Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

ila kuna justify ujinga wako.
Yeah uko sahihi kabisa...
Kwa Tafsir ya neno ujinga kutoka BAKITA Ni kutokujua Kitu yaani kuto kuwa literate na kitu.....
So nakubaliana wewe kabisa kunajustify kwamba hujui(Mjinga) wa kitu hicho...
Narudia pale pale kutokujua (Kuwa mjinga ) kwa kitu hakumfanyi mtu kuweka uongo wake.......

Namaanisha kutokujua Kuhusu Ingredient ( contents) iliyopo kwenye maziwa haimfanyi mtu Atakayesema kwamba maziwa yanachokaa au yana chalk ambazo ng'ombe alikula haimfanye yeye kuwa mkweli.
 
Angekuepo msinge pingana wenyewe kwa wenyewe angewapa hekima ya kufichiana aibu zenu
 
[emoji23] Hapa patamu kwa hiyo tuki study skull (fuvu) la binadamu alieishi the past 5000 years litakuwa na features zote sawa kama lilivyo fuvu la binadamu wa sasa si ndio?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ujinga ni kuamini Mungu anaweza kuwepo bila chanzo alafu ukatae ulimwengu hauwezi kutokea bila chanzo
 
Kama ni vigumu kuleta aya then your claim is invalid.
Alafu ni kuulize swali mkuu hivi mtu akija kukuvamia wewe anataka kukuua utamwacha akuue na una uwezo wa kupambana nae?
Mtu akija kunivamia mimi kutaka kuniua nitamuua ila ukumbuke Mohammad alikuwa havamiwi, yeye alikuwa anavamia vijiji na kuua watu kwa kulazimisha aitwe nabii. Soma tu wasifu wake utanielewa vizuri.
 
Siyo Biblia tu kina mashaka hata Qur'an pia kina vitu vya hajabu sana na ushirikina kibao.
 
Mungu mnae sema kila siku ana upendo na huruma, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na majanga kama haya.

Ona sasa tetemeko la ardhi lilivyo ua watu huko Morocco.

Je Mungu huyo mwenye upendo hakujua kwamba tetemeko hili litatokea alidhibiti na kulizuia?

Tunaposema kwamba Mungu huyo Hayupo, muwe mna elewa.
 
Kwanza unatakiwa ufahamu maelezo yaliyo kwenye bracket Ni tafsiri ya ziada ya mfasiri, Hivyo hayafanani kwa wafasiri wote tuje kwenye original script inayotaja mwezi na jua kuwa vinazunguka.
Hakuna shaka kuwa mwezi unazunguka wasiwasi wako upo kwenye jua kuzunguka... My friend sayansi ya zamani ndio ilitoa majibu kuwa jua ni stationary lakini kwa sasa imethibitika kuwa jua nalo linazunguka.
"The sun rotate on it's axis as it revolve around the Galaxy. It's spin has a tilt of 7.25 degree with respect to the plane of planet orbit"
Kwa maelezo zaidi kuhusu rotation of sun go to www.nasa.gov
 
Suala lilikuwa origin of solar system sasa umesema Allah kasema Kaumba jua na mwezi labda utusaidie sasa je jua na mwezi sio sehemu ya solar system ?
Nadhani jibu utakuwa unalo, Lakini kama shida yako ni kuumbwa kwa sayari hata dunia ni sayari na ALLAH amesema hilo katika Qur an
"Did the unbeliever do not realize that Heaven and Earth were one solid mass, then we tore them apart" Qur an 21:30
Hapo umeona Allah akielezea uumbaji wa dunia na dunia ni sayari so kama hoja ni kuhusu sayari jibu tayari unalo na hapo qur an imetaja kitu cha ziada the big bang theory hiyoo
 
Umaskini wa Africa na matatizo yake ni matokeo ya kuonewa sana na wazungu na Waarabu.
 
Na brahma si wanasemaga hivi hivi wahindi...na Yahweh hivi hivi...Sasa mbona unatuchanganya
Kufanana kwa definition sio hoja hoja zina akisi uhalisia mfano mkristo akikwambia Mungu ni mmoja na haja zaa wala hajazaliwa alafu hapohapo akakwambia yesu ni sehemu ya Mungu na yesu kazaliwa hapo itakuwa hoja zake zina pingana yaani Mungu wake hana uhalisia hii ni tofauti na ALLAH ambaye yupo katika uhalisia wa kile kinachotafsiriwa juu yake.
 
😂Kwani mkristo kasema Yesu hajazaliwa...afu waislamu shida mnapenda kuponda dini za wenzenu na kujiona nyie Bora.. yaani wote wenye dini ni walemavu wa akili tu..mnatofautiana matatizo
 
Kuhusu jua kuzunguka hapo nilikuwa sifahamu hiyo research mpya ya NASA naona ni article ya 2017 ni kitu kipya kweli nimeiona na imekubali jua kuwa na "differential rotation on its axis". Sehemu tofauti za jua zinazunguka kwa muda tofauti. (APA NIMEKUBALI nimeiona ipo kweli [emoji23])

LAKINI
Maelezo ya kwenye mabano kama ni tafsiri ya ziada natakiwa kuizingatia au sio lazima? Na kama ni ya ziada maana ake kwenye original text ya Muhammad hayakuwepo si ndio? Nijibu hapa ndo tuendelee swala la solar system vizuri


Halafu pia bado Quran haijapona makosa ya kisayansi ndugu yangu Lidafo

Kuna mtu aliona jua linazama kwenye matope

Till, when he reached the setting-place of the sun, he found it setting in a muddy spring, and found a people thereabout. We said: O Dhu'l-Qarneyn! Either punish or show them kindness. Qur'an 18:86.

Kuna mwezi kugawanyika

Narrated Anas: "That the Meccan people requested Allah's Apostle to show them a miracle, and so he showed them the splitting of the moon."
Sahih Bukhari 4:56:831. (NASA waliona mpasuko tu kama crack za ardhi ulioenda kilomita 360 tu usiseme ndo huu ushahidi maana mwezi una ukubwa wa diameter ya 3474 kilomita maana Quran inasema mwezi wote uligawanyika)

Kutumia mfano wa carpet kunaonyesha huyu ni mtu ambae kichwani anahisi earth is flat sio sphere (duara)

He Who has, made for you the earth like a carpet spread out; has enabled you to go about therein by roads (and channels); Qur'an 20:53











Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] Lakini bing bang mbona mi sijaiona hapo hebu nieleweshe umemaanisha nini kusema big bang imeelezwa hapo kwenye hilo andiko?

Na kama andiko liko kama alivyodadavua DR Mambo AMP jua na mwezi pekee sio solar system na hata kama dunia imetajwa ni sayari moja tu zingine vipi? au dunia (earth) inawakilisha zote?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Quran haina hoja zinazopingana una uhakika na hilo?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…