Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Kwanza asante kwa quote The verses from Holly Qur an, Hapa ndio tuta argue Sasa in a good way.
Nianze kwa kujibu 'NDIO' kwa kutumia akili ya kuzaliwa Mungu anaweza tamka hayo maneno.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anatamka akiwa wapi
 
Kama science ni elimu sio Imani basi hamna haja ya kuendeleza ubishi hapa. Concept za science ziko proved by experiments halafu laws, facts, principles zimetengenezwa ni elimu yenye ukweli na yenye kukubali ukweli kama tu Kuna ushahidi wenye mantiki na unafanya kazi kisayansi ukipimwa kwenye experiments. Na tukifata scientific way ya kugundua ukweli na uongo, kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi swala la uwepo wa mungu sijui maombi kufanya kazi, safina ya nuhu vyote ni utopolo mtupu.

Na kuchambulia mfano wa safina kisayansi (logical examination)

Vipimo vya Safina ya noah ( biblia imeandikwa Kwa namna hii 300 cubits long, 50 cubits wide, and 30 cubits) ukilinganisha na meli ya Queens Mary

1.Safina ya Noah: 450 feet long, 75 feet wide, and 45 feet high.
Queen Mary: 1,019 feet long, 118 feet wide, and 181 feet high.

Ujazo wa safina ya Noah = Length × Width × Height = 450 ft × 75 ft × 45 ft = 1,518,750 cubic feet.

Ujazo wa Queen Mary = Length × Width × Height = 1,019 ft × 118 ft × 181 ft = 21,334,034 cubic feet.

Queen Mary ilikuwa kubwa mara ngapi kuliko safina ya Noah Ark?

Ujazo wa Queen Mary / Ujazo wa safina ya Noah = 21,334,034 cubic feet / 1,518,750 cubic feet = 14

Kwa hiyo Queen Mary ni karibu mara kumi na nne (14) kubwa kuliko safina ya Nuhu

Species tulizo nazo kulingana na data ni kama 8.7 million Kwa hiyo kama Noah alichukua wawili wa kila specie alibeba viumbe hai 17.4 million (apa nimepotezea lile agizo aliloambiwa kuchukua 7 Kwa wale ambao wanaweza kulika biblia ya kiingereza inawaita clean beasts)

Queens Mary wakati wa vita ya pili ya Dunia ilikuwa inajazwa mpaka uwezo wake mwisho ambao ni watu 16000 (japo ilitengenezwa na uwezo wa watu 2139) na ilikuwa imetengenezwa Kwa chuma tofauti na ya nuhu Kwa mbao

Kwa akili ya kawaida (logically) tu meli ambayo imetengenezwa na mbao inabeba wanyama 17.4 million na chakula chao na watu nane kwa mwaka mzima Kuna tembo huno, twiga, kifaru halafu meli ambayo ni mara 14 kuizidi ina uwezo wa mwisho wa watu 16000 insignia akilini kweli?

Imani unaweza kuchagua tu kuibeba hata ikiwa ya uongo. Ndo maana matatizo kama yanayoonekana kwenye hadithi ya safina ya nuhu mnayabeba tu na kudai ni ukweli huku uongo uko wazi. Science hsiko hivyo. Na ukweli uko kwenye science uongo utagubdulika kupitia utafiti na utarekebishwa ndio science inavyoenda

SOMA KWA UTULIVU HALAFU TAFAKARI UTAONA UTOFAUTI WA FACTS NA IMANI.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Imani inaleta contradiction n kubishana kwasababu kila mtu anaamini anachotaka, anachopenda au anachotamani kiwe ukweli, sayansi inatafuta ukweli kwa ku study natural na social environment pia, science itakupa ukweli na ushahidi wa kwamba huu ndo ukweli.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hivi nini kilisababisha mpaka evolution ikaanza kutokea? What triggered it? Na kama galaxy yetu na nyengine zilitokea at the same instant baada ya big bang /big bounce (kama umepitia string theory) ni kwanini dunia iwe ndiyo sayari pekee ambayo viumbe hai wana survive lakini si nje ya hapo(on universal scale)?

Why then evolution ime stop baada ya rapidly changes million darwinic years?

