nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
Waislamu waume wakienda peponi watapewa wanawake bikra ili wawashughulikieLeta Aya yeyote katika qur an ambayo una mashaka nayo.
Unahisi ndio inakufanya uamini qur an ni uongo.. iweke hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu waume wakienda peponi watapewa wanawake bikra ili wawashughulikieLeta Aya yeyote katika qur an ambayo una mashaka nayo.
Unahisi ndio inakufanya uamini qur an ni uongo.. iweke hapa
Na kwanini wewe simbampole123 utake kusema Mungu hayupo alafu sisi tukuamini wakati unachoongea sio kweli.Kwa Nini Mungu muweza yote anachagua kumtokea kima mmoja jangwani middle east afu dunia nzima tumwamini yeye kwa Imani tu..wakati anachoongea ni utopolo tu?
Hivi ndugu, hili la uwepo wa Mungu huyo aloletwa na wazungu na waarabu, tunalijadili kwa Logic au kwa hisia? Tuanzie hapo kwanzaNa kwanini wewe simbampole123 utake kusema Mungu hayupo alafu sisi tukuamini wakati unachoongea sio kweli.
Mimi naweza kujadili kwa logic na kwa imani, sijui wewe uwezo wako unaweza kujadili kwa nini?Hivi ndugu, hili la uwepo wa Mungu huyo aloletwa na wazungu na waarabu, tunalijadili kwa Logic au kwa hisia? Tuanzie hapo kwanza
Lifikirie hilo logically na kwa upande mwingine tunaambiwa huko ni kusifu na kuabudu tu. Sasa lipi ni lipi?Mbona ata duniani tuna washughulikia? Kwani wanawake si wanatakiwa washughulikiwe au wewe unadhani tofauti na kuwashughulikia ilikuwa wafanywaje ?
Haipo coz inatokea millions of years bro ..we duniani huna hata miaka 100 unategemea utaionaje bro...halafu kazi ya evolution sio kudisprove God. Ni kuelimisha kuhusu development of species...🤣Ila Kama unaona Bora uamini couple uchi na nyoka anayeongea na jua kutengenezwa baada ya dunia na mimea sawa. Soma ma bible haya.. ndo kitabu chako Cha Sayansi.Mutation na evolution ni vitu viwili tofauti mkuu ninachotaka mimi ni evolution ambayo imetokea recent years .
Toa huo ubongo kichwani kwako afu uniambie akili Iko wapi...unauliza maswali ya kijinga, ni sawa kusema ushawahi ona njaa, au kiu..ushawahi ona hasira, ndo Nini asa.. hizi ni abstract nouns Rudi english darasa la nne ndo uje kubishana na MimiAkili na ubongo ni tofauti
Nishamwambia hio ni abstract nounAkili ni dhana ya kufikirika HAIPO.
Binadamu tuna vichwa vyenye ubongo.
Neno Akili ni la kufikirika, halipo katika uhalisia.
Ni sawa na kusema umewahi kuona Hasira, wasiwasi au hofu.
Vitu hivi vyote havipo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika.
🤣Kwa sababu watu hawako sawa...hawana circumstances sawa...hawana mazingira sawa...ppo aren't alike. So huwezi sema wametumia kanuni sawa...wakati tayari everything is different hili halipoKuna watu wanapambana kutafuta na hawazipati hao nao vipi? Ukizingatia wametumia kanuni sawa na wengine ambao wanazipata
Niambie dini gani haisemi Mungu wake ndo kaumba ulimwengu? Maana kila dini inampachika Mungu wake kuwa ndo kaumba kila kitu...kwa sababu hamna mtu anajuaThe same hoja yako pia haionyeshi Mungu hayupo kwani ili Mungu awepo ni lazima atoe mali kwa watu wote?
Haya chukulia ndio katoa kwakuwa umeamua kupinga uwepo wake bado ungesema hizo mali watu wote wametafuta kwa juhudi zao.
Hapa ni vizuri kuelewa kuwa jitihada hazizidi kudra, Mungu ndio mmiliki wa hali zote, zote kwa maana ya zote na yeye ndio aliyesema tokeni mkatafute riziki hapa ndio watu huchanganya mambo wengi hudhani kuwa rizki ni mali tu, Kumbe rizki ni mjumuisho wa mambo mengi kama elimu,Afya,mali, n.k
Ndio maana utakuta mtu ana elimu lakini hana mali mungine ana mali lakini hana afya, Sasa usichukulie Mungu anagawa mali tu uka hitimisha kwa kuwa watu wengine hawana mali basi hayupo my friend logic ya wapi hiyo ? Mungu kuwa muweza wa yote na mwenye upendo wote sio sasa ndio watu wasife, ndio watu wawe na mali wote n.k, Yeye anabaki kuwa muweza wa yote tu hata kama wewe hauna mali, hata kama mtoto wako kafa kwenye ajali n.k
Alafu maswali yote hayo Mungu mwenyewe kashayajibu kwenye vitabu vya dini kuwa Yeye ndie Mola wa ulimwengu, Ametuumba wanadamu ili tuishi katika hii dunia na akatupa akili ili tuitumie kudhibiti matamanio yetu hivyo tumuamini yeye na kumuabudu, baada ya hayo ndio kuna maisha ya umilele na furaha kwa waliotumia akili zao vyema kumuabudu Mungu na hapo ndio hayo maswali yako yanapojibika kwa urahisi kuwa.. Baada ya kukuumba na kukuweka duniani kisha ukafa sasa unaenda kuishi tena katika umilele huko hakuna hizo ajali unazolalamikia huku duniani, Huko kuna mali unazoziangaikia huku duniani.
