Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Dini aisee mi saiz pagan kabisaKatika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.
Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.
Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.
Vipi wewe kwa upande wako Ulishawahi kubadili mawazo yako na kuacha kuamini kitu ambacho ulikiamini awali ? na Kwanini?
Soma hadiths ..na usijifanye kusema hadiths sio za ukweli coz hata Quran haielezei jinsi ya kuswali lakini waislamu Wana swali...so usiongee kujikoshaAya gani kwenye Qur an inasema muhammad alioa mtoto wa miaka sita? 🤣Ehe tuelimishane mjuzi
We ni mjinga. 🤣full stopAkiwapa mali wote mtaa question Kama anaweza yote mbona ameshindwa kuwanyima watu mali.
Fatilia bacterial evolution au virus..coz ni wadogo inaweza ikawa observed, wanaita mutation coz ipo chap lakini it plays the same part..Hakuna sehemu nimemtaja Mungu be humble 😁 , maswali yangu yoote nimeuliza kwa sababu nina kiu ya kutaka kufahamu.
Anyways unaweza kunitajia any new evolution phenomenom discovered ukiacha ambazo tayari zinajulikana??
🤣Wataishia kukuambia hujui jua limetoka wapi...so Mungu wangu katengenezaAlafu hawa watu wanaojifanya wanajua haya mambo ya mungu ni wanafki kishenzi , hakuna watu wenye roho chafu kama hawa , juzi kati kuna nabii uchwara nilimnasa kibao kwa kulazimishia story zake za abunuasi mbele yangu.🤪
Na mimi pia ni kama wewe.Mimi binafsi nilikuwa naamini mungu yupo ila nikaja kugundua ni hadithi tu za alinacha za kutunga zisizo na ukweli wowote.
Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu. Quran kama inavyoeleza yenyewe iliandikwa na watu ambao hawakufika hata darasa la pili, thinking yao ni kama ya watoto wa chekechea.
Mungu hayupo, ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu.
Kwa Nini unasema Yesu ni Mungu...una evidence gani..hata bible tu haikusapotiHilo la kwanza tu ndio hatuko pamoja
Mengine yote nipo nawe.
Hebu niambie kuhusu Yesu tafadhali.
Mutation na evolution ni vitu viwili tofauti mkuu ninachotaka mimi ni evolution ambayo imetokea recent years .Fatilia bacterial evolution au virus..coz ni wadogo inaweza ikawa observed, wanaita mutation coz ipo chap lakini it plays the same part..
Akili na ubongo ni tofauti🤣 Haya maswali ni ya kijinga Sana mpaka tushayazoea.. ushaona upepo sijui akili...🤣bro huwezi ona ubongo wako labda CT scan huko..Ila kuuona hivi huwezi ila tukipasua kichwa tukautoa ubongo na wewe haupo...sijui unanielewa..tunajua ubongo upo coz tumeuona kwa wanyama mbalimbali ikiwemo binadamu
🚮🚮hio sio story ni swali mkuu... anyway jibu majibu ya kikubwa kama swali ni la kitoto.
Akili ni dhana ya kufikirika HAIPO.Umewahi kuiona akili yako?
Mungu hatoi mali, kwa vile HayupoAkiwapa mali wote mtaa question Kama anaweza yote mbona ameshindwa kuwanyima watu mali.
Huoni?Kwanini?
Kuna watu wanapambana kutafuta na hawazipati hao nao vipi? Ukizingatia wametumia kanuni sawa na wengine ambao wanazipataMungu hatoi mali, kwa vile Hayupo
Watu hupambana kutafuta mali.
Mifano yako hii haina mantiki yeyote kuonesha uwepo wa huyo Mungu.
The same hoja yako pia haionyeshi Mungu hayupo kwani ili Mungu awepo ni lazima atoe mali kwa watu wote?Mungu hatoi mali, kwa vile Hayupo
Watu hupambana kutafuta mali.
Mifano yako hii haina mantiki yeyote kuonesha uwepo wa huyo Mungu.
Nadhani utakuwa umeshamjibu yule aliye uliza kuhusu Mungu hayupo kwa sababu haonekani.Akili ni dhana ya kufikirika HAIPO.
Binadamu tuna vichwa vyenye ubongo.
Neno Akili ni la kufikirika, halipo katika uhalisia.
Ni sawa na kusema umewahi kuona Hasira, wasiwasi au hofu.
Vitu hivi vyote havipo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika.
Lakini wewe ndio uliyesema aya sio Mimi anyway..Hadith gani iyooo embu tuwekee hapa tujifunze na sisi.Soma hadiths ..na usijifanye kusema hadiths sio za ukweli coz hata Quran haielezei jinsi ya kuswali lakini waislamu Wana swali...so usiongee kujikosha