mbingu na ardhi aliyeumba ulimwengu mzima na vilimwengu vyote, hajazaa wala hajazaliwa hakuna cha kufananishwa nae,
huyu ndie mungu ninae mkusudia ana sifa nyingi sana ila sifa kuu za kumuelezea zimetajwa katika qur an 👇👇
"Say: He is Allah, the one and only God the Eternal, the Absolute He begot none,no was he beggotten and there is none comperable to him" (qur an: 112 surat ikhlasw)
Na hapa naomba jibu"It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course
Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit
Maana ake celestial objects zote zina orbits ndo maana kamalizia "each in it's rounded course" na alianza ; "Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit"
Each of them the sun, moon and planets have a course or orbit and all celestial bodies
Quran imetudanganya hapo the sun does not have a course or orbit haina orbit kabisa inashikiliwa na force of gravity (soma heliocentric theory) na pia kuna celestial bodies hazina orbits kama comets. Inaonekana Allah hafahamu uumbaji wake vizuri.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Usikimbilie eti sijui maana ya mungu tulia acha kuni attack twende kwa hoja.Mkuu muda wote ulikuwa unabishana Mungu hayupo alafu hata hujui maana ya Mungu..Then how you criticize the existance of something you don't know even its defination ??
Anyway, Mimi ni muislamu kwahiyo ninamini katika ALLAH kwahiyo ninaposema Mungu namaanisha Allah.
Mungu ni mmoja, ambaye ndie muweza wa mambo yote muumba wa mbingu na ardhi aliyeumba ulimwengu mzima na vilimwengu vyote, hajazaa wala hajazaliwa hakuna cha kufananishwa nae,
huyu ndie mungu ninae mkusudia ana sifa nyingi sana ila sifa kuu za kumuelezea zimetajwa katika qur an [emoji116][emoji116]
"Say: He is Allah, the one and only God the Eternal, the Absolute He begot none,no was he beggotten and there is none comperable to him" (qur an: 112 surat ikhlasw)
sio kweli hawana sifa zote za Allah rudia kusoma maelezo ya surat ikhlasw yanasema Allah hafanani wala hafananizwi na chochote sasa hao kina latah na uzza siwalichongwa masanamu yao kitendo cha kuabudu masanamu ya lata na uzza tayari hao sio alllah na hawana sifa kama za allah kwasababu allah hafanani na chochote... hope you get the point.Usikimbilie eti sijui maana ya mungu tulia acha kuni attack twende kwa hoja.
Hizo sifa mungu wengine kabla Muhammad hajaja na Allah wa waislamu huko Arabia walikuwa nazo fatilia uone mfano Hubat, Al-Lat, Manat, Dhul al-khalasa, Al-Uzza kila mungu alikuwa na jukumu lake. Wapagani waliokuwa huko pia walimuabudu Allah kama kiongozi wa mungu wengine (chief God) ila Allah wao alikuwa na taratibu tofauti kidogo kwanza ni kiruhudu na Mungu wengine waabudiwe sio yeye tu.
Vipi ulitumia kigezo gani kuwakataa Hawa na wengine wengi na kuamini Allah ndo wapekee maana kama ni sifa ulizotaja na wake pia wanazo hata Allah wa wapagani mwenye Sheria zake tofauti anazo hizo sifa.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
huyo ancestor ambaye sasa hivi hayupo yeye alitokana na nini?.First mistake...hamna mtu amesema binadamu alikuwa nyani...we came from the same ancestors...so huyo ancestor saa hivi hayupo...so usitegemee abadilike Tena kwa sababu humuoni huyo...kingine soma evolution uelewe coz haya maswali ni ya kitoto sana
Na wapagani pia walikuwa na Allah mwenye sheria tofauti hapa hujapaongelea?sio kweli hawana sifa zote za Allah rudia kusoma maelezo ya surat ikhlasw yanasema Allah hafanani wala hafananizwi na chochote sasa hao kina latah na uzza siwalichongwa masanamu yao kitendo cha kuabudu masanamu ya lata na uzza tayari hao sio alllah na hawana sifa kama za allah kwasababu allah hafanani na chochote... hope you get the point.
NOTE; Hakuna mungu yoyote tofauti na ALLAH utamuweka katika sifa za kwenye surat ikhilasw aka- meet the criteria narudia hakuna nanakupa challenge leta mungu yoyote muweke kwenye mizani ya surat ikhlasw uone atakavyopwaya natoa challenge kwa yoyote yule, sio wewe tu itaneni woooote wapinga mungu hii ni challenge nimetoa.
Kama unaweza kuuliza Lord Shiva wa hinduism alitokana na nini kwanini na Allah tusiulize alitokana na nini?lord shiva of hinduism ametokana na nini?
Ngoja nikufundishe kidogo kwa Aya ulotoa Sasa ntaanza kuisoma from the Original Context na nitakutafsiria kwa kiswahili kutoka kiarabu.....duuh! itakua huijui Qur an my friend anyway.. Qur an imeeleza origin of solar system kuwa ni ALLAH ndie kaumba ushahidi huu hapa...
Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit "It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course" (qur an 21:33)
Bado swali lipo palepale haya niambie wewe origin of solar system??.
Mkuu Quran haijasema ulichosema hiyo imeongezwa we soma nilivyoelezea hapo juu"It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course
Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit
Maana ake celestial objects zote zina orbits ndo maana kamalizia "each in it's rounded course" na alianza ; "Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit"
Each of them the sun, moon and planets have a course or orbit and all celestial bodies
Quran imetudanganya hapo the sun does not have a course or orbit haina orbit kabisa inashikiliwa na force of gravity (soma heliocentric theory) na pia kuna celestial bodies hazina orbits kama comets. Inaonekana Allah hafahamu uumbaji wake vizuri.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Nilipokuwa kid niliamini ili ufanikiwe lazima upige sana kitabu,ila Imani baadae ilikuja kunitoka na kuamini the world is not fairKatika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.
Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.
Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.
Vipi wewe kwa upande wako Ulishawahi kubadili mawazo yako na kuacha kuamini kitu ambacho ulikiamini awali ? na Kwanini?