Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah uko sahihi kabisa...ila kuna justify ujinga wako.
Angekuepo msinge pingana wenyewe kwa wenyewe angewapa hekima ya kufichiana aibu zenuhalikuhusu kwasababu hizo dini nilizotaja hazikatai uwepo wa mungu .
Nimetaja hizo dini tatu kwasababu ndio Abrahamic religion na uislamu ambao mimi nauamini kuwa ndio dini ya kweli nao ni miongoni mwa abrahamic religion.
Kuhusu suala la dini kupingana ni kweli zinapingana ila hazipingi uwepo wa mungu sasa wewe hoja yako ni nini? ni dini kupingana au ni juu ya uwepo wa mungu???.
NOTE: Kupingana kwa dini sio hoja kuwa mungu hayupo nishaliongelea hili sana tu.
[emoji23] Hapa patamu kwa hiyo tuki study skull (fuvu) la binadamu alieishi the past 5000 years litakuwa na features zote sawa kama lilivyo fuvu la binadamu wa sasa si ndio?Based on which basis? Maana binadamu wa miaka 5000 nyuma ndiyo huyu huyu wa sasa, tuna features zoote walizokuwa nazo wao huko kudogo unapokuongelea wewe ni kupi.
Na hiyo enviromental control unayoiongelea ni ipi ambayo 5000 years back hawakuifanya?
Ujinga ni kuamini Mungu anaweza kuwepo bila chanzo alafu ukatae ulimwengu hauwezi kutokea bila chanzoMbona wewe haujajibu swali unarukia kuuliza swali ?
anyway, ndio kawaida yenu wapinga mungu hamjui kujibu maswali nyie mnajua kuuliza tu.
Mungu ninae mzungumzia mimi ni Allah ambaye hana asili kwa ufupi hajaumbwa wala hajaza wala hajazaliwa .
Unaweza kuthibitisha shetani yupo na ni mbaguzi??
😂No lakini it's a better explanation kwa mtu anaejielewa than a snake in a magical garden with naked couple.kwahiyo wewe umeishi more than million?
Mtu akija kunivamia mimi kutaka kuniua nitamuua ila ukumbuke Mohammad alikuwa havamiwi, yeye alikuwa anavamia vijiji na kuua watu kwa kulazimisha aitwe nabii. Soma tu wasifu wake utanielewa vizuri.Kama ni vigumu kuleta aya then your claim is invalid.
Alafu ni kuulize swali mkuu hivi mtu akija kukuvamia wewe anataka kukuua utamwacha akuue na una uwezo wa kupambana nae?
Siyo Biblia tu kina mashaka hata Qur'an pia kina vitu vya hajabu sana na ushirikina kibao.Dini ni utumwa wa fikra.
Dini ni uongo.
Dini ni utapeli.
Binafsi nilikuwa mshika dini sana
(Roman Catholic) na nimesoma Seminari kabisa.
Lakini baada ya kujifunza na kuisoma dini, Historia yake na kuichambua haswa, kusoma philosophy na kuchambua haswa maswala ya Mungu.
Nimekuwa Atheist.
Buy a Bible read only one page ,and you will a Catholic,
Buy a Bible read only what suits you and you will be an evangelical,
Buy a Bible read it fully, analyze it, reason it and you will be an Atheist.
