Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

😂Jamani hii argument ya god of the gaps ni mbaya sana ..usije ukaitumia popote coz utaharibu kinoma...kwenye debate yoyote usije ukasema hivi nakushauri
namimi nakushauri kitu kama hujui usiseme hakuna kwenye debate yoyote utaharibu kinoma ,NAKUSHAHURI
 
Kuna mtu nilimuamini mno lakini kwasasa natamani hata nipewe supu yake na ndizi mbili na kvant kubwa
 
Mjinga wewe! Bado upo ktk Karne ya giza. Mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu?? Hujiulizi ukiwa UMELALA!! Viungo vyote havifanyi kazi ispokua moyo! Je unajua SIRI YA TUKIO HILO?

Lofaa sana

No offense broh, ila uliyemquote yeye anaongelea Imani na mtazamo wake. Kamwe watu wote hatuwezi kufanana kwenye kila kitu.

Nadhani badala ya kumuattack, ilifaa umuulize kwanini ameacha kuamini uwepo wa Mungu.
 
duuh! itakua huijui Qur an my friend anyway.. Qur an imeeleza origin of solar system kuwa ni ALLAH ndie kaumba ushahidi huu hapa...
Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit "It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course" (qur an 21:33)
Bado swali lipo palepale haya niambie wewe origin of solar system??.
"It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course

Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit

Maana ake celestial objects zote zina orbits ndo maana kamalizia "each in it's rounded course" na alianza ; "Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit"

Each of them the sun, moon and planets have a course or orbit and all celestial bodies

Quran imetudanganya hapo the sun does not have a course or orbit haina orbit kabisa inashikiliwa na force of gravity (soma heliocentric theory) na pia kuna celestial bodies hazina orbits kama comets. Inaonekana Allah hafahamu uumbaji wake vizuri.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Niliamini mwanamke imara ktk ndoa ni yule atakae ambiwa jambo na mtu basi atafanya uchunguzi juu ya jambo hilo aliloambiwa lakini wa sasa wakurupukaji hivyo ata mmoja sitaweza kumuamini kamwe 🤣
 
Sawa define huyo mungu hasa tuelewe ni nini maana hata ambao hatujui na tunapendelea science tunatamani kujua.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Mkuu muda wote ulikuwa unabishana Mungu hayupo alafu hata hujui maana ya Mungu..Then how you criticize the existance of something you don't know even its defination ??

Anyway, Mimi ni muislamu kwahiyo ninamini katika ALLAH kwahiyo ninaposema Mungu namaanisha Allah.

Mungu ni mmoja, ambaye ndie muweza wa mambo yote muumba wa mbingu na ardhi aliyeumba ulimwengu mzima na vilimwengu vyote, hajazaa wala hajazaliwa hakuna cha kufananishwa nae,
huyu ndie mungu ninae mkusudia ana sifa nyingi sana ila sifa kuu za kumuelezea zimetajwa katika qur an 👇👇

"Say: He is Allah, the one and only God the Eternal, the Absolute He begot none,no was he beggotten and there is none comperable to him" (qur an: 112 surat ikhlasw)
 
Hii mada ya Ubishi muaachie kigoma nyinyi mwajifunza tu apa😂😂
 
"It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course

Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit

Maana ake celestial objects zote zina orbits ndo maana kamalizia "each in it's rounded course" na alianza ; "Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit"

Each of them the sun, moon and planets have a course or orbit and all celestial bodies

Quran imetudanganya hapo the sun does not have a course or orbit haina orbit kabisa inashikiliwa na force of gravity (soma heliocentric theory) na pia kuna celestial bodies hazina orbits kama comets. Inaonekana Allah hafahamu uumbaji wake vizuri.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Na hapa naomba jibu

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mkuu muda wote ulikuwa unabishana Mungu hayupo alafu hata hujui maana ya Mungu..Then how you criticize the existance of something you don't know even its defination ??

Anyway, Mimi ni muislamu kwahiyo ninamini katika ALLAH kwahiyo ninaposema Mungu namaanisha Allah.

Mungu ni mmoja, ambaye ndie muweza wa mambo yote muumba wa mbingu na ardhi aliyeumba ulimwengu mzima na vilimwengu vyote, hajazaa wala hajazaliwa hakuna cha kufananishwa nae,
huyu ndie mungu ninae mkusudia ana sifa nyingi sana ila sifa kuu za kumuelezea zimetajwa katika qur an [emoji116][emoji116]

"Say: He is Allah, the one and only God the Eternal, the Absolute He begot none,no was he beggotten and there is none comperable to him" (qur an: 112 surat ikhlasw)
Usikimbilie eti sijui maana ya mungu tulia acha kuni attack twende kwa hoja.