🤣🤣🤣Bro shida sio kuonekana..hata Mungu akiwepo sio huyu aliyetajwa na vitabu vyako vya mchongo ..aliyeumba dunia kabla ya jua...aliyefurika dunia nzima inajaa maji...huyu Mungu hayupo.Nadhani utakuwa umeshamjibu yule aliye uliza kuhusu Mungu hayupo kwa sababu haonekani.
Milango yetu ya fahamu ina limit macho hayawezi kuona kila kitu, masikio hayawezi sikia kila kitu n.k vipi sasa kutaka kuyalazimisha macho mpaka yamuone Mungu ndio useme yupo??
Hasira, Woga, Akili ni vitu vipo iwe kwa dhana ya kufikirika kama unavyodai lakini vipo na hatujawahi kuviona why sasa tuseme vipo? Mngeitimisha tu havipo Kama mnavyoitimisha kuwa Mungu hayupo.
Mi sijui asilia ya binadamu na sio lazma nijue. Haiaffect maisha yangu ya sasa. Ila nyie mnajikuta mnajua so mnatunga hadithHaujajibu swali, Swali ni.. wewe hiyo sayansi iliyoshindwa kutoa majibu juu ya asili ya mwanadamu umeijuaje?
Huwezi kuwa na Imani na logic same timeMimi naweza kujadili kwa logic na kwa imani, sijui wewe uwezo wako unaweza kujadili kwa nini?
Ila nikurahisishie tu vyovyote utavyotaka ajadiliwe sawa tu.
Nimetuma screenshot huku ndani Muhammad anasema jua linaenda kwa Allah usiku kuomba ruhsa ya kuchomoza, so siku ya mwisho litaambiwa lirudi lilikotoka ndo maana wanasema litachomoza magharibi..Lakini wewe ndio uliyesema aya sio Mimi anyway..Hadith gani iyooo embu tuwekee hapa tujifunze na sisi.
Sijasema hayupo... hujanielewa. Nimesema hatujui. Ila ukweli ni kwamba Muhammad sio mtume wa Mungu kwa sababu yeye kajitungia ujinga na utoto wa kiongo na ukisoma Quran unagundua kabisa aliyeandika hivi hajaenda shuleNa kwanini wewe simbampole123 utake kusema Mungu hayupo alafu sisi tukuamini wakati unachoongea sio kweli.
Mungu angekua yupo wala kusingekuwa na hoja kumuhusu.Leta hoja sio Emoj.
Umefanya makosa mengi sana kwenye jibu lako mkuu no offence ila umejibu kama layman.Haipo coz inatokea millions of years bro ..we duniani huna hata miaka 100 unategemea utaionaje bro...halafu kazi ya evolution sio kudisprove God. Ni kuelimisha kuhusu development of species...🤣Ila Kama unaona Bora uamini couple uchi na nyoka anayeongea na jua kutengenezwa baada ya dunia na mimea sawa. Soma ma bible haya.. ndo kitabu chako Cha Sayansi.
Hizi varieties za races kwa binadamu zilitokea wapi ikiwa kwa mujibu wa Biblia ni watu wawili tu (Adam na Hawa) ndio walioumbwa?Mimi naweza kujadili kwa logic na kwa imani, sijui wewe uwezo wako unaweza kujadili kwa nini?
Ila nikurahisishie tu vyovyote utavyotaka ajadiliwe sawa tu.
Wanadisprove the god of the bible. Sio existence of a universe creator. Elewa hizi tofautiUmefanya makosa mengi sana kwenye jibu lako mkuu no offence ila umejibu kama layman.
1. Hakuna sehemu nimeongelea swala la Mungu au dini ,na hakuna sehemu nimesema ninaamini chochote ila ume assume mimi ni mkristo .
2. Umetoa majibu ambayo hayapo backed up na scientific evidences au hata thesis basi .
3. Na kama kazi ya evolution si ku disprove Gods existance kama ulivyosema why ? Atheists wanaitumia kama ground theory yao? Ku disprove Gods existance?
N.b
Simaanishi scientists wote ni atheists.
Futhermore : HAUJANIJIBU MASWALI YANGU YA AWALI NILIYOKUULIZA .