duuh! itakua huijui Qur an my friend anyway.. Qur an imeeleza origin of solar system kuwa ni ALLAH ndie kaumba ushahidi huu hapa...
Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit "It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course" (qur an 21:33)
Bado swali lipo palepale haya niambie wewe origin of solar system??.
Ngoja nikufundishe kidogo kwa Aya ulotoa Sasa ntaanza kuisoma from the Original Context na nitakutafsiria kwa kiswahili kutoka kiarabu.....
Aya yako ndo hii....suratul Anbiya aya ya 33...
وَهُوَ ٱلَّذِى خَلَقَ ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ وَٱلشَّمْسَ وَٱلْقَمَرَ ۖ كُلٌّۭ فِى فَلَكٍۢ يَسْبَحُونَ
Sasa Angalia nondo Hapa...
وَهُوَ ٱلَّذِى hutamkwa "
Wahuwa alladhee" kwa kiswahili Tunaweza kusema "
Yeye ambaye".....
خَلَقَ hutamkwa "
Khalaqa" Maana yake ni "
kuumba" ama "
Ameumba"....
ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ hutamkwa "
Allayla Waalnnahara"
allayla imetokana na neno "
layla" au "
layl" ambayo humaanisha Usiku na "
waalnnahara" Maana yake mwangaza Ama Mchana....
وَٱلشَّمْسَ وَٱلْقَمَرَ hutamkwa
"Waalshshamsa waalqamara" neno "al-Shamsi" ambazo ndo mzizi wa neno la kwanza linamaanisha "
Jua" na neno Qamar ambayo ni mzizi wa neno la pili humaanisha "
Mwezi"... maana yake "
Na jua na mwezi"...
ۖ كُلٌّۭ فِى فَلَكٍۢ يَسْبَحُونَ Hutamkwa "
kullun fiii falakin yasbahuuna" neno "
kullun" Maana yake "
kila" ....Twende kwenye "
fiii" Hichi kuwa ni kielezi cha mahali ukiona hii maaana yake inayofuata huwa ni sehemu au mahali... na neno "
falakin" Linaweza kutafsiri Kwa njia mbili kama Nomino Au Kitenzi ila kwa sentensi hiyi limetumika kama nomino ila pia unaweza ukatumia kama kitenzi
ngoja nikupe maelezo kidogo ya kiarabu ili unielewe...
Nomino
(Muhimili kama katika maneno yafuatayo
مدار, فلك, مسار الفلك, محجر العين, حجاج العين, وقب
Duara ka kwenye .....
ميدان, صعيد, فلك, جسم كروى, مجال النشاط, دنيا
zingo kama kwenye....
محجر العين, مدار, كرة, فلك, جرم سماوي, دائرة)
Na kama Kitenzi huweza kutumika kama
Kuzunguks
أحاط, فلك
Lakini tafsiri iliyo Rasmi kwa hapo imetumika kama Orbit au muhimili so "
falakin" humaanisha muhimili....
Mwisho "
yasbahuuna" inamaanisha "
Kuelea"
kwahiyi hicho kijimstari cha mwisho kinamaanisha
"Kila kimoja Huelea au huzunguka katika Muhimili wake"
sasa Narudi kwenye Maana ya Aya nzima Imeandikwa Hivi.....
So kwa mujibu wa verse ulotoa Aya ya 33 ya surah Al-anbiya...husomeka hivi kwa tafsiri sahihi...
"Yeye ambaye ameumba Usiku na Mchana,Jua na Mwezi Na kila kimoja huelea (Huzunguka) Katika muhimilii wake"
sasa Nakurudia Bado nionyeshe Sehemu ilipoamdikwa Sayari yoyote hapo au mwezi na Jua ni sayari.....