Kuna tofauti gani kati ya permenent adaptaption na evolution? Why
Évolution does not stop and does not reverse. Sisi evolution yetu ipo slow now kwasababu we manage to control the env. So natural selection ipo super slow
 
Mutation na evolution ni vitu viwili tofauti mkuu ninachotaka mimi ni evolution ambayo imetokea recent years .
Sasa hamna Evolution bila mutation.... We bwana ni mweupe sana tafuta maarifa acha kubisha
 
Kama science ni elimu sio Imani basi hamna haja ya kuendeleza ubishi hapa
tatizo la watu wanaojifanya hawaamini Mungu hujaribu kuiingiza science ktk imani hizi za dini,mfano ni wewe hapa chini.
. Concept za science ziko proved by experiments halafu laws, facts, principles zimetengenezwa ni elimu yenye ukweli na yenye kukubali ukweli kama tu Kuna ushahidi wenye mantiki na unafanya kazi kisayansi ukipimwa kwenye experiments.
si kila concept zimekuwa proved kwa majaribio,nyingine zimebaki katika maelezo peke yake.

Na tukifata scientific way ya kugundua ukweli na uongo, kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi swala la uwepo wa mungu sijui maombi kufanya kazi, safina ya nuhu vyote ni utopolo mtupu.

lakini ni utopolo unaokushughulisha.

Na kuchambulia mfano wa safina kisayansi (logical examination)

Vipimo vya Safina ya noah ( biblia imeandikwa Kwa namna hii 300 cubits long, 50 cubits wide, and 30 cubits) ukilinganisha na meli ya Queens Mary

1.Safina ya Noah: 450 feet long, 75 feet wide, and 45 feet high.
Queen Mary: 1,019 feet long, 118 feet wide, and 181 feet high.

Ujazo wa safina ya Noah = Length × Width × Height = 450 ft × 75 ft × 45 ft = 1,518,750 cubic feet.

Ujazo wa Queen Mary = Length × Width × Height = 1,019 ft × 118 ft × 181 ft = 21,334,034 cubic feet.

Queen Mary ilikuwa kubwa mara ngapi kuliko safina ya Noah Ark?

Ujazo wa Queen Mary / Ujazo wa safina ya Noah = 21,334,034 cubic feet / 1,518,750 cubic feet = 14
hapa kwa sababu bible imetaja hesabu ukaona wacha uchukue calculator,vipi kuhusu Yesu kuelea!!!!
Kwa hiyo Queen Mary ni karibu mara kumi na nne (14) kubwa kuliko safina ya Nuhu

Species tulizo nazo kulingana na data ni kama 8.7 million Kwa hiyo kama Noah alichukua wawili wa kila specie alibeba viumbe hai 17.4 million (apa nimepotezea lile agizo aliloambiwa kuchukua 7 Kwa wale ambao wanaweza kulika biblia ya kiingereza inawaita clean beasts)

Queens Mary wakati wa vita ya pili ya Dunia ilikuwa inajazwa mpaka uwezo wake mwisho ambao ni watu 16000 (japo ilitengenezwa na uwezo wa watu 2139) na ilikuwa imetengenezwa Kwa chuma tofauti na ya nuhu Kwa mbao

Kwa akili ya kawaida (logically) tu meli ambayo imetengenezwa na mbao inabeba wanyama 17.4 million na chakula chao na watu nane kwa mwaka mzima Kuna tembo huno, twiga, kifaru halafu meli ambayo ni mara 14 kuizidi ina uwezo wa mwisho wa watu 16000 insignia akilini kweli?
haiwezi kuingia akilizi kabisa,ni kama ile ya kuumba dunia kwa siku 6,alitumia excavator ya ukubwa gani kuhamisha milima!!!
Imani unaweza kuchagua tu kuibeba hata ikiwa ya uongo. Ndo maana matatizo kama yanayoonekana kwenye hadithi ya safina ya nuhu mnayabeba tu na kudai ni ukweli huku uongo uko wazi.
swala ambalo wewe huwezi kulichukua akilini haimaanishi ni uongo,vipi mtu amaweza kuelea hewani kwa ungo wa makuti???
Science hsiko hivyo.
ndio sababu nakusisitiza usiichanganye na imani.
Na ukweli uko kwenye science uongo utagubdulika kupitia utafiti na utarekebishwa ndio science inavyoenda
sasa huku kwenye imani umefanya tafiti gani moja tu ukagundua ni uongo!!!
SOMA KWA UTULIVU HALAFU TAFAKARI UTAONA UTOFAUTI WA FACTS NA IMANI.
mimi nafahamu ndio maana najua namna ya kutenga hivi vitu,wewe unachanganya ndio sababu unaona mruweruwe.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Sasa hamna Evolution bila mutation.... We bwana ni mweupe sana tafuta maarifa acha kubisha
Sijajua unachotaka kumaanisha swali langu kwake lilikuwa linahusu prooved evolution phenomenom iliyotokea hivi karibuni na si mutation .