Kwanza unatakiwa ufahamu maelezo yaliyo kwenye bracket Ni tafsiri ya ziada ya mfasiri, Hivyo hayafanani kwa wafasiri wote tuje kwenye original script inayotaja mwezi na jua kuwa vinazunguka."It is He who created the night and the day, and the sun and the moon;all (the celestial bodies) swim along, each in its rounded course
Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit
Maana ake celestial objects zote zina orbits ndo maana kamalizia "each in it's rounded course" na alianza ; "Allah created the sun, the moon, and the planets, each with their own individual courses or orbit"
Each of them the sun, moon and planets have a course or orbit and all celestial bodies
Quran imetudanganya hapo the sun does not have a course or orbit haina orbit kabisa inashikiliwa na force of gravity (soma heliocentric theory) na pia kuna celestial bodies hazina orbits kama comets. Inaonekana Allah hafahamu uumbaji wake vizuri.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Suala lilikuwa origin of solar system sasa umesema Allah kasema Kaumba jua na mwezi labda utusaidie sasa je jua na mwezi sio sehemu ya solar system ?Ngoja nikufundishe kidogo kwa Aya ulotoa Sasa ntaanza kuisoma from the Original Context na nitakutafsiria kwa kiswahili kutoka kiarabu.....
Aya yako ndo hii....suratul Anbiya aya ya 33...
وَهُوَ ٱلَّذِى خَلَقَ ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ وَٱلشَّمْسَ وَٱلْقَمَرَ ۖ كُلٌّۭ فِى فَلَكٍۢ يَسْبَحُونَ
Sasa Angalia nondo Hapa...
وَهُوَ ٱلَّذِى hutamkwa "Wahuwa alladhee" kwa kiswahili Tunaweza kusema "Yeye ambaye".....
خَلَقَ hutamkwa "Khalaqa" Maana yake ni " kuumba" ama "Ameumba"....
ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ hutamkwa "Allayla Waalnnahara" allayla imetokana na neno "layla" au "layl" ambayo humaanisha Usiku na "waalnnahara" Maana yake mwangaza Ama Mchana....
وَٱلشَّمْسَ وَٱلْقَمَرَ hutamkwa "Waalshshamsa waalqamara" neno "al-Shamsi" ambazo ndo mzizi wa neno la kwanza linamaanisha "Jua" na neno Qamar ambayo ni mzizi wa neno la pili humaanisha "Mwezi"... maana yake "Na jua na mwezi"...
ۖ كُلٌّۭ فِى فَلَكٍۢ يَسْبَحُونَ Hutamkwa "kullun fiii falakin yasbahuuna" neno "kullun" Maana yake "kila" ....Twende kwenye "fiii" Hichi kuwa ni kielezi cha mahali ukiona hii maaana yake inayofuata huwa ni sehemu au mahali... na neno "falakin" Linaweza kutafsiri Kwa njia mbili kama Nomino Au Kitenzi ila kwa sentensi hiyi limetumika kama nomino ila pia unaweza ukatumia kama kitenzi
ngoja nikupe maelezo kidogo ya kiarabu ili unielewe...
Nomino
(Muhimili kama katika maneno yafuatayo
مدار, فلك, مسار الفلك, محجر العين, حجاج العين, وقب
Duara ka kwenye .....
ميدان, صعيد, فلك, جسم كروى, مجال النشاط, دنيا
zingo kama kwenye....
محجر العين, مدار, كرة, فلك, جرم سماوي, دائرة)
Na kama Kitenzi huweza kutumika kama
Kuzunguks
أحاط, فلك
Lakini tafsiri iliyo Rasmi kwa hapo imetumika kama Orbit au muhimili so "falakin" humaanisha muhimili....
Mwisho "yasbahuuna" inamaanisha "Kuelea"
kwahiyi hicho kijimstari cha mwisho kinamaanisha
"Kila kimoja Huelea au huzunguka katika Muhimili wake"
sasa Narudi kwenye Maana ya Aya nzima Imeandikwa Hivi.....
So kwa mujibu wa verse ulotoa Aya ya 33 ya surah Al-anbiya...husomeka hivi kwa tafsiri sahihi...
"Yeye ambaye ameumba Usiku na Mchana,Jua na Mwezi Na kila kimoja huelea (Huzunguka) Katika muhimilii wake"
sasa Nakurudia Bado nionyeshe Sehemu ilipoamdikwa Sayari yoyote hapo au mwezi na Jua ni sayari.....