Hizo sifa mungu wengine kabla Muhammad hajaja na Allah wa waislamu huko Arabia walikuwa nazo fatilia uone mfano Hubat, Al-Lat, Manat, Dhul al-khalasa, Al-Uzza kila mungu alikuwa na jukumu lake. Wapagani waliokuwa huko pia walimuabudu Allah kama kiongozi wa mungu wengine (chief God) ila Allah wao alikuwa na taratibu tofauti kidogo kwanza ni aliruhusu na Mungu wengine waabudiwe sio yeye tu.

Vipi ulitumia kigezo gani kuwakataa Hawa na wengine wengi na kuamini Allah ndo wapekee maana kama ni sifa ulizotaja na wale pia wanazo hata Allah wa wapagani mwenye sheria zake tofauti anazo hizo sifa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Usikimbilie eti sijui maana ya mungu tulia acha kuni attack twende kwa hoja.

Hizo sifa mungu wengine kabla Muhammad hajaja na Allah wa waislamu huko Arabia walikuwa nazo fatilia uone mfano Hubat, Al-Lat, Manat, Dhul al-khalasa, Al-Uzza kila mungu alikuwa na jukumu lake. Wapagani waliokuwa huko pia walimuabudu Allah kama kiongozi wa mungu wengine (chief God) ila Allah wao alikuwa na taratibu tofauti kidogo kwanza ni kiruhudu na Mungu wengine waabudiwe sio yeye tu.

Vipi ulitumia kigezo gani kuwakataa Hawa na wengine wengi na kuamini Allah ndo wapekee maana kama ni sifa ulizotaja na wake pia wanazo hata Allah wa wapagani mwenye Sheria zake tofauti anazo hizo sifa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
sio kweli hawana sifa zote za Allah rudia kusoma maelezo ya surat ikhlasw yanasema Allah hafanani wala hafananizwi na chochote sasa hao kina latah na uzza siwalichongwa masanamu yao kitendo cha kuabudu masanamu ya lata na uzza tayari hao sio alllah na hawana sifa kama za allah kwasababu allah hafanani na chochote... hope you get the point.

NOTE; Hakuna mungu yoyote tofauti na ALLAH utamuweka katika sifa za kwenye surat ikhilasw aka- meet the criteria narudia hakuna nanakupa challenge leta mungu yoyote muweke kwenye mizani ya surat ikhlasw uone atakavyopwaya natoa challenge kwa yoyote yule, sio wewe tu itaneni woooote wapinga mungu hii ni challenge nimetoa.
 
First mistake...hamna mtu amesema binadamu alikuwa nyani...we came from the same ancestors...so huyo ancestor saa hivi hayupo...so usitegemee abadilike Tena kwa sababu humuoni huyo...kingine soma evolution uelewe coz haya maswali ni ya kitoto sana
huyo ancestor ambaye sasa hivi hayupo yeye alitokana na nini?.
 
sio kweli hawana sifa zote za Allah rudia kusoma maelezo ya surat ikhlasw yanasema Allah hafanani wala hafananizwi na chochote sasa hao kina latah na uzza siwalichongwa masanamu yao kitendo cha kuabudu masanamu ya lata na uzza tayari hao sio alllah na hawana sifa kama za allah kwasababu allah hafanani na chochote... hope you get the point.

NOTE; Hakuna mungu yoyote tofauti na ALLAH utamuweka katika sifa za kwenye surat ikhilasw aka- meet the criteria narudia hakuna nanakupa challenge leta mungu yoyote muweke kwenye mizani ya surat ikhlasw uone atakavyopwaya natoa challenge kwa yoyote yule, sio wewe tu itaneni woooote wapinga mungu hii ni challenge nimetoa.
Na wapagani pia walikuwa na Allah mwenye sheria tofauti hapa hujapaongelea?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
So anatuumba vibaya kwa sababu ye mwoga na mchoyo?
mimi siajsema ametuumba vibaya nimesema hajatuumba na ukamilifu kama wake.
unaweza kuthibitisha kuwa kuumbwa kwetu bila ukamilifu kama wa mungu ni jambo baya????
 
duuh! itakua huijui Qur an my friend anyway.. Qur an imeeleza origin of solar system kuwa ni ALLAH ndie kaumba ushahidi huu hapa...
Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit "It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course" (qur an 21:33)
Bado swali lipo palepale haya niambie wewe origin of solar system??.
Ngoja nikufundishe kidogo kwa Aya ulotoa Sasa ntaanza kuisoma from the Original Context na nitakutafsiria kwa kiswahili kutoka kiarabu.....