Japo mutation ni very crutial kwa evolutio lakini hizo terminologiea zinabeba maana tofauti.
 
Évolution does not stop and does not reverse. Sisi evolution yetu ipo slow now kwasababu we manage to control the env. So natural selection ipo super slow
Based on which basis? Maana binadamu wa miaka 5000 nyuma ndiyo huyu huyu wa sasa, tuna features zoote walizokuwa nazo wao huko kudogo unapokuongelea wewe ni kupi.

Na hiyo enviromental control unayoiongelea ni ipi ambayo 5000 years back hawakuifanya?
 
Sijajua unachotaka kumaanisha swali langu kwake lilikuwa linahusu prooved evolution phenomenom iliyotokea hivi karibuni na si mutation .

Japo mutation ni very crutial kwa evolutio lakini hizo terminologiea zinabeba maana tofauti.
Strains za parasites kama plasmodium ambazo unakuta sasaivi dawa fulani inaziua baada ya muda hiyo dawa inashindwa. Quinine unaitumia kutibu malaria sasaivi? Parasite anaekuletea ugonjwa amesha evolve features zinazomuwezesha kukwepa quinine. Huu ni mfano wa proved phenomenon.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Yes hata wewe unaweza ukaigiza,uzuri sisi wenyewe tunajua ni kwa namna gani unaweza kugundua uongo.

wewe ni rahisi kukudanganya sababu,kwanza unataka uthibitisho kwa kila kitu.vipi mtu akikwambia Yesu anaponya na bibi yako asiyejiweza akasimama kukimbia???si kesho tutakukuta kanisani kwa huyo nabii unamfulia nguo😂😂😂
😂😂😂😂Kama unaweza kugundua nani muongo niambie bac dini ya ukweli ni ipi na kanisa la ukweli ni lipi na kwa Nini?
 
Na hakuna Mapepo Duniani Chief watu wana ugonjwa wa Afya ya Akili unaitwa Multiple Dissociate Identity Disorder (MDID) wanakuwa wanajiona kama wako Posesed Waje tuwatibu tu Ili wawe poa
I know that...Ila kisa Yesu aliamini mapepo Kama alivyoamini mtu alikaa ndani ya samaki siku tatu..bac inabidi wakristo waamini tu..ndo Mungu wao
 
Based on which basis? Maana binadamu wa miaka 5000 nyuma ndiyo huyu huyu wa sasa, tuna features zoote walizokuwa nazo wao huko kudogo unapokuongelea wewe ni kupi.

Na hiyo enviromental control unayoiongelea ni ipi ambayo 5000 years back hawakuifanya?
We katika maisha yako..Mara ya mwisho kumwona Simba anatembea barabarani ni lini ..unawezaje kusema una mazingira sawa na mtu wa miaka 5000 haupo serious kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20230903-154013.png
    Screenshot_20230903-154013.png
    44.7 KB · Views: 1
wala sio blindly tunafata tukiwa na uhakika kabisa,wewe ukitaka uthibitisho wa mambo ya kiroho ndipo pale tunahitimisha utakuwa unaumwa.
😂😂😂Yaani me naumwa kisa siamini story za mfufua wafu mtembea majini na multiplier of breads and fish...sawa we una akili Sana mkuu
 
you have to shut the butt off.

una wasi wasi na maamuzi yako au😝😝😝
😂😂😂We ni mkristo Kuna dini 14479 duniani kila moja na adhabu yake ya kutoamini..Tena waislamu wenyewe wanasema specifically kuwa wakristo ndo wa kwanza kwenda motoni kisa kumwamini Yesu na maria ni Mungu...😂😂
 
biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya historia ya wafalme na manabii na mitume walipata funuo mbalimbali kuhusu Mungu muumba.

Quran ni kitabu kilichoandikwa yote ambayo Muhammad alidai amepewa ufunuo kutoka mbinguni na mungu Aliyemwita Allah.
😂😂😂So hao wafalme, manabii na mitume hawadai kupewa funuo? Afu kwa nini huyu Mungu hawezi kuongea na kila mtu mpaka awhisper kwa mtu mmoja
 
Back
Top Bottom