Kufanana kwa definition sio hoja hoja zina akisi uhalisia mfano mkristo akikwambia Mungu ni mmoja na haja zaa wala hajazaliwa alafu hapohapo akakwambia yesu ni sehemu ya Mungu na yesu kazaliwa hapo itakuwa hoja zake zina pingana yaani Mungu wake hana uhalisia hii ni tofauti na ALLAH ambaye yupo katika uhalisia wa kile kinachotafsiriwa juu yake.Na brahma si wanasemaga hivi hivi wahindi...na Yahweh hivi hivi...Sasa mbona unatuchanganya
😂Kwani mkristo kasema Yesu hajazaliwa...afu waislamu shida mnapenda kuponda dini za wenzenu na kujiona nyie Bora.. yaani wote wenye dini ni walemavu wa akili tu..mnatofautiana matatizoKufanana kwa definition sio hoja hoja zina akisi uhalisia mfano mkristo akikwambia Mungu ni mmoja na haja zaa wala hajazaliwa alafu hapohapo akakwambia yesu ni sehemu ya Mungu na yesu kazaliwa hapo itakuwa hoja zake zina pingana yaani Mungu wake hana uhalisia hii ni tofauti na ALLAH ambaye yupo katika uhalisia wa kile kinachotafsiriwa juu yake.
Kuhusu jua kuzunguka hapo nilikuwa sifahamu hiyo research mpya ya NASA naona ni article ya 2017 ni kitu kipya kweli nimeiona na imekubali jua kuwa na "differential rotation on its axis". Sehemu tofauti za jua zinazunguka kwa muda tofauti. (APA NIMEKUBALI nimeiona ipo kweli [emoji23])Kwanza unatakiwa ufahamu maelezo yaliyo kwenye bracket Ni tafsiri ya ziada ya mfasiri, Hivyo hayafanani kwa wafasiri wote tuje kwenye original script inayotaja mwezi na jua kuwa vinazunguka.
Hakuna shaka kuwa mwezi unazunguka wasiwasi wako upo kwenye jua kuzunguka... My friend sayansi ya zamani ndio ilitoa majibu kuwa jua ni stationary lakini kwa sasa imethibitika kuwa jua nalo linazunguka.
"The sun rotate on it's axis as it revolve around the Galaxy. It's spin has a tilt of 7.25 degree with respect to the plane of planet orbit"
Kwa maelezo zaidi kuhusu rotation of sun go to www.nasa.gov
[emoji23][emoji23] Lakini bing bang mbona mi sijaiona hapo hebu nieleweshe umemaanisha nini kusema big bang imeelezwa hapo kwenye hilo andiko?Suala lilikuwa origin of solar system sasa umesema Allah kasema Kaumba jua na mwezi labda utusaidie sasa je jua na mwezi sio sehemu ya solar system ?
Nadhani jibu utakuwa unalo, Lakini kama shida yako ni kuumbwa kwa sayari hata dunia ni sayari na ALLAH amesema hilo katika Qur an
"Did the unbeliever do not realize that Heaven and Earth were one solid mass, then we tore them apart" Qur an 21:30
Hapo umeona Allah akielezea uumbaji wa dunia na dunia ni sayari so kama hoja ni kuhusu sayari jibu tayari unalo na hapo qur an imetaja kitu cha ziada the big bang theory hiyoo
Kwa hiyo Quran haina hoja zinazopingana una uhakika na hilo?Kufanana kwa definition sio hoja hoja zina akisi uhalisia mfano mkristo akikwambia Mungu ni mmoja na haja zaa wala hajazaliwa alafu hapohapo akakwambia yesu ni sehemu ya Mungu na yesu kazaliwa hapo itakuwa hoja zake zina pingana yaani Mungu wake hana uhalisia hii ni tofauti na ALLAH ambaye yupo katika uhalisia wa kile kinachotafsiriwa juu yake.