Aya yako ndo hii....suratul Anbiya aya ya 33...

وَهُوَ ٱلَّذِى خَلَقَ ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ وَٱلشَّمْسَ وَٱلْقَمَرَ ۖ كُلٌّۭ فِى فَلَكٍۢ يَسْبَحُونَ

Sasa Angalia nondo Hapa...

وَهُوَ ٱلَّذِى hutamkwa "Wahuwa alladhee" kwa kiswahili Tunaweza kusema "Yeye ambaye".....

خَلَقَ hutamkwa "Khalaqa" Maana yake ni " kuumba" ama "Ameumba"....

ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ hutamkwa "Allayla Waalnnahara" allayla imetokana na neno "layla" au "layl" ambayo humaanisha Usiku na "waalnnahara" Maana yake mwangaza Ama Mchana....

وَٱلشَّمْسَ وَٱلْقَمَرَ hutamkwa "Waalshshamsa waalqamara" neno "al-Shamsi" ambazo ndo mzizi wa neno la kwanza linamaanisha "Jua" na neno Qamar ambayo ni mzizi wa neno la pili humaanisha "Mwezi"... maana yake "Na jua na mwezi"...

ۖ كُلٌّۭ فِى فَلَكٍۢ يَسْبَحُونَ Hutamkwa "kullun fiii falakin yasbahuuna" neno "kullun" Maana yake "kila" ....Twende kwenye "fiii" Hichi kuwa ni kielezi cha mahali ukiona hii maaana yake inayofuata huwa ni sehemu au mahali... na neno "falakin" Linaweza kutafsiri Kwa njia mbili kama Nomino Au Kitenzi ila kwa sentensi hiyi limetumika kama nomino ila pia unaweza ukatumia kama kitenzi
ngoja nikupe maelezo kidogo ya kiarabu ili unielewe...

Nomino
(Muhimili kama katika maneno yafuatayo
مدار, فلك, مسار الفلك, محجر العين, حجاج العين, وقب

Duara ka kwenye .....
ميدان, صعيد, فلك, جسم كروى, مجال النشاط, دنيا

zingo kama kwenye....
محجر العين, مدار, كرة, فلك, جرم سماوي, دائرة)

Na kama Kitenzi huweza kutumika kama
Kuzunguks
أحاط, فلك

Lakini tafsiri iliyo Rasmi kwa hapo imetumika kama Orbit au muhimili so "falakin" humaanisha muhimili....
Mwisho "yasbahuuna" inamaanisha "Kuelea"
kwahiyi hicho kijimstari cha mwisho kinamaanisha
"Kila kimoja Huelea au huzunguka katika Muhimili wake"
sasa Narudi kwenye Maana ya Aya nzima Imeandikwa Hivi.....

So kwa mujibu wa verse ulotoa Aya ya 33 ya surah Al-anbiya...husomeka hivi kwa tafsiri sahihi...

"Yeye ambaye ameumba Usiku na Mchana,Jua na Mwezi Na kila kimoja huelea (Huzunguka) Katika muhimilii wake"

sasa Nakurudia Bado nionyeshe Sehemu ilipoamdikwa Sayari yoyote hapo au mwezi na Jua ni sayari.....
 
"It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course

Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit

Maana ake celestial objects zote zina orbits ndo maana kamalizia "each in it's rounded course" na alianza ; "Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit"

Each of them the sun, moon and planets have a course or orbit and all celestial bodies

Quran imetudanganya hapo the sun does not have a course or orbit haina orbit kabisa inashikiliwa na force of gravity (soma heliocentric theory) na pia kuna celestial bodies hazina orbits kama comets. Inaonekana Allah hafahamu uumbaji wake vizuri.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Mkuu Quran haijasema ulichosema hiyo imeongezwa we soma nilivyoelezea hapo juu
 
Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.

Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.

Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.

Vipi wewe kwa upande wako Ulishawahi kubadili mawazo yako na kuacha kuamini kitu ambacho ulikiamini awali ? na Kwanini?
Nilipokuwa kid niliamini ili ufanikiwe lazima upige sana kitabu,ila Imani baadae ilikuja kunitoka na kuamini the world is not fair
 
Back
Top Bottom